Kampeni ya Ubunge Arusha Mjini - Batilda Burian Vs Lema

Kampeni ya Ubunge Arusha Mjini - Batilda Burian Vs Lema

KATI YA BATILDA NA LEMA YUPI ATIBUKA KIDEDEA?


  • Total voters
    52
.... hatuamini awe mzee wa ccm au hata wewe taarifayako haina ukweli. CCM wanatoa rushwa usiku majumbani kwa watu. na hii ni mikoa yote na wilaya zote. ccm mdudu mbaya sana. Mungu yuko atawatoa watanzania katika hatari hii ya rushwa tarehe 31/10/2010. :llama:
 
Wakuu muda mfupi uliopita nimebahatika kukutana na viongozi wa CCM wilaya ya Arusha wamesema madai ya Lema ni uzushi.Bahati nzuri viongozi niliokutana nao ni wapinzani wa Mama Batilda ndani ya CCM,hawana sababu za kutetea udhaifu wa mpinzani wao.

Wamenimbia Mama Batilda yuko Marekani kwa matibabu zaidi baada ya kubaini MT Meru Hospital hakuna vitanda vya kutosha wala madaktari wa viwango vya kimataifa.Anatarajiwa kijifungua huko huko marekani kukwepa mapapazi ambao wako macho juu juu kuchunguza baba wa mtoto ni nani.

Nimewaeleza kwani mawakala wake hawawezi kufanyakazi ya kutoa kitu kidogo kwaniaba yake ????.Sikupata jibu la kunirizisha.

Nani kavaa viatu vyake vya kampeni??
 

Heshima kwako calnde,

Mkuu ujauzito ni issue kubwa Arusha labda mtashangaa kidogo.
wanawake wengi wanauliza kakaa bungeni miaka kumi kashindwa kuisaidia hospital ya mkoa akina mama wawili mpaka watatu wanalazimka kutumia kitanda kimoja.Wanamwona msanii hatakwenda akujifungulia Mt Meru Hospital ikitokea akenda atapewa special treatment.Mama Batlda alikuwa akitegemea kura za wanawake lakini wamemgeuka mpaka kachanganyikiwa.

Mama Batilda kafanya kosa kubwa kuitenga CCM wilaya kaamua kuunda timu yake ya kampeni nje ya utaratibu wa chama chake,wenye chama wamekaa pembeni wanamcheka.Leo nilibahatika kukutana na kiongozi wa CCM wilaya bila kuficha alionyesha kufurahia anguko la mgombea wao.

This xplanations .... seems to explain and elaborate the whole issue to its core... mengine ni porojo tu!!

May be I should add one of my own.... if she will loose the seat, its for the better in that ... she is having this closeness with EL ..which isnt that health to the future of the nation!! There is the feelings EL is supplying a lot of dirty cash to get her in " A" town for for the former PM stratagic reasons...So ARUSHAAAA? ... go go go go ...vote against her!!
 
Imeandikwa kwenye maandiko matakatifu ya kuwa:

DEUTORONOMY: 32: 36 HE WILL JUDGE HIS PEOPLE AND HAVE COMPASSION ON HIS SERVANTS WHEN HE SEES THEIR POWER IS GONE, AND THAT THERE IS NO ONE REMAINING , BOND OR FREE

Maswali ninayojiuliza hivi katika umri wa Dr. Batilda ambao ni karibu miaka hamsini je huo ujauzito ni kweli? Na kama kweli huo ujauzito una miezi mingapi? Kwenye ndege huwa hawaruhusu wenye mimba zenye miezi saba na kuendelea sasa hiyo mimba yake ina miezi mingapi hadi akaruhusiwa kupanda ndege? Watoto wake wawili aliwazalia hapa nchini mbona hayo maswali ya baba wa mtoto ni nani hayakuwepo au hospitali zetu hazina magwiji wa kumsaidia kujifungua. HIZI NGONJERA NI ZA NINI?

