Vien
JF-Expert Member
- Mar 6, 2020
- 7,290
- 11,808
Hii kampuni haiko makini hasa kusafirisha mizigo, juzi ijumaa nimenunua taa, za kusafirisha mbeya, nimefika office za ABC
Kwa mfumo huu kweli hii kampuni itapoteza wateja wengi sana kwa kuendelea kupuuza mali za watu
Wakaniambia kama nimebeba vitu vya kupasuka hawana dhamana ya mzigo
Wakaangalia mzigo wangu wakasema kwa thamani ya mzigo nilipe 55000, cha ajabu receipt ya machine ikatoka 45000, hii nlikuja ku notice baadaye
Mzigo umefika mbeya taa karibu zote zimevunjika
Kwa mfumo huu kweli hii kampuni itapoteza wateja wengi sana kwa kuendelea kupuuza mali za watu