KERO Kampuni Ya Mabasi ABC upper class Mnakera Sana

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
hiz kampun kongwe huwa wanajikuta, mie nlishaacha kupanda kampun kongwe,, hizi mpya mpya zinajali sana wateja,,, nna basi langu pendwa , nawajua madereva wote, wahudumu wote,

nkitaka kusafiri napga simu tu, naekewa siti nzuri,, mastori kama kawa,, imefika hatua vimzigo vdogo vdogo nikitaka kulipia naambiwa kausha broO
 
Naenda moja kwa moja kwenye hoja yangu

Kampuni hii ya usafirishaji ina mambo ya kuudhi sana

Kwanza simu zao hawapokei, unaweza kupiga simu 1hr zinaita mara busy mara zinaita mara busy

Pili muda wao wa safari ni changamoto sana, mfano kama unaenda Iringa usiku wanasema basi linaondoka saa 4 kamili, jambo la kushangaza basi linatoka pale saa sita kasoro

Mkifika Morogoro pale hotelin wanawaacha 45mn wanaenda kuweka mafuta

Mpaka mnafika Iringa saa tatu asubuh

For sure mnakera sana mjirekebishe

Lipa namba za vituo vingi ni majina ya watu na sio Jina la kampuni

Wanakera sana
Nina mpango wa kuwafungulia mashtaka. wamenikatia tiketi ya kieletronic nikatumiwa ujumbe kwenye simu kwa SMS bahati mbaya sikusoma SMS yote. Nimefika Dar napeleka madai kwa muhindi wangu ili anirudishie nauli yangu nakuta nauli imeandikwa TBR to Dar shs 100 (Mia moja) . Muhindi kagoma kunirudishia 50,000 niliyolipa akidai tiketi inaonyesha nimelipa sh 100.Nimeshaenda Latra wameniambia niende kesho. Shenzi sana hawa
 
Naenda moja kwa moja kwenye hoja yangu

Kampuni hii ya usafirishaji ina mambo ya kuudhi sana

Kwanza simu zao hawapokei, unaweza kupiga simu 1hr zinaita mara busy mara zinaita mara busy

Pili muda wao wa safari ni changamoto sana, mfano kama unaenda Iringa usiku wanasema basi linaondoka saa 4 kamili, jambo la kushangaza basi linatoka pale saa sita kasoro

Mkifika Morogoro pale hotelin wanawaacha 45mn wanaenda kuweka mafuta

Mpaka mnafika Iringa saa tatu asubuh

For sure mnakera sana mjirekebishe

Lipa namba za vituo vingi ni majina ya watu na sio Jina la kampuni

Wanakera sana
Mmh naona siku yako ilikuwa mbaya.
Mbona haina matatizo kiasi hicho?

Nimesafiri nayo sana..sema kuna siku Dereva alisinzia akatupeleka porini
 
Wewe boya ndio utakuwa ni chawa wa ABC na ndio maaana umekuja kutetea kwa suala ambalo lipo wazi.
Kuwa na adabu kutukana tukana watu mtandaoni utakuja kumtukana kibenten wa mamaako.
 
hiz kampun kongwe huwa wanajikuta, mie nlishaacha kupanda kampun kongwe,, hizi mpya mpya zinajali sana wateja,,, nna basi langu pendwa , nawajua madereva wote, wahudumu wote,

nkitaka kusafiri napga simu tu, naekewa siti nzuri,, mastori kama kawa,, imefika hatua vimzigo vdogo vdogo nikitaka kulipia naambiwa kausha broO
kila la heri ipo siku na nauli utaambiwa kausha.
 
Mkuu ilinitokea nikadhani labda ni bahati mbaya, tulitakiwa kwenda Dodoma saa 4 mpaka saa 6 hatujaondoka, simu unapiga inaita tu bila kupokelewa. Ingawa mabasi yao yana ubora.
 
Mmh naona siku yako ilikuwa mbaya.
Mbona haina matatizo kiasi hicho?

