adriz
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 10,950
- 23,092
Moja kwa moja..
Kuelekea mwezi wa tano leo nimeona Vifurushi vingi vya Internet vimeongezeka gharama hapo swali kabisa kipindi cha mtelezo tulikuwa tunapata 1Gb kwa eflu Moja baadae kupanda kufikia kiasi cha Tsh 1500 kwengine(Voda) ikiwa Tsh2000 .
Leo kuna mabadiliko ya bei ya Vifurushi karibia mitandao yote mfano Tigo saizi yako ulikuwa unapata Gb kwa buku jero sasa buku mbili , Ttcl wazee wa bufe nao wamepiga kitu kizito na Zantel nao wameunga mkono juhudi kama wameambizana aisee hali ipo hivyo.
#PutinAlaumiwe