KERO Kampuni Ya Mabasi ABC upper class Mnakera Sana

KERO Kampuni Ya Mabasi ABC upper class Mnakera Sana

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Hizi kampuni bado zipo? Maana nakumbuka nilikua nazipanda 2012 kwenda mbeya nikitokea huku kaskazini na pale gereji kwake lazima tuingie
Abood au?! yupo sana na anazidi kushusha gari za kutosha sema amehamia kwenye youtong F12 zile paradiso zimepaki gereji kwake pale haziendi kokote labda tunduma ila mara ya mwisho nimepanda 2017 sidhani kama bado anazitumia huko, ama Hood naiona moja pale mzani kihangaiko imepaki kama mwaka wa 4 huu Islam zijaziona barabarani miaka mingi sasa.
 
Kampuni ya HOOD nafikiri imepotea kabisa
 
Walikuwa vizuri sana ABC lilikuwa gari langu pendwa,siku za hivi karibuni sijui wamekumbwa na Nini,wiki chache nilikuwa nasafiri na basi la saa tisa jioni mapema siku ya safari nikapigiwa simu kuwa wanaomba radhi badala ya saa tisa tutaondoka saa kumi na Moja jioni hivi saa kumi na nusu nireport stand,nimefika hiyo saa kumi nilisubiri mpaka saa Moja usiku ndio wanafika .
 
Gari zao nyingi siku hizi ni mbovu, tuwe wakwli, awali walikuwa wazuri sana
 
Hivi huwezi kula crips na juice mpaka ufike safari yako ndio ukale uko unapokwenda?

Kwanza mimi kufanywa mjinga huwa sipendi, bei za hivyo vyakula ukiachanaa na usalama wa tumbo haviendani, siwezi kununuwa chakula kwa watu wanaokufanya wewe fala.
Unauziwa kiwali kiduchu eti Tshs. 8,000/=. Wizi kabisa.

Angalau kidogo pale Igumbilo Iringa wana bei rafiki
 
Suluhisho la matatizo yote hayo ni Al saedy. Hutajuta
Unyama sana. Ukipanda basi la Iringa - Dar dereva anaitwa Diwani, full burudani- jamaa maneno mingi sana, na mguu unanyooka kwenye accelerator
 
Nina mpango wa kuwafungulia mashtaka. wamenikatia tiketi ya kieletronic nikatumiwa ujumbe kwenye simu kwa SMS bahati mbaya sikusoma SMS yote. Nimefika Dar napeleka madai kwa muhindi wangu ili anirudishie nauli yangu nakuta nauli imeandikwa TBR to Dar shs 100 (Mia moja) . Muhindi kagoma kunirudishia 50,000 niliyolipa akidai tiketi inaonyesha nimelipa sh 100.Nimeshaenda Latra wameniambia niende kesho. Shenzi sana hawa
Wanakwepa kodi hao nenda TRA
 
Naenda moja kwa moja kwenye hoja yangu

Kampuni hii ya usafirishaji ina mambo ya kuudhi sana

Kwanza simu zao hawapokei, unaweza kupiga simu 1hr zinaita mara busy mara zinaita mara busy

Pili muda wao wa safari ni changamoto sana, mfano kama unaenda Iringa usiku wanasema basi linaondoka saa 4 kamili, jambo la kushangaza basi linatoka pale saa sita kasoro

Mkifika Morogoro pale hotelin wanawaacha 45mn wanaenda kuweka mafuta

Mpaka mnafika Iringa saa tatu asubuh

For sure mnakera sana mjirekebishe

Lipa namba za vituo vingi ni majina ya watu na sio Jina la kampuni

Wanakera sana
Badilisha basi la kusafiri nalo.Mjinga haagwi.
 
Unyama sana. Ukipanda basi la Iringa - Dar dereva anaitwa Diwani, full burudani- jamaa maneno mingi sana, na mguu unanyooka kwenye accelerator
Na pale shel kuna mwana anaitwa maneno hana baya ni mtu na nusu
 
Abood au?! yupo sana na anazidi kushusha gari za kutosha sema amehamia kwenye youtong F12 zile paradiso zimepaki gereji kwake pale haziendi kokote labda tunduma ila mara ya mwisho nimepanda 2017 sidhani kama bado anazitumia huko, ama Hood naiona moja pale mzani kihangaiko imepaki kama mwaka wa 4 huu Islam zijaziona barabarani miaka mingi sasa.
Nilikuwa nauliza juu ya Hood maana nilizipanda 2012 nikiwa nina routes za mbeya, sijajua kama siku hizi zipo au zimebadili majina,
Islam sijaziona tena toka 2013, labda majina wamebadili.
 
Back
Top Bottom