The redemeer
JF-Expert Member
- Jan 28, 2025
- 4,780
- 8,155
Hayo ya kuchimba dawa ni ya kizamani panda yenye toilet ndaniWana mambo ya hovyo, wajinga wanawapeleka masaa kibao bila kuchimba dawa yaani hawajui utamu wa safari ni kuchimba dawa
Hayo ya kuchimba dawa ni ya kizamani panda yenye toilet ndaniWana mambo ya hovyo, wajinga wanawapeleka masaa kibao bila kuchimba dawa yaani hawajui utamu wa safari ni kuchimba dawa
Ndo maana wajanja uajiri wakenya au wageni kuliko mbongo akishapata hela ya bia na chupi kwake ni maisha tosha.Usipokuwa makini kwenye biashara yako, wakukuangusha au kufanikiwa ni waajiriwa. Lazima uwe makini sana sana
mkuu basi kuondoka muda tofauti na wa kwenye tiketi je,ni kwa mabasi yote ya kampuni au ni hilo moja tu.? je, na hiyo kuwa hivyo kila siku.?Swala la basi kuondoka saa sita kasoro na sio saa 3 kama ilivyoandikwa ni swala la dereva?
Ishu ya Lipa namba kuwa na majina binafsi na sio la kampun hilo la mfanyakazi?
Wewe ukipanda basi ukapoteza mzigo au gari likapata ajari unaenda kumdai kampun au dereva?
Uwe unasoma hoja na kuelewa kabla haujajibu
Pole kwa kufungwa na yanga
mkuu basi kuondoka muda tofauti na wa kwenye tiketi je,ni kwa mabasi yote ya kampuni au ni hilo moja tu.? je, na hiyo kuwa hivyo kila siku.?
na kuhusu Lipa namba kwanza sio lazima lipa namba iwe ni jina la kampuni hata jina lako binafsi linaweza kuwa Lipa namba na ukapokea malipo kwa niaba ya biashara au kampuni yako..kwahiyo hilo Lipa namba kuwa na jina la mtu inaweza kuwa mwenye hilo jina la lipa namba ndio boss mwenyewe mmiliki wa hayo mabasi au mwakilishi wake anapokea malipo kwa niaba ya boss mkuu sisi huku hatujui.
kuhusu basi kupata ajali ukiwa ni abiria mm sijawahi kusikia eti kampuni ya basi lililopata ajali linawalipa abiria wake ila mm najua ni basi lina bima ndio litalipwa..kwani abiria nao wanabima hadi walipwe kama kuna sheria inasema wahanga wa ajali walipwe ne,inatekelezwa tanzania hii.au ukisalimika kwenye ajali unamshukuru mungu maisha yanaendelea.!
Mie huwa sili njiani nikiwa safarini, ila napenda kupumzika wakati wa kusimama hotelini.Hivi huwezi kula crips na juice mpaka ufike safari yako ndio ukale uko unapokwenda?
Kwanza mimi kufanywa mjinga huwa sipendi, bei za hivyo vyakula ukiachanaa na usalama wa tumbo haviendani, siwezi kununuwa chakula kwa watu wanaokufanya wewe fala.
Kuna yule dada wa stand morogoro msamvu anafokea sana abilia bila sababu

Huenda kuna shida somewhere ni kweli hivi sasa huduma zao zimezorota sana sijui kuna mtu gani wamemuondoa kwenye position fulaniNaenda moja kwa moja kwenye hoja yangu
Kampuni hii ya usafirishaji ina mambo ya kuudhi sana
Kwanza simu zao hawapokei, unaweza kupiga simu 1hr zinaita mara busy mara zinaita mara busy
Pili muda wao wa safari ni changamoto sana, mfano kama unaenda Iringa usiku wanasema basi linaondoka saa 4 kamili, jambo la kushangaza basi linatoka pale saa sita kasoro
Mkifika Morogoro pale hotelin wanawaacha 45mn wanaenda kuweka mafuta
Mpaka mnafika Iringa saa tatu asubuh
For sure mnakera sana mjirekebishe
Lipa namba za vituo vingi ni majina ya watu na sio Jina la kampuni
Wanakera sana
Mohammed trans, mombasa rahaSijui kama kama ipo kampuni itakuja kuwa na huduma nzuri kama au inayokaribiana na Scandinavia Bus sijui..
