KERO Kampuni Ya Mabasi ABC upper class Mnakera Sana

KERO Kampuni Ya Mabasi ABC upper class Mnakera Sana

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Route ya Dar Sumbawanga inahitaji muwekezaji wa kisasa aingize luxury za kisasa, New force wamejisahau, hata Usb kwenye viti ni shida.

Wakifika Tunduma wanapanga vindoo vya plastic vya lita kumi wanapakia watu wanakaa kwenye vindoo ni uswahili mtupu na abiria wapo kimya, nilishawachomesha kwa traffic siku moja gari ikapigwa fine.
Sa hizi ipo shabiby
 
Sa hizi ipo shabiby
Shabiby amepeleka luxury? Maana kule Saibaba linatembea mpaka siku mbili kwenda Sumbawanga ni shida tupu.

Halafu haya mabasi wanatakiwa kuajili inspenctors wa kuyafuatilia kama walivyokuwa wamefanya Uda miaka ya zamani kwa usafiri wa Dar inspector anaweza kupanda kituo chochote kile kukaguwa gari kama kila kitu kiko sawa.
 
Naenda moja kwa moja kwenye hoja yangu

Kampuni hii ya usafirishaji ina mambo ya kuudhi sana

Kwanza simu zao hawapokei, unaweza kupiga simu 1hr zinaita mara busy mara zinaita mara busy

Pili muda wao wa safari ni changamoto sana, mfano kama unaenda Iringa usiku wanasema basi linaondoka saa 4 kamili, jambo la kushangaza basi linatoka pale saa sita kasoro

Mkifika Morogoro pale hotelin wanawaacha 45mn wanaenda kuweka mafuta

Mpaka mnafika Iringa saa tatu asubuh

For sure mnakera sana mjirekebishe

Lipa namba za vituo vingi ni majina ya watu na sio Jina la kampuni

Wanakera sana
Hii mifumo ni nyinyi wenyew abiria mmeitengeneza sasa kazi kwenu kuibomoa
 
Route ya iringa ya usiku wanasema basi linaondoka saa 4, but linatoka manzese saa sita kasoro

Just fikilia mtu umefika stendi since saa mbili
Lilijaa

Kumbuka huu msimu wa ukame kwa abiria usikute walikua wanajivuta kuondoka ili mjaze jaze izo siti
 
Sijui kama kama ipo kampuni itakuja kuwa na huduma nzuri kama au inayokaribiana na Scandinavia Bus sijui..
Ile kipindi abiria kumi tu chuma inatoka kituoni hakuna kampuni itafanya huu ujinga

Izi pigo alikua nazo dar exp sasa hivi chali
 
Ile kipindi abiria kumi tu chuma inatoka kituoni hakuna kampuni itafanya huu ujinga

Izi pigo alikua nazo dar exp sasa hivi chali
Wale walikua professional kwenye usafirishaji kauli nzuri kwa abiria,kutokupoteza mizigo au wizi wowote ndani ya bus walijitahidi kudhibiti sana wizi na kupunguza ajali kwa kwenda mwendo wa kawaida na kujali muda..
Kampuni kufirisika yapo mambo mengi sana mazee.
 
Ile kipindi abiria kumi tu chuma inatoka kituoni hakuna kampuni itafanya huu ujinga

Izi pigo alikua nazo dar exp sasa hivi chali
Lakini siku hizi kampuni zilizo makini tiketi zao zinakwisha mapema sana kabla mabasi mengine hayajaanza kupata abiria. Mfano ndio hao kina Shabiby, Al Saedy ya Iringa nk
 
Kuna yule dada wa stand morogoro msamvu anafokea sana abilia bila sababu
 
Ninayo, sipendi kuendesha gari usiku then kesho yake unafanya kazi, na njia ya dar to iringa unajua balaa lake
Kila nikiwaza kona za Iyovi na kitonga bora niaache ka vitz kangu home nipande Bus japo kero ndo nyingi
 
Kila nikiwaza kona za Iyovi na kitonga bora niaache ka vitz kangu home nipande Bus japo kero ndo nyingi

Kabisa, zile kona ni balaa, kama hupiti ile njia kila week, ah kwenu wanaweza kufunga turubai
 
Naenda moja kwa moja kwenye hoja yangu

Kampuni hii ya usafirishaji ina mambo ya kuudhi sana

Kwanza simu zao hawapokei, unaweza kupiga simu 1hr zinaita mara busy mara zinaita mara busy

Pili muda wao wa safari ni changamoto sana, mfano kama unaenda Iringa usiku wanasema basi linaondoka saa 4 kamili, jambo la kushangaza basi linatoka pale saa sita kasoro

Mkifika Morogoro pale hotelin wanawaacha 45mn wanaenda kuweka mafuta

Mpaka mnafika Iringa saa tatu asubuh

For sure mnakera sana mjirekebishe

Lipa namba za vituo vingi ni majina ya watu na sio Jina la kampuni

Wanakera sana

Pole sana kiongozi
Nikuulize tu, hizo changamoto umezipata mara ngapi ukiwa safarini kwenye hayo mabasi ?
Nimeuliza hivyo kwa sababu, huu utandawazi unafanya watu wakuze sana mambo hata kwa changamoto aliyo ipitia siku moja tu.
NI VIZURI TUWE WAANGALIFU KABLA YAKUCHAFUA BIASHARA ZA WATU HUKU KWENYE MITANDAO!
 
Hizi changamoto nimepata zaidi ya mara tano, na leo hii tarehe 25 muda huu niko abc manzese nasubiri kusafiri kwenda iringa, na basi la usiku

Now ni saa tatu, basi linatakiwa kuondoka saa 4, ila najua tunatoka saa sita,

So baada ya kufika iringa saa 12 tuwahi mishe zetu then tutafika saa tatu asubuh
 
wabongo tuna shida sana kwenye biashara za watu..mtoa mada ABC ni kampuni yenye mabasi mengi na madereva wengi pia..mfano kampuni ina mabasi 10 au madereva tofauti..na kampuni ABC ni jina tu kibiashara lakini wafanyakazi wanaajiriwa kila siku wenye tabia tofauti..hivyo sio poa kuhukumu kampuni nzima au mabasi yote na madereva wote sababu tu ya uzembe na ego binafsi ya wafanyakazi wachache..kwa ishu ya mleta mada huo ujinga uliokutana nao kwenye basi moja au mfanyakazi mmoja ofisini udai kampuni yote haifai kisa ulisumbuliwa na wafanyakazi wawili watatu wasiojielewa wakakupa huduma mbovu kisha uje uituhumu kampuni nzima au wafanyakazi woote haiwezi kuwa sahihi.!
 
Swala la basi kuondoka saa sita kasoro na sio saa 3 kama ilivyoandikwa ni swala la dereva?

Ishu ya Lipa namba kuwa na majina binafsi na sio la kampun hilo la mfanyakazi?

Wewe ukipanda basi ukapoteza mzigo au gari likapata ajari unaenda kumdai kampun au dereva?

Uwe unasoma hoja na kuelewa kabla haujajibu

Pole kwa kufungwa na yanga
 
Back
Top Bottom