Biboz
JF-Expert Member
- Jun 4, 2019
- 249
- 201
😹😹Sabaya alinywea itakuwa huyo mzee?
Ila mwanao darasani zimo za kutosha? Usijekuta mtu anajijua ni wa kufeli so ndoa ndio pona pona yake
😹😹Sabaya alinywea itakuwa huyo mzee?
Ila mwanao darasani zimo za kutosha? Usijekuta mtu anajijua ni wa kufeli so ndoa ndio pona pona yake
Au mpare, wanapenda kesi achaChukua mahari ule mama yangu. Kwani binti katekwa?. Narudia patana na huyo baba ule pesa mapema. Huyo binti yako ni kichomi atakuchoma. Labda uwe muhaya maana wahaya kwa kupenda kesi hawajambo.
Sawa nimeiona,ikishindikana mwambie binti yako amwekee sumu hata kwenye papuchi.Tayari mkuu
Lazima gani mtu anaishi na mtu?.Mwanao ana umri gani? Alilazimishwa au na yy kapenda?
Njoo PM mamaHabari za leo wapendwa. Sijui ni dharau kwa serikali ama siasa moe sielewi. Kuna baba mtu mzima ana watoto wakubwa.
Binti yangu alikuwa anasoma Sengerema kidato cha sita. Huyo baba kamuachisha binti yangu shule na kumuweka ndani kinyumba. Huyo baba anasema Serikali hii hakuna wa kumfanya chochote hata twende wapi hawezi kukamatwa.
Mimi mama yake ni mgonjwa nahudhuria dialysis Bugando maana mie ni mgonjwa wa figo.
Katumia udhaifu wangu kunifanyia hivyo. Nina imani na Serikali iliyoko madarakani na wapigania haki popote walipo kuwa watanisaidia.
Mimi niko Mwanza
Namba yangu ya Simu ni 0745 317 ***
Jina langu ni Sekunda
Binti yangu ni Ph***
Aliyemuachisha shule anaitwa Razaro
Namba yake ya simu ni 0757262*** na yuko hapa hapa Mwanza
Naomba serikali ioneshe kwamba ipo. Katika utawala huu nina imani mama atatupigania.
Labda nivae miwani....We unaonaje kwani
Mimi naomb tu binti asizalishwe jamani..asipate mimba..polen sana