Nionavyo ana matatizo mengine ya kiafya ambayo anaona hata aibu kuwapa nafasi madaktari wa bongo kuyajua kwa undani zaidi. Lakini yatajulikana huko mbeleni.

Kwenye maandiko matakatifu haya hapa chini tunajifunza yafuatayo:-

PSALMS 50:21 These things you have done, and I kept silent; you thought I was altogether like you; but I will rebuke you, and set them in order before your eyes
 
Awali ya yote, mimi siko Arusha na hata huyu dada tunayemzungumzia simjui. Mimi hapa najibu mada kama ilivyoletwa kuwa wananchi wa Arusha hawamtaki kwa sababu mbalimbali mojawapo ikiwa ya kuolewa na mzanzibari. Ninachokisema ni kuwa, kama hivyo ni kweli, basi ile sumu ya lugha za kibaguzi zinazotalwala uhusiano wetu na Zanzibar imewasili bara! Ndio maana nikasema kuwa inaelekea hao wapiga kura wanaiona Zanziba kama nchi adui hadi kuona yeyote mwenye mahusiano nako ni adui. Sidhmchango mkubwa katika kukataliwa kwake kama hilo la kuolewa na mtu kutoka nchi isiyo kubalika. Mimi nimeongelea dini kujibu hoja ya Kanda2 kuhusu Ana Komu ambae sikujua kuwa ni mngazija au mtu aliyeritadi.

Sikubaliani na wewe kuwa kisa cha wakristu kuwa adimu katika uongozi Zanziba ni kutokana na demographics peke yake! Na hata huko Rombo, Peramiho, Moshi vijijini hivyo hivyo. Ukweli ni kuwa watu wengi wanapiga kura kwa kuangalia dini ya mtu hasa inapokuja kwenye local politics. Nawajua wakristu wengi tu ambao wako tayari kupigia kura jiwe kuliko huyo ambae wanamuona kuwa ni "mswahili". Zanzibar nako ukweli ni kuwa wengi hawako tayari kumpigia kura "kafir". Ukweli huu, ndio unaofanya wale wanaotoka kwenye minority religions kutojisumbua kugombea nafasi za uongozi katika sehemu wanazoishi. Hizo hesabu zako zina mushkel kidogo maana hakuna connection kati ya idadi ya watu na mwamko wao kisiasa. Wayahudi wako wachache marekani lakini mbona wanamwamko wa kuongoza na wanakubalika. Kama mtu kugombea kunategemea wingi wa kundi analofanana nalo basi hiyo ni dalili ya ubaguzi kuwepo.

Kuacha kuzungumzia udini, ukabila, ubaguzi wa rangi na maovu mengine yaliyo nchini yetu kwa kisingizio cha kuangalia "big picture" ni kuwa kama ostrich anaye fukia kichwa chake kwenye mchanga ili asionekane. Ingekuwa vizuri sana kama kila mgombea angeweza kupimwa kutokana na uwezo wake au ushawishi wake lakini bahati mbaya si hivyo. Jinsia ( uja uzito wa huyu dada ni moja ya ishu zilizoletwa hapa!), rangi, dini, uzawa bado zinachukua sehemu kubwa katika jamii yetu hata kama haipendezi. Kama alivyoandika Cornell West, " Race Matters". It still does. And religion and gender and all the rest of it!

Amandla.........


Man wewe c mwelewa kwanini nakwambia hivyo hakuna m2 arusha anasema ha2mtaki batilda kwa sababu ya dini yake hiyo kauli hamna bali wa2 wanataka mabadiliko huyu mama tokea aanze kazi katika serikali ye2 kafanya nini ili wa2 wa arusha wampigie kura jibu rahisi hamna
 
Kha! mtu anakua DISQUALIFIED kwa sababu ameolewa Zanzibar!
Si suala tu la kuolewa zanzibar, ni mkazi wa zanzibar. Hujaona wazanzibar waliokataliwa kupiga kura zanzibar sababu tu wanaishi bara? Sembuse kiongozi. (Rejea vitambulisho vya ukaazi)
 
