Musiba alisema vodacom ni mali ya CCMKwann wao tu? Kuna jambo baina ya Voda na dola
Yeye na sisi tusio na PHD alizosema MusibaEti Tuikatae voda wewe na nani
Na mtandao upi Utumie labda hama nchi
Ukafanye kinyume na utaratibu lakini Hakuna sehemu utakimbilia ukawa salama kama wewe ni mvunjifu wa sheria na taratibu wa Nchi
Hivi kuna watu bado wanatumia voda?Mi nawaomba kwa umoja kabisa tuanze kampeni hii ya kukataa kutumia vodacom labda akili itawarejea, haiwezekani sisi kama wateja siri zetu zinatolewa pasipo ruhusa ya mteja na kama haitoshi unafungiwa kupiga simu pasipo kutaarifiwa na kubwa zaidi tabia yao ya kupunguza vifurushi. Tuseme sasa inatosha voda wameota mapembe wakati sisi ndo tumewafikisha hapo.
# TuikataeVoda
# HawatufaiVoda
Nami nashangaa. Watu wanaparamia tu mambo.Kwani hiyo mitandao mingine ina ubavu wa kuikatalia serikali matakwa yao?
Umeongea la maana mkuu. ila watu hawaelewi,wanaendekeza siasa tu.Customer privacy and cookies policies za makampuni ya simu zinasemaje kuhusu kutoa taarifa kwa third party? Mara zote matakwa yanayopewa na serikali kutekeleza yanakuwa ndani ya ile inayodaiwa ni sheria ya usalama ya nchi husika. Wao ni nani hata wakatae kutii "amri halali" waliyokubali kuitii walipoomba leseni? Vodacom wanajuaje kuwa nyuma ya amri hii kuna utekaji unaoenda kufanyika? Mnataka ku-victimize bure kampuni ya watu badala ya kupigia kelele matumizi mabaya ya sheria halali.
Kwa hyo mitandao mingine ikiombwa hzo taarifa na serikali, huwa wanakataa?Hawa ni Vodacom waacha wafie mbali,wanashirikiana na watu wasiojulikana kuwateka watanzania hawa vodacom ni wauaji watatumaliza tuwaepuke hatuko salama.
Hameni peke yenu, bila kutushawishi..Twende na simple logic, 1% ya 10M subscribers ni wateja wangapi? Kama kwa mwezi kila mteja akiweka vocha ya 1000 tuu ni pesa ngapi inaingiza hiyo 1%?
Mi nawaomba kwa umoja kabisa tuanze kampeni hii ya kukataa kutumia vodacom labda akili itawarejea, haiwezekani sisi kama wateja siri zetu zinatolewa pasipo ruhusa ya mteja na kama haitoshi unafungiwa kupiga simu pasipo kutaarifiwa na kubwa zaidi tabia yao ya kupunguza vifurushi. Tuseme sasa inatosha voda wameota mapembe wakati sisi ndo tumewafikisha hapo.
# TuikataeVoda
# HawatufaiVoda
Kwahiyo?Yaani hata sijawahi kuwaza kutumia Vodacom, yaan hawajawahi kunishawishi kwa lolote, wanaringa sana
Una ushahidi au unawashwa kwenda jela tu?Naanza na TTCL then Voda na wengine!
Makampuni ya kipumbavu sana!
Eti TCRA wamesema tufungie simu yako,yaani Vodacom inaongea hivi kabisa mbele ya mteja anaeenda kutekwa na regime hiyo hiyo!?
Yaani kampuni inasaidia utekaji??!
Kuna makampuni pia yalimsaidia Hitler,hii dunia tunaenda wapi?!
Fanya uhalifu sasa uone habari yako wewe usiyetumia tumbo kufikiriamnafikiri kwa kutumia matumbo mnajulikanaga tu
Games si unajiondoa km hutaki?Kumbe ndiyo maana wanatukata hela kwa kutulazimisha kujiunga na huduma ambazo hatuzihitaji kama games!!!
Uhalifu lazima ufatiliweLazima mjue Rostam karudi nchini na ni mwanaccm.
Voda tanzania inamhusu.
La msingi ni kuomba msaada wa kisheria kuishtaki kampuni ya vada Tz kwa mmiliki mkuu kanda ya afrika.
Ni makosa sana kumwamini fisi kulinda bucha.
Wahalifu wote watakimbiaKwa hali hii vodacom, wamejishushia hadhi sana, watabaki wajinga tu.