Kampeni ya Ubunge Arusha Mjini - Batilda Burian Vs Lema

KATI YA BATILDA NA LEMA YUPI ATIBUKA KIDEDEA?

  • Total voters
    52
Batilda Hana sera madhubuti zinazoelekeza ukombozi kwa waarusha dhidi ya maadui Watatu. Ila ana fedha nyingi kupindukia kwa ajili ya kampeni, anagawa pesa, Tisheti, Kofia...sana ila bado watu hawampi ushirikiano unaoridhisha, kuna tetesi za chini chini kuwa CCM wana mpango wa kulichukua jimbo hili la ARUSHA kimabavu watu watake wasitake. Lema Godbless anaelekea kushinda uchaguzi huu, wanachadema tunamuombea kila la heri iikiwa ni pamoja na kumpa kura zetu kwani tunaamini mwaka huu ndio kiama cha mafisadi lazima waondoke tu.

2010 chadema Hatudanganyiki.
 
The thing is Batilda hawezi kujieleza kitu, pale zinaongea hongo tu!...
Amekuja Arusha in last minutes, na hajui watu wa hapa wanataka nini as a priority...
Ameandikiwa makaratasi na anayasoma tu, and she is kinda not bold!
Hana mvuto...it just the green color entourage that makes her shine!
 
Kwa muda wa wiki moja na nusu sasa nimekuwepo hapa Arusha kwa ajili ya shughuli fulani na nimeshukia kwa rafiki yangu mmoja maene ya makao mapya. Katika nyumba hiyo ipo gari ndogo ya kukodi(tax) ambayo ina kibandiko (stika ) ya Dr Batilda Buriani, mgombea wa Ubunge Arusha kwa tiketi ya CCM. Ghafla yule dereve akaanza kukitoa kwa mkono na iliposhindikana alienda nda kuchukia kisu na kuanza kukwangua. Nilimuuliza swali moja, kwa nini unamtoa mama huyu, mbunge wetu mtarajiwa? Akajibu. .' Nimegundua mama huyu ni mzushi na mduwanzi, mama ni mjamzito, atatuongozaje watu wa Arusha?',(anatoa lafudhi ya vijana wa kiarusha)

Sasa mimi nikajiuliza, kumbe mama akiwa mjamzito hafai kuwa mbunge? Lakini baadae nikagundua si suala la ujauzuto tuu, mama huyu wengi wa Arusha hawamtaki kwa sababu zifuatazo

1. Wanasema hawawezi kuongozwa na mtu aliyeolewa zanzibar
2. wengi kutokana na athari za mila hawataki kuongozwa na mwanamke
3. Tatu kuna habari zinazosambazwa kwamba mama huyu hafai kwa sababu si mtu aliye na historia ya kuwasaidia watu kama lowassa, na kuna upepo flani tuu unaolenga kuonesha mama huyu hafai.

Chadema imekubalika sana Arusha kwa sasa, inaonesha kwa mtazamo kama vile watashinda, hata hivyo kelele za watu na wingi wa mashabiki si dalili kamili ya ushindi. Watu wa Arusha, hime, kama kweli mnataka mabadiliko, tar 31 fanyeni jambo, msiridhishwe na wingi wa bendera katika daladala na pikipiki.

NOTE TO CHADEMA
1. Juzi mlimwona shimbo alivyosema, damu haitamwagika maana ameskia kuna watu wanataka kukataa matokeo. Siku hiyohiyo Mh alisema damu haitamwagika,hayo alisema katika kampeni zake. why kauli moja siku moja na wakuu hao? was it coincidence? Na kwanini leo mnadhimu mkuu wa majeshi anazungumzia usalama wa wananchi na si mkuu wa polisi?

2. Yule mkurugenzi wa Arusha, aliyekuwa Arusha amehamishwa in 24 hrs, tena kapelekwa kigoma(if im not mistaken) na kupewa nafasi ndogo kuliko aliyekuwa nayo ARusha, u knw why? Tafakarini, Chukueni hatua

ndugu m ni mpenzi mkubwa wa wapinzani ila soma alama za nyakati arusha subiri tar 31 oct 2010
ogpa sana hawa wanaporojo....just ma warning..mama ana mimba watake wasitake wataongozwa na 2IN1 yaani mama akiwa na mwanae ndani ya tumbo kata ua...hao wamasai awana maana kabisa huo ni ushauri......nimekaa arusha \kila la kheri
 
The thing is Batilda hawezi kujieleza kitu, pale zinaongea hongo tu!...
Amekuja Arusha in last minutes, na hajui watu wa hapa wanataka nini as a priority...
Ameandikiwa makaratasi na anayasoma tu, and she is kinda not bold!
Hana mvuto...it just the green color entourage that makes her shine!

soma alama za nyakati mpwa
 
Kwanza wanasema ana mimba,pili ameolewa Zanzibar,dini yake Mwislamu,halafu ni mwanamke....
Walitaka awe mwanaume,mwenye dini wanayoitaka,angeolewa huko huko Arusha ingekuwa safi....duh..Chadema...huko wapi mnatupeleka?
 
