SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 50,081
- 75,445
Kuna mobb inaendelea ambayo inahimiza kutotumia line ama service za vodacom.
Anayehimiza hivi ni either hana uelewe Wa namna mitandao ya simu inavyofanya kazi au anafanya makusudi.
Cha kwanza
Kama ni kweli Kua vodacom wanavujisha taarifa za wateja Kwa serikali au mtu mwingine yeyote Basi mitandao yote inavujisha.
Huwez kuhama mtandao mmoja kwenda mwingine na ukawa salama.
Njia pekee ya kuwa salama ni kutotumia cm au kuhama nchi.
Kwa Akili zenu nyingi nyie akina Lema na wengine , mnadhan kuhamia Tigo au ttcl ndio kukwepa serikal kukujua upo wapi ? Bulls*t.
Tumien Akili kidogo ,ndio maana mipango yenu inafail Kila mara, serikal watakuwa wanacheka sana ,namna mnavoshupaa kuwahimiza wananchi wahamie Tigo utadhan Tigo iko chini ya zra ya Zambia na sio trca ya Tanzania.
Wanahimiza watu Waende ttcl na Tigo utadhan haya makampuni yako Marekan na sio Tanzania East Africa.
Let me make this clear , hamia ttcl , Zantel ,blablah tel etc ,kama kweli watataka kukusikiliza Wala hatachukua hata sekunde 100.
La msingi mlitakiwa kuhoji kisheria,kua kama kweli vodacom hizi tuhuma ni za kweli ! Serikal kupitia tcra mbona haiiadhibu vodacom ?
Na kama tuhuma hizi sio za kweli Kwa vodacom mbona serikal pia ipo kimya ?
Am optimistic Kwa jambo Moja ,tunaweza kuwasakama vodacom na kumuacha mbaya wetu .
Si vodacom huyu huyu kiongoz wao mkuu alikamatwa Kwa ihujumu uchum?
Kama wako vizur na serikali hayo yangetokea ?
Huenda vodacom ni mhanga mkubwa Wa serikali hii.
Mchawi ni tcra ,atuambie je ni kweli wan rekod mazungumzo ya watu ?
Je ni kweli watu hao ni threat Kwa usalama Wa taifa Leo au ni threat kwa masilah ya siasa tu ?
Think think think, don't just jump kwenye mtumbwi wenye nyoka na kujirusha kwenye mto wenye mamba wenye njaa.
Ficha huu upuuzi MkuuKuna mobb inaendelea ambayo inahimiza kutotumia line ama service za vodacom.

Kwa miaka yako na shule yako,katu huwezi elewa huu usemi.Kwahiyo voda ni mumeo
Wazazi wake wapo...?Ben Saanane yuko wapi?
Kwasababu wewe sio mtu wa muhimu sana kwa nchi hii.Bahati mbaya siwezi kuhama voda pamoja na mspungufu yao internet yao ni bomba japo ni ghali sana.
Pigeni tu kampeni zitasaidia kuboresha huduma japo sihami voda nimewekeza sana
hahahaha......liarsView attachment 1167901
Hii ni hatari sana kibiashara , taarifa zinadokeza kwamba waliochukua hatua hii ni mamia kwa maelfu
Hawapi usingizi!Nasikia kabwaga manyanga usiku huu
Kijana, kama hujui Lema alishawahi leta kampeni kama hii ikahanikizwa na kamanda wenu Mange na iliishia patupu,
Watanzania wa natumia laini za simu kulingania na huduma zao siyo kwa sababu na fulani anatumia,
Ilipikuja halotel wengi tume nunua laini yao sababu ya huduma zao kuwa nafuu! Wakizingua tu naachana nayo haijalishi ni mtandao gani. Huduma zao ndio zitaamua tuendelee kutumia au tupumzike, siyo sababu ya huo upuuzi wenu m
Kwepeni zote.
Hakuna kampuni ambayo wateja wake hawarekodiwi.
Haisaidii. Unarekodiwa tu ukitakikana.tuwanze kutumia rediocall sasa
Ndio maana kuna mambo yanaitwa faragha,hata kama ni ya kawaida na kistaarabu kwa wahusika wanaofanya hiyo faragha basi ikiwa public inakuwa tofauti!Hata tendo la ndoa ni faragha ya wahusika,ila inapokuwa hadharani tayari inakuwa na maana tofauti!Haisaidii. Unarekodiwa tu ukitakikana.
Sasa hivi kuna teknolojia ya kukurekodi hata kama hauna simu au kifaa chochote cha mawasiliano.
Soma kuhusu "directional microphones", "parabolic microphones".
Hatuna ujanja. Tuishi kwa usalama na amani na tusijiingize kwenye mambo yasiyo na tija.
Kwanini uogope kurekodiwa kama unaishi ki usalama na amani na maongezi yako hayana dhambi au madhara yoyote kwa yeyote?
