Ina maana ngoma droo na Mgombea Urais fulani?
crap
Ina maana ngoma droo na Mgombea Urais fulani?
.......Wana Arusha msiwe na wasiwasi ...hiyo mimba ni ya ndugu yenu Manywele..........kwa hiyo msimnyime kura kwa hasira kuwa eti kaona Arusha hakuona mwanamume....She is too strategic.....alivyoona anagombea tu akabeba mimba ya manywele...na kwa taarifa yenu every coin ya kampeni na logistics anafanya manywelee.....shemejiiiiii!!
Anayebisha mimba sio ya manywele ..anaruhusiwa kumuuliza Batilda ameenda lini kumuona mume wake zanzibar.....,mumewe tayari ana mke ....,na kama kweli hajabeba mimba nje ya ndoa ...muulizeni imekuwaje mumewe hadi sasa hajafika Arusha ....kuwasalimu shemeji zake kwenye mkutano..haata kama sio mwanasiasa afike tu na kuwapungia wakazi..kwenye moja ya mikutano na arejee kwa mkewe zanzibar.........
Sio mbali mtoto wa manywele aatazaliwa ...mambo yatakuwa hadharani!!!!!
Anna Komu hajaslimu bali ameritadi. Ama kuhusu kuwa CCM na kugombea Zanzibar why not kama tatizo lako ni kuwa mkristo wapo wakristo walio simamishwa na CCM hiyo hiyo.
Hilo la Comoro miwani ya macho yako tu ndio inakupeleka huko.
Broda Magulumangu,MANYWELE ndo nani mkubwa maana umeniacha kidogo...Bongo kubwa kaka...
sijafahamu. kuolewa huko kuna tatizo gani ? au ndio ubaguzi tu
MANYWELE ndo nani mkubwa maana umeniacha kidogo...Bongo kubwa kaka...
Wewe itakua umelewa,,,tena matapu tapu
Hivi haiwezekani hapa jukwaani wakaweka vifaa vya kuchunguza kiwango cha pombe mtu alichokunywa?
pombe ikizidi kiasi fulani mtu ashindwe ku-login kabisa.
Au sijui ndio election fever!
Broda Magulumangu,
Soma katikati ya mistari kaka...Unamjua RICHARD MONDULI wewe?....kalagabaho!
Yule mkurugenzi wa Arusha, aliyekuwa Arusha amehamishwa in 24 hrs, tena kapelekwa kigoma(if im not mistaken) na kupewa nafasi ndogo kuliko aliyekuwa nayo ARusha, u knw why? Tafakarini, Chukueni hatua
Labda niwape taarifa za ndani; huyu mkurugenzi alikuwa na skendo tangu mwisho wa mwaka jana kwa mambo aliyoyafanya miaka ya nyuma. nakumbuka mwezi march/april mshkaji wangu ambaye ni council secretary wake aliniambia jamaa yupo kwenye kiti moto na alikuwa anaojiwa na watu kutoka ofisi ya rais, na hawa jamaa waliwaoji pia baadhi ya staff wa manispaa na walikuwa pale kwa wk kama mbili. na kwa taarifa aliyonipa ni kwamba skendo yenyewe ilikuwa mbaya ambayo ingeweza kumfunga au kumwondoa kazini.
Hii ni taarifa niliyokuwa nayo mwezi march/april so sioni siamini kuwa jamaa katolewa kwa sababu za kisiasa.
sijafahamu. kuolewa huko kuna tatizo gani ? au ndio ubaguzi tu
Kubadili dini si kuslimu? Au alikuwa mkristu sasa muislamu?
Wakristu wangapi wamesimamishwa na CCM na kushinda Zanzibar?
Hiyo ya Comoro, ndivyo ilivyo.
Amandla.......
Manywele a.k.a. MA-MVI
unamaanisha yule aliyesema ''nimeonewa sana, nimedhalilishwa sana...... they wish what im going to grant nao ni umwaziri mkuu''
unamaanisha yule aliyesema ''nimeonewa sana, nimedhalilishwa sana...... they wish what im going to grant nao ni ........''
Kubadili dini sio lazima imaanishe kusilimu. Bali kubadili dini na kuwa muislamu ndio kusilimu, kubadiili dini kutoka uislamu na kuwa mkristo ni kuritadi. Hili ni somo jepesi la kiswahili.
Ama wangapi wamewahi kuwa wabunge Zanzibar sina idadi, hata hivyo namkumbuka Brigedia mstaafu Adam Mwakanjuki kuwa mmoja qa wawakilishi na pia Waziri katika serikali ya Mapinduzi, na mwaka huu moja katika viti rahisi (safe seat ) mjini Maghrib jimbo la Dole yupo Ndugu yetu Sylvester Massele Mabumba.