ndugu m ni mpenzi mkubwa wa wapinzani ila soma alama za nyakati arusha subiri tar 31 oct 2010
ogpa sana hawa wanaporojo....just ma warning..mama ana mimba watake wasitake wataongozwa na 2IN1 yaani mama akiwa na mwanae ndani ya tumbo kata ua...hao wamasai awana maana kabisa huo ni ushauri......nimekaa arusha \kila la kheri

Mkuu, ebu weka sawa hii maneno...Unamaanisha nini kuwa tusome alama za nyakati?...hao watu wa porojo ni akina nani?
 
watu wa porojo ni hao wanaojifanya kumpinga batilda mkuu mwisho wa siku wanampigia huyo huyo .....ndio maana nikaomba tusome alama za nyakati 2005 walikuwepo wengi dizaini hiyo wakampa mrema yule yule aliekuwa akiwatukana na mama zao...
 
Kha! mtu anakua DISQUALIFIED kwa sababu ameolewa Zanzibar!

Si kwa sababu kaolewa zanzibar. Bali makazi yake sasa ni zanzibar hivyo hawezi kutumikia watu wa Arusha akiwa zanzibar. Na mumewe kwa nafasi yake hawezi hawezi kumfuata huyu mama Arusha.

Anajitafutia sehemu ya kupitia kupata ulaji na wala si kuwatumikia wakazi wa arusha
 
Kwa muda wa wiki moja na nusu sasa nimekuwepo hapa Arusha kwa ajili ya shughuli fulani na nimeshukia kwa rafiki yangu mmoja maene ya makao mapya. Katika nyumba hiyo ipo gari ndogo ya kukodi(tax) ambayo ina kibandiko (stika ) ya Dr Batilda Buriani, mgombea wa Ubunge Arusha kwa tiketi ya CCM. Ghafla yule dereve akaanza kukitoa kwa mkono na iliposhindikana alienda nda kuchukia kisu na kuanza kukwangua. Nilimuuliza swali moja, kwa nini unamtoa mama huyu, mbunge wetu mtarajiwa? Akajibu. .' Nimegundua mama huyu ni mzushi na mduwanzi, mama ni mjamzito, atatuongozaje watu wa Arusha?',(anatoa lafudhi ya vijana wa kiarusha)

Sasa mimi nikajiuliza, kumbe mama akiwa mjamzito hafai kuwa mbunge? Lakini baadae nikagundua si suala la ujauzuto tuu, mama huyu wengi wa Arusha hawamtaki kwa sababu zifuatazo

1. Wanasema hawawezi kuongozwa na mtu aliyeolewa zanzibar
2. wengi kutokana na athari za mila hawataki kuongozwa na mwanamke
3. Tatu kuna habari zinazosambazwa kwamba mama huyu hafai kwa sababu si mtu aliye na historia ya kuwasaidia watu kama lowassa, na kuna upepo flani tuu unaolenga kuonesha mama huyu hafa
i.

Wamemchoka ama wanambagua???
 
Si kwa sababu kaolewa zanzibar. Bali makazi yake sasa ni zanzibar hivyo hawezi kutumikia watu wa Arusha akiwa zanzibar. Na mumewe kwa nafasi yake hawezi hawezi kumfuata huyu mama Arusha.

Anajitafutia sehemu ya kupitia kupata ulaji na wala si kuwatumikia wakazi wa arusha

Acheni fitina, Batilda anaishi kwenye nyumba yake Arusha na hajawahi kufanya makazi yake Zanzibar...
 
Kwanza wanasema ana mimba,pili ameolewa Zanzibar,dini yake Mwislamu,halafu ni mwanamke....
Walitaka awe mwanaume,mwenye dini wanayoitaka,angeolewa huko huko Arusha ingekuwa safi....duh..Chadema...huko wapi mnatupeleka?

hapo kwenye nyekundu hat sijakuelewa, ni wapi chadema wa arusha walisema hayo uliyoandika?, hebu pitia mwanzo wa hii mada na utuambie nani aliyeyasema hayo
 
Kumbe, maana huwa haachi kiremba! zanzibar.....................,,,,,,,,,,
 
hapo kwenye nyekundu hat sijakuelewa, ni wapi chadema wa arusha walisema hayo uliyoandika?, hebu pitia mwanzo wa hii mada na utuambie nani aliyeyasema hayo

Calnde
Chadema imekubalika sana Arusha kwa sasa, inaonesha kwa mtazamo kama vile watashinda, hata hivyo kelele za watu na wingi wa mashabiki si dalili kamili ya ushindi. Watu wa Arusha, hime, kama kweli mnataka mabadiliko, tar 31 fanyeni jambo, msiridhishwe na wingi wa bendera katika daladala na pikipiki.

NOTE TO CHADEMA
1. Juzi mlimwona shimbo alivyosema, damu haitamwagika maana ameskia kuna watu wanataka kukataa matokeo. Siku hiyohiyo Mh alisema damu haitamwagika,hayo alisema katika kampeni zake. why kauli moja siku moja na wakuu hao? was it coincidence? Na kwanini leo mnadhimu mkuu wa majeshi anazungumzia usalama wa wananchi na si mkuu wa polisi?