Scandinavia ilikua abiria akisahau kitu chochote cha thamani kwenye bus wakifika mwisho wa safari yao wanapiga simu kwa kuangalia kwenye chart ya seat aliyokaa abiria..Mohammed trans, mombasa raha
Napenda sana madereva wanaosinzia safariniMmh naona siku yako ilikuwa mbaya.
Mbona haina matatizo kiasi hicho?
Nimesafiri nayo sana..sema kuna siku Dereva alisinzia akatupeleka porini
Unashindwa kubadili hadi pediNapenda sana dkk kuwa zaidi ya 15 ktk vituo vya usaidizi ( hotel) maana kula na kuchimba dawa kwa dkk 10 ni mtihani sana. Lol
Ni kweli kabisaa.Unashindwa kubadili hadi pedi
Sijajua kwa siku hio ila Jamaa nasafiri nao Sana wako vizuri sanaNaenda moja kwa moja kwenye hoja yangu
Kampuni hii ya usafirishaji ina mambo ya kuudhi sana
Kwanza simu zao hawapokei, unaweza kupiga simu 1hr zinaita mara busy mara zinaita mara busy
Pili muda wao wa safari ni changamoto sana, mfano kama unaenda Iringa usiku wanasema basi linaondoka saa 4 kamili, jambo la kushangaza basi linatoka pale saa sita kasoro
Mkifika Morogoro pale hotelin wanawaacha 45mn wanaenda kuweka mafuta
Mpaka mnafika Iringa saa tatu asubuh
For sure mnakera sana mjirekebishe
Lipa namba za vituo vingi ni majina ya watu na sio Jina la kampuni
Wanakera sana
Ndg kutwa nzima uko kwenye bus ule biscuits? Let's say inatoka saa 8 mchana, unakuja kufika saa 4 asubuhi.Hivi huwezi kula crips na juice mpaka ufike safari yako ndio ukale uko unapokwenda?
Kwanza mimi kufanywa mjinga huwa sipendi, bei za hivyo vyakula ukiachanaa na usalama wa tumbo haviendani, siwezi kununuwa chakula kwa watu wanaokufanya wewe fala.
Iringa kuna ndege (Air Tanzania, Precision na Flighlink)Naenda moja kwa moja kwenye hoja yangu
Kampuni hii ya usafirishaji ina mambo ya kuudhi sana
Kwanza simu zao hawapokei, unaweza kupiga simu 1hr zinaita mara busy mara zinaita mara busy
Pili muda wao wa safari ni changamoto sana, mfano kama unaenda Iringa usiku wanasema basi linaondoka saa 4 kamili, jambo la kushangaza basi linatoka pale saa sita kasoro
Mkifika Morogoro pale hotelin wanawaacha 45mn wanaenda kuweka mafuta
Mpaka mnafika Iringa saa tatu asubuh
For sure mnakera sana mjirekebishe
Lipa namba za vituo vingi ni majina ya watu na sio Jina la kampuni
Wanakera sana
Nakazia, SBC sasahivi wsnaboa sana, soon hii campuni inaenda kupoteaGari zao nyingi siku hizi ni mbovu, tuwe wakwli, awali walikuwa wazuri sana
Nilishaacha kula njiani siku nyingi, nakula snacks tu juice na maji.Ndg kutwa nzima uko kwenye bus ule biscuits? Let's say inatoka saa 8 mchana, unakuja kufika saa 4 asubuhi.