Kinyungu
Platinum Member
- Apr 6, 2008
- 22,770
- 45,916
Ajiunge ccm. Akiomba watampokeaNchimbi hana cha kupoteza tena wala fursa yoyote ndani ya CCM au serikali.
Kilichobaki ni kwenda CHADEMA tu na anapaswa kupokelewa na ikiwezekana hata apewe fursa ya kugombea Urais ikiwa Lissu atahukumiwa adhabu ya kunyongwa mpaka kufa.