2. Yule mkurugenzi wa Arusha, aliyekuwa Arusha amehamishwa in 24 hrs, tena kapelekwa kigoma(if im not mistaken) na kupewa nafasi ndogo kuliko aliyekuwa nayo ARusha, u knw why? Tafakarini, Chukueni hatua

Ushauri kwa CHADEMA, washaurini hawa wapiga debe wenu kuwa makini na wakati mwengine inapozidi kuweni na uthubutu wa kukemea....Ni wazi yawezekana hawa wanaoleta propaganda hizi hawana mahusiano na chama chenu lakini wanawapigia debe na hivyo ni rahisi CHADEMA kuhusishwa na kampeni zao zenye kugawa jamii zaidi kuliko kuongeza kura. Ni ushauri tu...kuweni na uthubutu wa kuwakana na kukana propaganda kama hizi
 
Mimba ni jambo la kawaida kwa mwanamke. Kwanza ni heshima na jambo la kumshukuru Mungu hasa kwa kuwa mama huhu alichelewa sana kuolewa. Watoto wake ni wadogo sana, sina ahakika kama wa kwanza ana miaka 10 au chini ya 10 (mwenye taarifa sahihi anisahihishe). Cha msingi sipingi mimba yake bali napinga kitendo chake kusaidiwa na mafisadi ili aweze kuchukua jimbo kwa interest ya 2015. Anaonekana mpole sana lakini ni hatari kama moto wa gas!! Arusha mjini naombeni chonde kura yenu wapeni wapinzani, hata kama si chadema but mpinzani yeyote yule na si kwa SSM.
 
sijafahamu. kuolewa huko kuna tatizo gani ? au ndio ubaguzi tu
ukweli ni kwamba hakuna tatizo.... labda wanaiga wazanzibari wanavyowatreat walioolewa na watu wa bara... si unajua what goes around comes around?
 
Mimba ni jambo la kawaida kwa mwanamke. Kwanza ni heshima na jambo la kumshukuru Mungu hasa kwa kuwa mama huhu alichelewa sana kuolewa. Watoto wake ni wadogo sana, sina ahakika kama wa kwanza ana miaka 10 au chini ya 10 (mwenye taarifa sahihi anisahihishe). Cha msingi sipingi mimba yake bali napinga kitendo chake kusaidiwa na mafisadi ili aweze kuchukua jimbo kwa interest ya 2015. Anaonekana mpole sana lakini ni hatari kama moto wa gas!! Arusha mjini naombeni chonde kura yenu wapeni wapinzani, hata kama si chadema but mpinzani yeyote yule na si kwa SSM.
hili la mimba nadhani wanahitaji kueleweshwa... hivi bora bila mimba au bila ufisadi?

i would have one million women as leaders who are pregnant than one rostam aziz who contribute to our country's misery
 
Kazi kubwa walionayo Chadema nchi nzima ni kulinda kura zisiibiwe basi; wakithibiti wizi wa kura uchaguzi wameshinda!!
 
Hizo sababu hazina mshiko..wabunge wengi makazi yao ya kudumu ni nje ya majimbo yao.Watanzania wengi tunaishi nje ya majimbo yetu ya kuzaliwa.Simjuhi huyo mama lakini hayo mambo mnayosema hayana mshiko.
 
Swala la wapi kaolewa halina nguvu kwa sababu zifuatazo
1. Anna Abdala kaolewa Ukerewe alikuwa mbunge huko Mtwara kwa miaka mingi tuu;
2. Anna Kilango kaolewa Mtera ni Mbunge Same Mashariki;
3. Mary Nagu kaolewa Morogoro ni Mbunge Hanang

Ni mawazo yangu tuu

Siasa za arusha ni tofauti na mikoa hiyo Arusha hawaamini watu ambao hawaishi maeneo yao. Yule mama Batilda hawezi kutoka Zanzibar aje awe mwikilishi wa Arusha katika siasa za upinzani zilivyonoga. Ukumbuke Dr. batilda amekaa bungeni miaka kumi na hakuna lolote ambalo Arusha amelifanya. Muda wote ameutumia huko Zanzibar, hilo, hapa Arusha ni tatizo kubwa kwake kisiasa. Watu hapa hawajali kama ana mimba au dini yake bali wanataka mtu anayejali maendeleo ya watu wake na yeye hayupo kwenye chati za kusaidia watu hata wale akina mama wa CCM waliompa ubunge wa viti maalumu ndani ya CCM wanafanya Kampeni aanguke vibaya kwani wanaona hana msaada kwao na akina mama hao wanasema kuwa anajisikia sana.

Hela nyingi anazotumia kwenye kampeni zinaonyesha anamtandao wa kifisadi na kamwe hatakuwa na msaada hapa.

Kuna mtambo wa kuchapishia vitambulisho vya kura wapambe wake wengi hivi sasa wapo mkononi mwa Takukuru/polisi.

Kama anakubalika kwanini anahangaika kucheza faulo za waziwazi?
 
Back
Top Bottom