Kampeni ya Ubunge Arusha Mjini - Batilda Burian Vs Lema

KATI YA BATILDA NA LEMA YUPI ATIBUKA KIDEDEA?

  • Total voters
    52
TO OMARILYAS:-

Interesting,

I thought personal issues should remain personal just like the issue of Dr Slaa "WIFE"....

Also it is abhorring to see someone like you using such petty and stupid politics like why Dr Batilda has married to a Pemba and not Arusha man for propaganda...

More interesting is the fact that u based on the issue of personal credibility, u can dare campaigning and even voting for Lema whom we all know who and what he is for all these years and not vote for educated, respectable and humble candidate (YES I BELIEVE SHE IS EVEN THOUGH SHE ADMINISTERED THE ATTEMPT POLITICAL LYNCHING OF MY DEAR FRIEND IN THE PARLIAMENT) like Dr Batilda.

Ofcourse I wont go KKKT issue and become equal to Bongo Tea Partier's like you....

Brilliant English though....

Please re-read the article very carefully. You are criticizing me for personalizing the issue but I am only reporting what is happening on campaign trail. What eligible voters are telling her and what she has been replying but not my personal opinions. If you have been reading Arusha Times, Mwananchi and other newspapers some of these issues have been covered.

My perception is you are too judgmental when you said "I am campaigning and I will vote for Lema" while nothing in the article defers so!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mkubwa hongera sana kwa kauchambuzi haka. Ila pamoja na ukiingereza wangu wa middle school imebidi nichukue dictionary. Naomba ujaribu kuileta tena hii kwa simple, well understood english na ikiwezekana peleka makala magazeti ya kiswahili ili kuwaamsha waliolala. Nataka ashindwe kwa kishindo. Huyu mama ni opportunist sana, ni swahiba wa EDO na kampeni za kutaka awe mbunge wa Arusha mjini zilianza mapema sana backed by FISADI mamvi. Nina mambo yake machafu. Tena hiyo ndoa, natamani huyo mzanzibari ampe talaka tatu kabisa!! She is ....... cha wakubwa huyo!!! Material girl, gold digger!!! Wakuu unajua ukitaka upoteze maadili kwa mwanamke, wewe ingia siasa!!! Nitashauri sana jinsia ya kike iliyonizunguka ijihadhari sana na siasa za chama hasa cha CCM, huku upinzani sina shida nao kabisa!! Yaani nasikitika mno, mtaani kwangu nimezika makada wa chama wengi mno akina mama na wote ni UKIMWI. Mmoja kabla hajafa alinipa ushuhuda wa wazi sana kuwa "ninakufa ila najilaumu sana kujiingiza shughuli za chama, ninaomba hata wajukuu zangu hata mmoja asifuate nyayo zangu za kisiasa". Kama una mke au dada yako huko, pole sana. Kweli ni demokrasia lakini tz demokrasia inatumika vibaya pale ambapo mwamanke ili apate cheo au nafasi ni lazima atoe rushwa i.e bosi fulani akikupigia debe jua sio bure, kuna malipo yake ya kiushkaji!!!! Msinipige mawe, ila nimesema ukweli!!

Mh jamani mbona kuna double standard JF???? Hivi haya hayafanani na mh Slaa? Maana uchafu wa viongozi wetu ni mwingi saana. Tukianza kuyasema haya basi tuwe tunajitahidi kuwa fair kwa wote.
 
Even though she may have a pretty face, I hate this woman whenever I remember her Bunge send-off speech that suspended Zitto Kabwe.
I support you huyu mama alitia kinyaa wakati wa kumsulubu Zitto kwenye issue ya Buzwagi na toka kipindi hicho huwa namuaona fisadi fuluni kwa kusupport mongers
 
si unajua , wanasoma ramani na uongo ndio rada yao? hapo uwe makini sana ccm wakikupa ahadi. Shinyanga wameambiwa watajengewa chuo kikuuu. hahahahaaaaa, na kongwa kiwanja cha ndege.
 
nimeshangaa sana kusikia CCM sasa inamtumia ALEX KAJUMULO kwenye majukwaa yao hii ni ajabu sana.
Kajumulo imekuwaje ndugu kukubali kutumiwa na CCM wakati wewe ni mtu mwelevu na unaelewa jinsi ambavyo
CCM imevuruga nchi yetu ktk kila sekta ???
 