Man wewe c mwelewa kwanini nakwambia hivyo hakuna m2 arusha anasema ha2mtaki batilda kwa sababu ya dini yake hiyo kauli hamna bali wa2 wanataka mabadiliko huyu mama tokea aanze kazi katika serikali ye2 kafanya nini ili wa2 wa arusha wampigie kura jibu rahisi hamna

Hauwezi kuwazungumzia watu wote wa Arusha. Ushahidi ni wa huyu aliyeleta mada hii hapa ambayo anadai ni matokeo ya mazungumzo yake na watu wa Arusha. Ingawa si kitu tunachopenda kusikia lakini bado katika jamii yetu kuna wengi tu ambao watapiga kura kutokana na muangalio wa jinsia, dini, kabila na rangi. Si Arusha peke yake bali nchi nzima. Tunachoweza kufanya ni kuhakikisha kuwa mambo ya muhimu zaidi yanapewa kipaumbele lakini kujidanganya kuwa haya ya kipuuzi hayapo ni hatari mno. Hivi kweli, Mkuu, unataka kuniambia kuwa wabunge wote wanaokubalika ni kutokana na utendaji wao tu na hakuna chembe ya huyu ni wa kwetu? Huyu dada si the worst of the lot lakini bahati yake mbaya mambo mengi yamekutana kwake!

Amandla.........
 
Ccm oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
polen wana ccm ama wapinzani mlishachemsha kumpitisha na huyo ndie mbunge wenu mtarajiwa mtake msitake na asipopita natangaza kuvua nguo hadharani hapa jamvini
kidumu chaama cha maskini
Uuuuuuuwiiiiiiiiiiiiiiiiiii!
 
Wakuu muda mfupi uliopita nimebahatika kukutana na viongozi wa CCM wilaya ya Arusha wamesema madai ya Lema ni uzushi.Bahati nzuri viongozi niliokutana nao ni wapinzani wa Mama Batilda ndani ya CCM,hawana sababu za kutetea udhaifu wa mpinzani wao.

Wamenimbia Mama Batilda yuko Marekani kwa matibabu zaidi baada ya kubaini MT Meru Hospital hakuna vitanda vya kutosha wala madaktari wa viwango vya kimataifa.Anatarajiwa kijifungua huko huko marekani kukwepa mapapazi ambao wako macho juu juu kuchunguza baba wa mtoto ni nani.

Nimewaeleza kwani mawakala wake hawawezi kufanyakazi ya kutoa kitu kidogo kwaniaba yake ????.Sikupata jibu la kunirizisha.


Ameenda Kujifungulia Marekani ili Mtoto apate URAIA WA MAREKANI Huyo
 

Mkuu Henge umefika Mt Meru Hosp hali ni mbaya sana unategemea Mhe atibiwe pale au hujui hizi hosp ni kwaajili yetu walalahoi.Halafu kuna hili suala la RITA kundikisha watoto wazaliwapo si mtaanza kumchimba mama wa watu akose kura za huruma.

Tanzania Hospitali ni mount Meru tu. Jamani hata kuzaa mtu aende Marekani, du tumekwisha.
 
Unaona ulivyo mnafiki! umeanzisha mada ya kuchochea udini na ujinsia na sasa unadai "vitatuvuruga" wewe huyo huyo!.

Kuna mchangiaji hapo juu kanena vizuri, kuwa kila mtu akichukua ubao wake hutabaki na nchi kwa maana nyingine likitota tuta gawana mbao!

