Abood pale Gereji kwake huwa anafanya 'ugwiji' waziwazi na ameshasema kama hutaki, tafuta basi za kampuni nyingine upande, ila yeye pale upende usipende lazima gari iingie, abiria mshuke nje likafanyiwe mambo ndani ndio muondokeOhhh ni kweli hata Abood huwa wanawapeleka ofisini kwao kule moro ila sikumbuki kama inafika 45 minutes.
Kuna siku nimekata tiketi safari ya tunduma gari ya saa moja nafika manzese gari haijafika abiria tunaambiwa gari ipo garage matokeo yake tumepanda gari gari iliyotoka singida imewashusha abiria hapo hapo tumeambiwa wale wa tunduma mtapanda gari hii na safari ikaanza saa tatu kasoro. Hili tatizo kumbe bado wanalo
Na huu utaratibu amedumu nao tangu enzi ya Hood na Islam, kweli kabisa mkuu.Abood pale Gereji kwake huwa anafanya 'ugwiji' waziwazi na ameshasema kama hutaki, tafuta basi za kampuni nyingine upande, ila yeye pale upende usipende lazima gari iingie, abiria mshuke nje likafanyiwe mambo ndani ndio muondoke
Abood pale Gereji kwake huwa anafanya 'ugwiji' waziwazi na ameshasema kama hutaki, tafuta basi za kampuni nyingine upande, ila yeye pale upende usipende lazima gari iingie, abiria mshuke nje likafanyiwe mambo ndani ndio muondoke
Pole sana mkuu.You know ikiwa mchana haina shida, sasa ndugu yangu saa tisa usiku, na ile baridi pale ni hatar
Nakazia nimsafiri wa mara Kwa mara na bushizi, hawaendi na mda, unakata bus hili mara paa unabadiliahiwa bus. Wahusumu hawasikilizi wateja Kwa wakati, nikama Kuna mgomo wa sirisiri. Wamewatoa New force Tunduma kiaina, wamewafanya new force kupoteza Haina Kwa abriroa. Ningefurahi sana na KATARAMA aingoe ruti ya Dar Tunduma kuleta ushindani. Watu wanahitaji Bus za kisasa, huduma za choo. Safari ndefu namna hii inahitaji luxury buss.Naenda moja kwa moja kwenye hoja yangu
Kampuni hii ya usafirishaji ina mambo ya kuudhi sana
Kwanza simu zao hawapokei, unaweza kupiga simu 1hr zinaita mara busy mara zinaita mara busy
Pili muda wao wa safari ni changamoto sana, mfano kama unaenda Iringa usiku wanasema basi linaondoka saa 4 kamili, jambo la kushangaza basi linatoka pale saa sita kasoro
Mkifika Morogoro pale hotelin wanawaacha 45mn wanaenda kuweka mafuta
Mpaka mnafika Iringa saa tatu asubuh
For sure mnakera sana mjirekebishe
Lipa namba za vituo vingi ni majina ya watu na sio Jina la kampuni
Wanakera sana
Sasa safari za ndani unataka kula njiani hivi huwa hamjiuhurumii?Napenda basi linalosimama kuanzia 30minutes wakati wa kula au mapumziko. Sio mnakula juu juu dakima kumi tu. Kilimanjaro pia Wana utaratibu huo.
Route ya Dar Sumbawanga inahitaji muwekezaji wa kisasa aingize luxury za kisasa, New force wamejisahau, hata Usb kwenye viti ni shida.Nakazia nimsafiri wa mara Kwa mara na bushizi, hawaendi na mda, unakata bus hili mara paa unabadiliahiwa bus. Wahusumu hawasikilizi wateja Kwa wakati, nikama Kuna mgomo wa sirisiri. Wamewatoa New force Tunduma kiaina, wamewafanya new force kupoteza Haina Kwa abriroa. Ningefurahi sana na KATARAMA aingoe ruti ya Dar Tunduma kuleta ushindani. Watu wanahitaji Bus za kisasa, huduma za choo. Safari ndefu namna hii inahitaji luxury buss.
Hivi huwezi kula crips na juice mpaka ufike safari yako ndio ukale uko unapokwenda?Napenda sana dkk kuwa zaidi ya 15 ktk vituo vya usaidizi ( hotel) maana kula na kuchimba dawa kwa dkk 10 ni mtihani sana. Lol
Nakazia nimsafiri wa mara Kwa mara na bushizi, hawaendi na mda, unakata bus hili mara paa unabadiliahiwa bus. Wahusumu hawasikilizi wateja Kwa wakati, nikama Kuna mgomo wa sirisiri. Wamewatoa New force Tunduma kiaina, wamewafanya new force kupoteza Haina Kwa abriroa. Ningefurahi sana na KATARAMA aingoe ruti ya Dar Tunduma kuleta ushindani. Watu wanahitaji Bus za kisasa, huduma za choo. Safari ndefu namna hii inahitaji luxury buss.
Heeee .....yaani nakazia!
Kuondoka kwa kuchelewa pale manzese bila maelezo ....mara eti wanapakia mizigo sababu NDIYO inayompa boss Pesa, Sasa si atafute vikenta kama mwenzie Kimbinyiko!
Vituoni wanauweka sana mpk kama unatarajia kuunganisha kama msafiri wa kijijini unakuta hamna usafiri!
Sipandi Tena mibasi yako
Hizi kampuni bado zipo? Maana nakumbuka nilikua nazipanda 2012 kwenda mbeya nikitokea huku kaskazini na pale gereji kwake lazima tuingieNa huu utaratibu amedumu nao tangu enzi ya Hood na Islam, kweli kabisa mkuu.
Pole sanaSiku zote ambazo nimesafiri nao usiku, siku zilikuwa mbaya
Last week wametuweka manzese mpaka saa sita kasoro, wakati gari ilitakiwa kuondoka saa 4
Unafika moro hotelin saa nane, noo food no anything yet wanaenda kuweka mafuta tunakaa tena Pale 45mn
Hood nafikiri amepoteaHizi kampuni bado zipo? Maana nakumbuka nilikua nazipanda 2012 kwenda mbeya nikitokea huku kaskazini na pale gereji kwake lazima tuingie