Karata pekee aliyo nayo Nchimbi ni kujiunga CHADEMA

Amestaafu siasa... akijiunga CHADEMA atakuwa anaendeleza siasa.
Wewe unaamini kastaafu?😁

Kwa kikwazo kipi astaafu na afya hiyo pamoja na umri huo?

NB:Baada ya Samia kuondoka,Nchimbi atarudishiwa uanachama wake kama Membe tu.

"....karibu sana nyumbani Kaka,kwa sasa bahari ni shwari". Nape akimkaribisha Membe huko Mtama
 
Nchimbi hana cha kupoteza tena wala fursa yoyote ndani ya CCM au serikali.

Kilichobaki ni kwenda CHADEMA tu na anapaswa kupokelewa na ikiwezekana hata apewe fursa ya kugombea Urais ikiwa Lissu atahukumiwa adhabu ya kunyongwa mpaka kufa.
Ajiunge CHADEMA kwani umemuona wapi?
 
Nchimbi hawezi kudhuriwa kirahisi tena na CCM, itakuwa wazi mno na too toxicity

Wanaweza , walijaribu kwa Kambona akawa amewawahi na kumbuka hadi anawatoroka alikua katibu mkuu wa TANU na waziri wa masuala ya serikali za mitaa na maendeleo vijijini , Kambona nadhani kutokana na connection zake na jeshi na kuijua jiografia ya Tanganyika aliweza kuendesha hadi border ya Namanga na akaacha gari na kutokomea Kenya alipokua ameandaa ticket ya ndege kwenda UK.

Wakaweza kwa Aboud Jumbe aliyekua rais Zanzibar kapigwa house arrest hadi anakufa.

Wakamuua Kolimba katibu mkuu wao aliyesema chama kimepoteza dira.

Wakamuua katibu mkuu wao wa zamani wa uenezi na balozi Polepole aliyepingana nao juu ya uteuzi haramu wa Samia kugombea na aina ya uchaguzi wa kiinimacho waliokuwa wanafanya.

Hawamshindwi Nchimbi akionekana kuwasumbua.
 
Nchimbi hana cha kupoteza tena wala fursa yoyote ndani ya CCM au serikali.

Kilichobaki ni kwenda CHADEMA tu na anapaswa kupokelewa na ikiwezekana hata apewe fursa ya kugombea Urais ikiwa Lissu atahukumiwa adhabu ya kunyongwa mpaka kufa.
Mawazo ya hovyo kabisa
 
Nchimbi hawezi kudhuriwa kirahisi tena na CCM, itakuwa wazi mno na too toxicity
Mkuu kwa nini unajizima data kirahisi namna hii!

Serikali hii ya kihalifu unaona inaweza ikaogopa kufanya chochote kwa yeyote aliye nje ya genge lao?

Upewe mifano mingapi ili ukubaliane na wanaosema kwamba hadi sasa maisha yake yapo hatarini?

Watu wanapigiwa simu za vitisho, wanaripoti na kisha wanatekwa kweli.

Zamani ilikuwa njama haramu za kumdhuru mtu zikibumburuka, ilikuwawanaogopa na kuahirisha utekekezaji huo haramu, lakini sasa je?

Akina Polepole na wengi wengineo wako wapi?
 
Mtiti inayopitia CHADEMA atauweza? apumzike tu siasa labda baadaye sana hali ya mambo itakapotulia. Kwa sasa itaonekana anafanya kama Lowassa/Sumaye. Ni mapema mno kukimbilia CHADEMA bado haaminiki
 
Chadema hawana shida ya urais ndio maana hawakushiriki uchaguzi,.

Chadema na watanganyika wengine wanataka KATIBA MPYA na Tanganyika huru..

Huyo Nchimbi anaweza kwenda hata CUF,Chauma..we don't give a Fxxk
Nchimbi ahamie Chadema kuendeleza siasa ya Katiba Mpya na Utanganyika. Atakuwa ameisaidia nchi hatakama hagombei uraisi ila awe tayari kupambana na mititi mititi ya huko na dola
 
Nchimbi hana cha kupoteza tena wala fursa yoyote ndani ya CCM au serikali.

Kilichobaki ni kwenda CHADEMA tu na anapaswa kupokelewa na ikiwezekana hata apewe fursa ya kugombea Urais ikiwa Lissu atahukumiwa adhabu ya kunyongwa mpaka kufa.
Ubashiri/ramli chonganishi.

Tusubiri tuone.
 
Nchimbi hana cha kupoteza tena wala fursa yoyote ndani ya CCM au serikali.

Kilichobaki ni kwenda CHADEMA tu na anapaswa kupokelewa na ikiwezekana hata apewe fursa ya kugombea Urais ikiwa Lissu atahukumiwa adhabu ya kunyongwa mpaka kufa.
Akijiunga CHADEMA maCCM watamuua
 
Siasa hazina huruma🙄
Nchimbi huyu leo anashauriwa kuhamia upinzani ambako hajawekeza chochote!!!!
 
Nchimbi hana cha kupoteza tena wala fursa yoyote ndani ya CCM au serikali.

Kilichobaki ni kwenda CHADEMA tu na anapaswa kupokelewa na ikiwezekana hata apewe fursa ya kugombea Urais ikiwa Lissu atahukumiwa adhabu ya kunyongwa mpaka kufa.
Siasa hubadilika kiasi huwezi amini
 
Nchimbi hana cha kupoteza tena wala fursa yoyote ndani ya CCM au serikali.

Kilichobaki ni kwenda CHADEMA tu na anapaswa kupokelewa na ikiwezekana hata apewe fursa ya kugombea Urais ikiwa Lissu atahukumiwa adhabu ya kunyongwa mpaka kufa.
Wa nini sasa, akae huko huko
 
Wewe unaamini kastaafu?😁

Kwa kikwazo kipi astaafu na afya hiyo pamoja na umri huo?

NB:Baada ya Samia kuondoka,Nchimbi atarudishiwa uanachama wake kama Membe tu.

"....karibu sana nyumbani Kaka,kwa sasa bahari ni shwari". Nape akimkaribisha Membe huko Mtama
Kabisa
 
Pamoja na kiburi alicho nacho kamwe Nchimbi hawezi fanya kosa la kujiunga na hili genge la wahuni wa CHADEMA. Ingekuwa enzi za Mbowe na Dr Slaa labda angeweza hata kufikiria. Hii CHADEMA ya sasa itamfilisi hela zake na kumgombanisha sana na wananchi.
 
Back
Top Bottom