Nimesafiri nayo sana..sema kuna siku Dereva alisinzia akatupeleka porini

Siku zote ambazo nimesafiri nao usiku, siku zilikuwa mbaya

Last week wametuweka manzese mpaka saa sita kasoro, wakati gari ilitakiwa kuondoka saa 4

Unafika moro hotelin saa nane, noo food no anything yet wanaenda kuweka mafuta tunakaa tena Pale 45mn
 
Naenda moja kwa moja kwenye hoja yangu

Kampuni hii ya usafirishaji ina mambo ya kuudhi sana

Kwanza simu zao hawapokei, unaweza kupiga simu 1hr zinaita mara busy mara zinaita mara busy

Pili muda wao wa safari ni changamoto sana, mfano kama unaenda Iringa usiku wanasema basi linaondoka saa 4 kamili, jambo la kushangaza basi linatoka pale saa sita kasoro

Mkifika Morogoro pale hotelin wanawaacha 45mn wanaenda kuweka mafuta

Mpaka mnafika Iringa saa tatu asubuh

For sure mnakera sana mjirekebishe

Lipa namba za vituo vingi ni majina ya watu na sio Jina la kampuni

Wanakera sana

Biasha inayotoa Huduma ya usafiri ikikosea mwenye departure time, itatoka kwenye Biashara siku si nyingi,
 
Kuna siku nilienda kutuma mzigo kwenda iringa aisee nilijuta ABC kuna jamaa alonipokea alikuwa anajibu ovyo kama vile ule mzigo nilikuwa natuma bure for sure nilighairi palepale na baadae kuna mmoja wa staff wa pale akanambia yule ndiyo mtoto wa boss na ndiyo alivyo aisee jamaa anakera na kama ni kweli basi kuna uwezekano hata haya yanayoendelea ni sehem ya majukumu yake ila ilikuwa kampuni yangu pendwa sana.
 
Naenda moja kwa moja kwenye hoja yangu

Kampuni hii ya usafirishaji ina mambo ya kuudhi sana

Kwanza simu zao hawapokei, unaweza kupiga simu 1hr zinaita mara busy mara zinaita mara busy

Pili muda wao wa safari ni changamoto sana, mfano kama unaenda Iringa usiku wanasema basi linaondoka saa 4 kamili, jambo la kushangaza basi linatoka pale saa sita kasoro

Mkifika Morogoro pale hotelin wanawaacha 45mn wanaenda kuweka mafuta

Mpaka mnafika Iringa saa tatu asubuh

For sure mnakera sana mjirekebishe

Lipa namba za vituo vingi ni majina ya watu na sio Jina la kampuni

Wanakera sana
Usipokuwa makini kwenye biashara yako, wakukuangusha au kufanikiwa ni waajiriwa. Lazima uwe makini sana sana
 
Naenda moja kwa moja kwenye hoja yangu

Kampuni hii ya usafirishaji ina mambo ya kuudhi sana

Kwanza simu zao hawapokei, unaweza kupiga simu 1hr zinaita mara busy mara zinaita mara busy

Pili muda wao wa safari ni changamoto sana, mfano kama unaenda Iringa usiku wanasema basi linaondoka saa 4 kamili, jambo la kushangaza basi linatoka pale saa sita kasoro

Mkifika Morogoro pale hotelin wanawaacha 45mn wanaenda kuweka mafuta

Mpaka mnafika Iringa saa tatu asubuh

For sure mnakera sana mjirekebishe

Lipa namba za vituo vingi ni majina ya watu na sio Jina la kampuni

Wanakera sana
Unasafirishwaga bure? au huwa unashikiwa mtutu wa bunduki kupanda hayo Mabasi? Hivi huu ujinga wa uzezeta utatutoka lini?
 
Kuna siku nilimkatia mke wangu ticket kwenda dodoma kutoka dar es salaam, kwanza lilichelewa sana kuja cha pili gari halikuja lile nililokata(lilikua linaenda singida) na lilikua gari bovu sana.
 
Back
Top Bottom