Huyo jamaa Kajumulo ni wale wale ma-social climber wa aina ya akina Michuzi na Mjengwa tu. Ni wachumia matumbo .....
 
Kwa muda wa wiki moja na nusu sasa nimekuwepo hapa Arusha kwa ajili ya shughuli fulani na nimeshukia kwa rafiki yangu mmoja maene ya makao mapya. Katika nyumba hiyo ipo gari ndogo ya kukodi(tax) ambayo ina kibandiko (stika ) ya Dr Batilda Buriani, mgombea wa Ubunge Arusha kwa tiketi ya CCM. Ghafla yule dereve akaanza kukitoa kwa mkono na iliposhindikana alienda nda kuchukia kisu na kuanza kukwangua. Nilimuuliza swali moja, kwa nini unamtoa mama huyu, mbunge wetu mtarajiwa? Akajibu. .' Nimegundua mama huyu ni mzushi na mduwanzi, mama ni mjamzito, atatuongozaje watu wa Arusha?',(anatoa lafudhi ya vijana wa kiarusha)

Sasa mimi nikajiuliza, kumbe mama akiwa mjamzito hafai kuwa mbunge? Lakini baadae nikagundua si suala la ujauzuto tuu, mama huyu wengi wa Arusha hawamtaki kwa sababu zifuatazo

1. Wanasema hawawezi kuongozwa na mtu aliyeolewa zanzibar
2. wengi kutokana na athari za mila hawataki kuongozwa na mwanamke
3. Tatu kuna habari zinazosambazwa kwamba mama huyu hafai kwa sababu si mtu aliye na historia ya kuwasaidia watu kama lowassa, na kuna upepo flani tuu unaolenga kuonesha mama huyu hafai.

Chadema imekubalika sana Arusha kwa sasa, inaonesha kwa mtazamo kama vile watashinda, hata hivyo kelele za watu na wingi wa mashabiki si dalili kamili ya ushindi. Watu wa Arusha, hime, kama kweli mnataka mabadiliko, tar 31 fanyeni jambo, msiridhishwe na wingi wa bendera katika daladala na pikipiki.

NOTE TO CHADEMA
1. Juzi mlimwona shimbo alivyosema, damu haitamwagika maana ameskia kuna watu wanataka kukataa matokeo. Siku hiyohiyo Mh alisema damu haitamwagika,hayo alisema katika kampeni zake. why kauli moja siku moja na wakuu hao? was it coincidence? Na kwanini leo mnadhimu mkuu wa majeshi anazungumzia usalama wa wananchi na si mkuu wa polisi?

2. Yule mkurugenzi wa Arusha, aliyekuwa Arusha amehamishwa in 24 hrs, tena kapelekwa kigoma(if im not mistaken) na kupewa nafasi ndogo kuliko aliyekuwa nayo ARusha, u knw why? Tafakarini, Chukueni hatua
 
Duuu hhh !!! yaani akina Batilda wako wengi CCM ila hatuna watu wa kuwafichua. Pia achana na Shimbo, huyu kibaraka amechemka nadhani ni ulevi wa madaraka.
 
Napata wasiwasi sana, na najiuliza mbona kama Tanzania tunaendekeza upuuzi namna hii? Watu wanauana Tarime kila siku hatuoni hata wanajeshi wakisema neno. Nakumbuka ulipoongezeka uharamia katika msitu uliopo kati ya Biharamulo na Kigoma wanajeshi walisema kazi yao si kulinda usalama wa raia bali mipaka ya nchi na waingilia kati kama jeshi la polisi litawaomba. sasa swali langu kwa sasa wameombwa na nani kuingilia mabo ya uchaguzi? yaani mwema na vibaraka wenzake wameshindwa kabisa? hata Tossi nlimuona amejikalia pembeni tuu anakodoa macho
 
