Tunamkumbuka sana kwasababu kipindi watu wanaomba aweke mfumo wa uwazi na competitive kwenye sera ambao in return ungefanya haya mambo ya kujiamulia amulia tu kuongeza bei za vitu YASIWEPO yeye alikataa akajinasibu anajenga uchumi. Kama kuna mtu wa kulaumiwa sana basi ni yeye. Tunamkumbuka kwa kutufelisha kwake
kipindi chake kuna watu wamekuja mjini hawajui lolote ndio hawa sasa!!..
 
Vodacom na Tigo walikuwa na kifurushi cha @1000tsh dk 100, sms 100 na 1Gb 3days au kwa @1500 tsh kwa 7days.
Sasa hivi voda cha 3days wameweka 800MB na tigo 750MN.
Airtel ndio wameua zaidi in short jionee mwenyewe.
Najua serikali ina mkono au baraka zake hapa.

View attachment 1958946

View attachment 1958947

2F49159A-59EC-4306-89C8-989EB20FFD46.jpeg
 
Inawezekana kikwazo ilikuwa ni Waziri mtumbuliwa. Hii imetokea bila kufahamishwa na siku zote tunakuwa bombarded na matangazo ya kuhimiza kamari na kubet. Hongera kwa serikali kukuza uwekezaji.# JMT kazi iendelee.
 
Tigo kifurushi cha siku 3 (1000) kimetoka dakika 100 hadi dakika 45. GB moja hadi 500MB
 
Ifahamike kwamba vifurushi hivi havina mfanano Kwa wateja wote
Yani wanachofanya wakiona wewe ni mteja mzuri wanakupandishia wewe kama wewe,ukiwapiga chini Kwa muda wanakupa tena ofa kabambe.

Binafsi huwa ninacheza na voda na tigo, voda walinikazia nikapiga chini nikaishi na tigo Kwa kifurushi cha 5000 GB 2,dkk 200 Kwa wiki ,wakaniona kiazi wakafika level ya GB 1.2 dkk 150 Kwa 5000,nikapiga chini kurudi voda nikakuta washanilegezea
We ndo mimi kabisa
 
Back
Top Bottom