Karata pekee aliyo nayo Nchimbi ni kujiunga CHADEMA

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
62,792
Reaction score
105,540
Nchimbi hana cha kupoteza tena wala fursa yoyote ndani ya CCM au serikali.

Kilichobaki ni kwenda CHADEMA tu na anapaswa kupokelewa na ikiwezekana hata apewe fursa ya kugombea Urais ikiwa Lissu atahukumiwa adhabu ya kunyongwa mpaka kufa.
 
Mh! Acheni kwanza tupumzike kidogo.
Kwa sasa, jambo la kwanza na muhimu zaidi, ni usalama wake, kwa hali ilivyo sasa, mashaka ni mengi sana.

Hawa jamaa wamejipanga kuhakikisha wanamvuruga na kupoteza kabisa heshima yake yote.

Na kama asingewawahi kutoa taarifa kwa umma na kuachia ngazi, wangemdhalilisha sana.
 
Mosi nasema na nashauri CHADEMA wasimpokee.

Pili usije kutarajia Nchimbi ataweza kuja kufanya siasa huru za kiushindani nje ya CCM alipokuwepo

Kwa katiba hii atapotezwa mapema mno kama ilivyokua kwa Polepole.

Kenya hilo limewezekana kwa sababu ya katiba yao bora, Gachagua aliondoka UDA akaunda chama chake cha DCP na umeona anavyofanya siasa za ushindani ground hata chama hakina miaka 2 kimeshinda kiti cha ubunge kule Ol Kalau hiyo yote imewezekana sababu ya ubora wa katiba ambao hata Nchimbi ndio aliuongelea kabla hajawekwa kitimoto.

Nchimbi huenda hata asiwahi kuonekana kirahisi public sababu vyama vya kidikteta kama CCM vilivyorithi mifumo ya kikomunisti huwafuatilia na kuwadhuru watu waliowahi kuwa miongoni mwao wakionekana wanatakua kuwa tishio nje ya walipokuwepo.
 
Nchimbi hana cha kupoteza tena wala fursa yoyote ndani ya CCM au serikali. Kilichobaki ni kwenda CHADEMA tu na anapaswa kupokelewa na ikiwezekana hata apewe fursa ya kugombea Urais ikiwa Lissu atahukumiwa adhabu ya kunyongwa mpaka kufa.
HQgT1r8WEAAQizI.jpg
 
Nchimbi hana cha kupoteza tena wala fursa yoyote ndani ya CCM au serikali.

Kilichobaki ni kwenda CHADEMA tu na anapaswa kupokelewa na ikiwezekana hata apewe fursa ya kugombea Urais ikiwa Lissu atahukumiwa adhabu ya kunyongwa mpaka kufa.
Ndo tatizo la chadema, hawana watu kila siku kuvizia makombo toka CCM.
 
K
Nchimbi hana cha kupoteza tena wala fursa yoyote ndani ya CCM au serikali.

Kilichobaki ni kwenda CHADEMA tu na anapaswa kupokelewa na ikiwezekana hata apewe fursa ya kugombea Urais ikiwa Lissu atahukumiwa adhabu ya kunyongwa mpaka kufa.
Kosa kubwa sana ...watu wenye akili finyu mnashida sana ya upeo
 
Mosi nasema na nashauri CHADEMA wasimpokee.

Pili usije kutarajia Nchimbi ataweza kuja kufanya siasa huru za kiushindani nje ya CCM alipokuwepo

Kwa katiba hii atapotezwa mapema mno kama ilivyokua kwa Polepole.

Kenya hilo limewezekana kwa sababu ya katiba yao bora, Gachagua aliondoka UDA akaunda chama chake cha DCP na umeona anavyofanya siasa za ushindani ground hata chama hakina miaka 2 kimeshinda kiti cha ubunge kule Ol Kalau hiyo yote imewezekana sababu ya ubora wa katiba ambao hata Nchimbi ndio aliuongelea kabla hajawekwa kitimoto.

Nchimbi huenda hata asiwahi kuonekana kirahisi public sababu vyama vya kidikteta kama CCM vilivyorithi mifumo ya kikomunisti huwafuatilia na kuwadhuru watu waliowahi kuwa miongoni mwao wakionekana wanatakua kuwa tishio nje ya walipokuwepo.
Nchimbi hawezi kudhuriwa kirahisi tena na CCM, itakuwa wazi mno na too toxicity
 
Back
Top Bottom