Inaweza kuwa ina ukweli kwa kiasi fulani yaani ni magu 40/ Suluhu 60 lakini namna alivyopresent anaonesha wazi kabisa chuki binafsi aliyonayo dhidi ya magufuli.
hahahaa hatari mkuu sema tu labda alikua hamkubali kitu ambacho ni kawaida kila mtu anamkubali mtu flani na hamkubali mwngine ila kusema chuki duh huko mbali mkuu labda km walikua wanafahamiana
 
Tatizo ni mtandao na kasi
Ukiwa Dodoma, Moshi, Mwanza , Dar es Salaam na kwingineko hakuna shida ya tatizo la mtandao wala speed. Lakini, ukiwa Milima ya Kitonga ambayo ipo barabara ya Morogoro Mbeya hapo hakuna cha speed au mtandao. Je.mitandao mingine vipi ukiwa Kitonga?
 
Ukiwa Dodoma, Moshi, Mwanza , Dar es Salaam na kwingineko hakuna shida ya tatizo la mtandao wala speed. Lakini, ukiwa Milima ya Kitonga ambayo ipo barabara ya Morogoro Mbeya hapo hakuna cha speed au mtandao. Je.mitandao mingine vipi ukiwa Kitonga?
😂😂😂 Huko bado sana mkuu
 
Zantel UNI ya wiki,1500/= ilikuwa dakika 160 1.5GB(1500MB),
Sasa hivi UNI ya wiki,1500/= ni dakika 50 na 900MB!.
Wanaidharau serikali??????
 
Mtalalamika we lkni mwisho wa siku 'mtazoea tu' in nchemba's voice...Hivi ni 'vijikelele tu' in your president's voice

Serikali haiogopi wananchi wake....siku mkija kuelewa mko wengi kuliko wao ndio heshima itarudi
 
Kwa Airtel hata wauze shilingi mia (sh.100/=) kwa 100gb; siwezi kununua bando lao kwa sababu ni mtandao unaiba pesa, kwa kununua bando lisilo fanya kazi mpaka muda wake unaisha, na hata kupiga simu ni majanga !

Mbaya zaidi kila muda unapishana na mawakala wa kusajili
 
Mtandao wa simu za mkononi wa vodacom wiki hii umepunguza ukubwa wa vifurushi huku wateja wakiendelea kulipa kwa bei ile ile. Huu ni wizi wa mchana kweupe.

jamani wadau angalieni hapa nilifanikiwa kupata screen shot kabla hawajaanza wizi na screen shot yenye bei ya sasa.

KABLA HAWAJAPUNGUZA UKUBWA.
VODACOM.png

BAADA YA KUPUNGUZA UKUBWA.
VODACOM 2.jpg


Tunaomba Vodacom mtujulishe ni kitu gani kimetokea mnatuibia kiasi hiki?
 
Back
Top Bottom