Tatizo la Batilda, kwetu sisi wakazi wa Arusha si Ujauzito wake bali ni utamaduni. Langu mimi binafsi ni kwamba huyu mama hajui kujieleza na hana historia ya kufanya lolote Arusha, lau kukaa tu na watu wake isipokuwa wakati wa campaign. Lililo baya zaidi kushinda yote: anawakilisha Chama Cha Mafisadi (CCM). Too bad for her, Hatumpi kura, ng'o!
 
shimbo kashinikizwa kuongea alifikiri anaongea enzi za miaka 47 kumbe ni katika kizazi kipya
 
Kwa muda wa wiki moja na nusu sasa nimekuwepo hapa Arusha kwa ajili ya shughuli fulani na nimeshukia kwa rafiki yangu mmoja maene ya makao mapya. Katika nyumba hiyo ipo gari ndogo ya kukodi(tax) ambayo ina kibandiko (stika ) ya Dr Batilda Buriani, mgombea wa Ubunge Arusha kwa tiketi ya CCM. Ghafla yule dereve akaanza kukitoa kwa mkono na iliposhindikana alienda nda kuchukia kisu na kuanza kukwangua. Nilimuuliza swali moja, kwa nini unamtoa mama huyu, mbunge wetu mtarajiwa? Akajibu. .' Nimegundua mama huyu ni mzushi na mduwanzi, mama ni mjamzito, atatuongozaje watu wa Arusha?',(anatoa lafudhi ya vijana wa kiarusha)

Sasa mimi nikajiuliza, kumbe mama akiwa mjamzito hafai kuwa mbunge? Lakini baadae nikagundua si suala la ujauzuto tuu, mama huyu wengi wa Arusha hawamtaki kwa sababu zifuatazo

1. Wanasema hawawezi kuongozwa na mtu aliyeolewa zanzibar
2. wengi kutokana na athari za mila hawataki kuongozwa na mwanamke
3. Tatu kuna habari zinazosambazwa kwamba mama huyu hafai kwa sababu si mtu aliye na historia ya kuwasaidia watu kama lowassa, na kuna upepo flani tuu unaolenga kuonesha mama huyu hafai.

Chadema imekubalika sana Arusha kwa sasa, inaonesha kwa mtazamo kama vile watashinda, hata hivyo kelele za watu na wingi wa mashabiki si dalili kamili ya ushindi. Watu wa Arusha, hime, kama kweli mnataka mabadiliko, tar 31 fanyeni jambo, msiridhishwe na wingi wa bendera katika daladala na pikipiki.

NOTE TO CHADEMA
1. Juzi mlimwona shimbo alivyosema, damu haitamwagika maana ameskia kuna watu wanataka kukataa matokeo. Siku hiyohiyo Mh alisema damu haitamwagika,hayo alisema katika kampeni zake. why kauli moja siku moja na wakuu hao? was it coincidence? Na kwanini leo mnadhimu mkuu wa majeshi anazungumzia usalama wa wananchi na si mkuu wa polisi?

2. Yule mkurugenzi wa Arusha, aliyekuwa Arusha amehamishwa in 24 hrs, tena kapelekwa kigoma(if im not mistaken) na kupewa nafasi ndogo kuliko aliyekuwa nayo ARusha, u knw why? Tafakarini, Chukueni hatua

sijafahamu. kuolewa huko kuna tatizo gani ? au ndio ubaguzi tu
 
Tatizo la Batilda, kwetu sisi wakazi wa Arusha si Ujauzito wake bali ni utamaduni. Langu mimi binafsi ni kwamba huyu mama hajui kujieleza na hana historia ya kufanya lolote Arusha, lau kukaa tu na watu wake isipokuwa wakati wa campaign. Lililo baya zaidi kushinda yote: anawakilisha Chama Cha Mafisadi (CCM). Too bad for her, Hatumpi kura, ng'o!