Kweli kuna watu wamekuwa addicted kugusia maswala ya dini na yanayofanana na hayo. Kama umesoma vizuri what I wrote hakuna chochote kinachohusiana na dini. Ila nadhani hisia zako ndio zinakufanya uone kile ambacho hakipo. And I wonder why religion? kila sehemu hata pale ambapo haipo utaona inavutwa kwa mbaaaali alimradi izungumziwe. We have to change
 
Kweli kuna watu wamekuwa addicted kugusia maswala ya dini na yanayofanana na hayo. Kama umesoma vizuri what I wrote hakuna chochote kinachohusiana na dini. Ila nadhani hisia zako ndio zinakufanya uone kile ambacho hakipo. And I wonder why religion? kila sehemu hata pale ambapo haipo utaona inavutwa kwa mbaaaali alimradi izungumziwe. We have to change

Hivi wakati wazee wetu walipokuwa wakiwazuia mashehe na mapadre kuongelea masuala ya siasa misikitini na makanisani hamkuelewa busara zao. Sasa tunakula matunda ya haki zetu tulizokuwa tunatumia kurasimisha siasa katika nyumba za ibada eti kwa jina la ukombozi. Tulipokuwa tunachezea misingi ya utaifa wetu tulidhani itasaidia kusolve matatizo ya mpito sasa tunavuna tulichopanda. UDINI, uwe ubaguzi, chuki ama hisia tayari umeshakuwa sehemu ya maisha yetu kisiasa.....hakuna atakayepona katika hili.

Wakati mwengine tujifunze kuheshimu busara za wazee wetu hata kama tunaona zinatuwekea kauzibe kufikia matamanio yetu....
 
kwa muda wa wiki moja na nusu sasa nimekuwepo hapa arusha kwa ajili ya shughuli fulani na nimeshukia kwa rafiki yangu mmoja maene ya makao mapya. Katika nyumba hiyo ipo gari ndogo ya kukodi(tax) ambayo ina kibandiko (stika ) ya dr batilda buriani, mgombea wa ubunge arusha kwa tiketi ya ccm. Ghafla yule dereve akaanza kukitoa kwa mkono na iliposhindikana alienda nda kuchukia kisu na kuanza kukwangua. Nilimuuliza swali moja, kwa nini unamtoa mama huyu, mbunge wetu mtarajiwa? Akajibu. .' nimegundua mama huyu ni mzushi na mduwanzi, mama ni mjamzito, atatuongozaje watu wa arusha?',(anatoa lafudhi ya vijana wa kiarusha)

sasa mimi nikajiuliza, kumbe mama akiwa mjamzito hafai kuwa mbunge? Lakini baadae nikagundua si suala la ujauzuto tuu, mama huyu wengi wa arusha hawamtaki kwa sababu zifuatazo

1. Wanasema hawawezi kuongozwa na mtu aliyeolewa zanzibar
2. Wengi kutokana na athari za mila hawataki kuongozwa na mwanamke
3. Tatu kuna habari zinazosambazwa kwamba mama huyu hafai kwa sababu si mtu aliye na historia ya kuwasaidia watu kama lowassa, na kuna upepo flani tuu unaolenga kuonesha mama huyu hafai
.



hakuna hoja.
 
Jana tulipashwa khabari ya kuwa Mheshimiwa Dr. batilda amekwenda Marekani kujifungua akihofia uduni wa hospitali zetu na majungu lakini leo jioni nimemwona channel ten akipanda mti ingawaje hajachangamka na anaongea akikoroma koroma hivi.

Hivi, siku hizi Dar ni Marekani na sioni kama yeye ni mtu wa kujifungua kwa siku za karibuni........
 
Jana tulipashwa khabari ya kuwa Mheshimiwa Dr. batilda amekwenda Marekani kujifungua akihofia uduni wa hospitali zetu na majungu lakini leo jioni nimemwona channel ten akipanda mti ingawaje hajachangamka na anaongea akikoroma koroma hivi.

Hivi, siku hizi Dar ni Marekani na sioni kama yeye ni mtu wa kujifungua kwa siku za karibuni........


Alionekana Live?

Au ni archive?

Yuko Marekani. Anasubiri ajifungue achakachue sura ya mtoto.
 
Back
Top Bottom