Haisaidii. Unarekodiwa tu ukitakikana.
Sasa hivi kuna teknolojia ya kukurekodi hata kama hauna simu au kifaa chochote cha mawasiliano.
Soma kuhusu "directional microphones", "parabolic microphones".
Hatuna ujanja. Tuishi kwa usalama na amani na tusijiingize kwenye mambo yasiyo na tija.
Kwanini uogope kurekodiwa kama unaishi ki usalama na amani na maongezi yako hayana dhambi au madhara yoyote kwa yeyote?
Udukuzi unaofanywa kwa lengo la kubinya demokrasia ukatazweNo...mjinga ni wewe!
Mjinga kiasi kwamba unaona ni halali raia yoyote awaye yote no matter his or her position adukuliwe?
Mtu kua na cheo nchi hii kunamuondolea haki yake ya kutodukuliwa?Kisa?Kisa ana cheo?Kasema nani?Lipumbavu moja linaitwa Crimea?
Mwandishi mnyonge na mkewe ananyanyasika na simu yake kwa kosa gani?
Mimi nina private conversations na kiongozi yeyote pia anazo km mwanadamu yeyote yule!Kama alivyo mumeo Jiwe pia
Eti dunia nzima inafanya hivyo,umesema wewe!
Who cares what you or me say?
Hoja za kipumbavu ksbisa kuhalalisha udukuzi kwa watu no matter who they are!Unaweka exceptions wewe nani?Hata kama tukubali exceptions zako which are unjust,limits za hizo exceptions nani anajua hazivukwi?
Labra warudi kwenye tech ya miaka ya 50 huko anyway haya mambo ni mazito bibiHaisaidii. Unarekodiwa tu ukitakikana.
Sasa hivi kuna teknolojia ya kukurekodi hata kama hauna simu au kifaa chochote cha mawasiliano.
Soma kuhusu "directional microphones", "parabolic microphones".
Hatuna ujanja. Tuishi kwa usalama na amani na tusijiingize kwenye mambo yasiyo na tija.
Kwanini uogope kurekodiwa kama unaishi ki usalama na amani na maongezi yako hayana dhambi au madhara yoyote kwa yeyote?
Ukiwa mpumbavu utaendelea kuwa mpumbavu tu!Wewe akili yako mbona ndogo kama ya panzi.Usifananishe akili yako ndogo na ya watu wengine.We unajua siasa ni nini kwanza.Ona unaloandika humu.Si uende hata Darasa la jioni labda litakusaidia.
Cha kushangaza hata mtandao unaozungumziwa hujui kuutumia.Nakuambia sasa kama ni ruzuku ulikuwa unapata huko tunataka usipate kabisa.Amini usiamini tutawahama tu.Hawawezi kuachia mawasiliano ya wateja yachezewe na wao wakae kimya.Eti wabaki kusema ni TCRA.
TCRA, Voda kwa Hoja zao Wanasema TCRA kwa jinsi ya kujitetea kwao,nimewaelewa kuwa TCRA waliweka mawasiliano ya mteja wao kwenye flush na kuanza kusambaza kwenye mitandao ya kijamii.Kwa hiyo lawama zote za wateja wao zikabiliwe na TCRA. Hata hivyo Sasa naanza kuamini kuwa Vodacom wanahusika.Na kama hawausiki mbona hawajachukua hatua yoyote ya kuhakikisha mawasiliano ya wateja wao hayachezewi.Na hayo yaliyochukuliwa na kusambazwa bado wamekaa kimya.
Tutajua tu ila tuna uwezo mkubwa wa kuachana na Voda kama tulivyoachana na mitandao mingine miaka ya nyuma na mpaka Sasa hivi haipo.
Wewe akili zako zilishafungiwa kwenye box hapo ufipa ndio maana haya mambo ni makubwa mno kwako kuyaelewa!No...mjinga ni wewe!
Mjinga kiasi kwamba unaona ni halali raia yoyote awaye yote no matter his or her position adukuliwe?
Mtu kua na cheo nchi hii kunamuondolea haki yake ya kutodukuliwa?Kisa?Kisa ana cheo?Kasema nani?Lipumbavu moja linaitwa Crimea?
Mwandishi mnyonge na mkewe ananyanyasika na simu yake kwa kosa gani?
Mimi nina private conversations na kiongozi yeyote pia anazo km mwanadamu yeyote yule!Kama alivyo mumeo Jiwe pia
Eti dunia nzima inafanya hivyo,umesema wewe!
Who cares what you or me say?
Hoja za kipumbavu ksbisa kuhalalisha udukuzi kwa watu no matter who they are!Unaweka exceptions wewe nani?Hata kama tukubali exceptions zako which are unjust,limits za hizo exceptions nani anajua hazivukwi?
Mbona huvui nguo hadharani? Mwili na viungo si ni vyako!?Haisaidii. Unarekodiwa tu ukitakikana.