kantalambaz
JF-Expert Member
- Dec 24, 2017
- 1,878
- 887
Hakuna mtandao wenye ubavu huo.Kwani hiyo mitandao mingine ina ubavu wa kuikatalia serikali matakwa yao?
Hakuna mtandao wenye ubavu huo.Kwani hiyo mitandao mingine ina ubavu wa kuikatalia serikali matakwa yao?
Ili iweje?Maji haipandi mlimavodacom hivo si mpo humu yawafikie haya
Ukitaka kujua kuna ufuatiliwaji wa mawasiliano yako fanya
*#61# Utajua kinacho endelea
Acha tu, ukisusa....?Kwa ninayo yasikia ni bora kujihami mapema, hivyo nimeachana kabisa na kutumia laini ya Vodacom na nitatumia mitandao mingine nayo ikishindikana basi nitaanza kutumia Email kuwasiliana.
VODACOM sio salama kwa mawasiliaona kabisa labda tuwaachie Makada waendelee kutumia.
StupidlyEti Tuikatae voda wewe na nani
Na mtandao upi Utumie labda hama nchi
Ukafanye kinyume na utaratibu lakini Hakuna sehemu utakimbilia ukawa salama kama wewe ni mvunjifu wa sheria na taratibu wa Nchi
Ili iweje?Maji haipandi mlima
Halotel GB1 na mameseji kibao na dakika kwa 1000 week nzima, halafu speed ya kufamtu... GB 1 voda unanunua shngap?Afadhali ghali lakini BORA.. vifurushi vyao vya data vina speed ya hali juu. ukilinganisha na hayo mamitandao mengine, Tigo ndo kabisaa.Jana nilijaribu kutumia tigo kwenye YouTube, aisee nilikesha. Yaan kitu cha kuangalia dakika 10 nilitumia dakka 45.Ina play dakika moja, inaganda kwa dakika 5.Halafu inaplay tena.
Siwezi kuhama Vodacom Tanzania
Wewe siyo jua kwamba huchangamani na wengine, wakimaliza na wao, watarudi kwetu.....think nje ya Box!!Ona huu ujinga yani umeshabebwa na mazwazwa ya kisiasa tayari?
Wewe una siri gani Mpaka voda wahangaike kuliweka hadharani?
Pumbavu kabisa! Basi usitumie simu kabisa, maana kama una baya lolote utapatikana tu.
Mm siwezi kuhangaika eti nisuse mtandao kisa huo ujinga wenu wa siasa. Hivi kwa akili yako unafikiri kuna mtu anahangaika na kufuatilia kutongazana kwako kila siku na kina mwajuma.?
Una ushahidi au unawashwa kwenda jela tu?
Mkuu hebu weka nyama kidogo umeyasikia yepi? na wapi? weka kaushahidi kidogo
Unadhani ni voda tu, acha kabisa kutumia simu maana pamoja na makelele mengi google bado wanalalamikiwa kukusanya taarifa ambazo wanazihandle kwa serikali ya marekani sasa ije kuwa Tanzania - Marekani nayo inaibana china kwa kuhofia yale yale ambayo yenyewe inayafanya hahaha no where to run bro labda utumie apps ambazo zina end to end encription kwa matumizi ya kupiga na kupokea ila jiulize wangapi wanatumia apps hizo? huko kwenu kwa mababu na ndugu hata wanazijua? ni hatari sana mkuuKwa ninayo yasikia ni bora kujihami mapema, hivyo nimeachana kabisa na kutumia laini ya Vodacom na nitatumia mitandao mingine nayo ikishindikana basi nitaanza kutumia Email kuwasiliana.
VODACOM sio salama kwa mawasiliaona kabisa labda tuwaachie Makada waendelee kutumia.
Kwanini wadukuliwe wao na sio weweNilikuwa natafuta chanzo cha kuachana nao nimepata issue ya jana imenirahisishia, kwanza ni wezi wa bando na airtime. Kuna hash tag imeanzishwa #JiondoeVodacom itazinduliwa rasmi hivi karibuni.