Nadhani ile ya ujauzito aliiongeza kuonesha chuki aliyokuwa nayo yule Bwana, Angalau nafurahi kwamba watu wa Arusha wameona wanahitaji mabadiliko japo sina uhakika na watakachofanya October 31. Jana nilikuwa terrat simanjiro, hali ni mbaya,lakini bado wamingangania CCM
 
Msisahahu kuwa shimbo alishakuwa hapo Arusha, sasa analinda chama na kurudisha fadhila kwa mkuu wake wa kazi, kutoka ubwabwa maharage hadi halua na kuku balaa. lazima ulinde unga
 
Kha! mtu anakua DISQUALIFIED kwa sababu ameolewa Zanzibar!
 
Kwa muda wa wiki moja na nusu sasa nimekuwepo hapa Arusha kwa ajili ya shughuli fulani na nimeshukia kwa rafiki yangu mmoja maene ya makao mapya. Katika nyumba hiyo ipo gari ndogo ya kukodi(tax) ambayo ina kibandiko (stika ) ya Dr Batilda Buriani, mgombea wa Ubunge Arusha kwa tiketi ya CCM. Ghafla yule dereve akaanza kukitoa kwa mkono na iliposhindikana alienda nda kuchukia kisu na kuanza kukwangua. Nilimuuliza swali moja, kwa nini unamtoa mama huyu, mbunge wetu mtarajiwa? Akajibu. .' Nimegundua mama huyu ni mzushi na mduwanzi, mama ni mjamzito, atatuongozaje watu wa Arusha?',(anatoa lafudhi ya vijana wa kiarusha)

Sasa mimi nikajiuliza, kumbe mama akiwa mjamzito hafai kuwa mbunge? Lakini baadae nikagundua si suala la ujauzuto tuu, mama huyu wengi wa Arusha hawamtaki kwa sababu zifuatazo

1. Wanasema hawawezi kuongozwa na mtu aliyeolewa zanzibar
2. wengi kutokana na athari za mila hawataki kuongozwa na mwanamke
3. Tatu kuna habari zinazosambazwa kwamba mama huyu hafai kwa sababu si mtu aliye na historia ya kuwasaidia watu kama lowassa, na kuna upepo flani tuu unaolenga kuonesha mama huyu hafai.

Chadema imekubalika sana Arusha kwa sasa, inaonesha kwa mtazamo kama vile watashinda, hata hivyo kelele za watu na wingi wa mashabiki si dalili kamili ya ushindi. Watu wa Arusha, hime, kama kweli mnataka mabadiliko, tar 31 fanyeni jambo, msiridhishwe na wingi wa bendera katika daladala na pikipiki.

NOTE TO CHADEMA
1. Juzi mlimwona shimbo alivyosema, damu haitamwagika maana ameskia kuna watu wanataka kukataa matokeo. Siku hiyohiyo Mh alisema damu haitamwagika,hayo alisema katika kampeni zake. why kauli moja siku moja na wakuu hao? was it coincidence? Na kwanini leo mnadhimu mkuu wa majeshi anazungumzia usalama wa wananchi na si mkuu wa polisi?

2. Yule mkurugenzi wa Arusha, aliyekuwa Arusha amehamishwa in 24 hrs, tena kapelekwa kigoma(if im not mistaken) na kupewa nafasi ndogo kuliko aliyekuwa nayo ARusha, u knw why? Tafakarini, Chukueni hatua

Swala la wapi kaolewa halina nguvu kwa sababu zifuatazo
1. Anna Abdala kaolewa Ukerewe alikuwa mbunge huko Mtwara kwa miaka mingi tuu;
2. Anna Kilango kaolewa Mtera ni Mbunge Same Mashariki;
3. Mary Nagu kaolewa Morogoro ni Mbunge Hanang

Ni mawazo yangu tuu
 
Inawezekana hawa wenziwe pamoja na kuolewa ugenini walibaki na contacts na makwao.....pengine yeye alipoolewa alitupa jongoo na mti wake....nilivyosikia mimi huyu Mama kwenye hizi kampeni kaponda wanaume wa Arusha ati amekaa wee hamna aliyemtaka ndoa ndipo akatokea wa mdebwedo akamuoa...tena kwa kumbadili dini toka KKKT kwenda Sunni
 
Back
Top Bottom