Watanzania wanashangaza sana.
Vodacom inamilikiwa na Ccm kama mwanahisa, kwa hali yoyote, Vodacom haiwezi kukubali mmiliki wake ahenyeshwe wakati wanaweza kutoa taarifa kwa chama kuhusu mambo mbalimbali yanayofanyika kupitia mtandao wa vodacom yanayokidhuru chama.
Binafsi nawapongeza vodacom kwa ushirikiano mkubwa wanaoutoa kwa chama tawala.
Wale wenye nongwa, kuja mitandao mingine wala hamjalazimishwa kubaki vodacom, nendeni mjiunge na mitandao ya mabeberu
Customer privacy and cookies policies za makampuni ya simu zinasemaje kuhusu kutoa taarifa kwa third party? Mara zote matakwa yanayopewa na serikali kutekeleza yanakuwa ndani ya ile inayodaiwa ni sheria ya usalama ya nchi husika. Wao ni nani hata wakatae kutii "amri halali" waliyokubali kuitii walipoomba leseni? Vodacom wanajuaje kuwa nyuma ya amri hii kuna utekaji unaoenda kufanyika? Mnataka ku-victimize bure kampuni ya watu badala ya kupigia kelele matumizi mabaya ya sheria halali.Naanza na TTCL then Voda na wengine!
Makampuni ya kipumbavu sana!
Eti TCRA wamesema tufungie simu yako,yaani Vodacom inaongea hivi kabisa mbele ya mteja anaeenda kutekwa na regime hiyo hiyo!?
Yaani kampuni inasaidia utekaji??!
Kuna makampuni pia yalimsaidia Hitler,hii dunia tunaenda wapi?!
Watanzania wanashangaza sana.
Vodacom inamilikiwa na Ccm kama mwanahisa, kwa hali yoyote, Vodacom haiwezi kukubali mmiliki wake ahenyeshwe wakati wanaweza kutoa taarifa kwa chama kuhusu mambo mbalimbali yanayofanyika kupitia mtandao wa vodacom yanayokidhuru chama.
Binafsi nawapongeza vodacom kwa ushirikiano mkubwa wanaoutoa kwa chama tawala.
Wale wenye nongwa, kuja mitandao mingine wala hamjalazimishwa kubaki vodacom, nendeni mjiunge na mitandao ya mabeberu
Voda ni jipu, mi nimerudi TTCL na HALOTEL
Bora MATAGA, kuliko matege uliyonayo,hayana tibaMataga ni ugonjwambaya kuliko Hepatitis
Voda hawapokei wanyongeVoda ni jipu, mi nimerudi TTCL na HALOTEL
Mm nilishawakimbiaga siku nyingi sanaMi nawaomba kwa umoja kabisa tuanze kampeni hii ya kukataa kutumia vodacom labda akili itawarejea, haiwezekani sisi kama wateja siri zetu zinatolewa pasipo ruhusa ya mteja na kama haitoshi unafungiwa kupiga simu pasipo kutaarifiwa na kubwa zaidi tabia yao ya kupunguza vifurushi. Tuseme sasa inatosha voda wameota mapembe wakati sisi ndo tumewafikisha hapo.
# TuikataeVoda
# HawatufaiVoda
Unasema kitu ambacho unajua kabisa huwezi fanya. Unatumia voda sababu ya huduma zao, siyo kwa sababu ya mmilili. NyumbuHii ndo faida ya musiba wengine walikuwa hawajui kwamba kupayuka kwake kutaleta faida. Line ya voda tupa kulee fyekelea mbalii
OK kwa hiyo ccm mnatukana watejaWatanzania wanashangaza sana.
Vodacom inamilikiwa na Ccm kama mwanahisa, kwa hali yoyote, Vodacom haiwezi kukubali mmiliki wake ahenyeshwe wakati wanaweza kutoa taarifa kwa chama kuhusu mambo mbalimbali yanayofanyika kupitia mtandao wa vodacom yanayokidhuru chama.
Binafsi nawapongeza vodacom kwa ushirikiano mkubwa wanaoutoa kwa chama tawala.
Wale wenye nongwa, kuna mitandao mingine wala hamjalazimishwa kubaki vodacom, nendeni mjiunge na mitandao ya mabeberu
Kwa hiyo katika ulimwengu wa ushindani wa kibiashara akitokea subscriberWatanzania wanashangaza sana.
Vodacom inamilikiwa na Ccm kama mwanahisa, kwa hali yoyote, Vodacom haiwezi kukubali mmiliki wake ahenyeshwe wakati wanaweza kutoa taarifa kwa chama kuhusu mambo mbalimbali yanayofanyika kupitia mtandao wa vodacom yanayokidhuru chama.
Binafsi nawapongeza vodacom kwa ushirikiano mkubwa wanaoutoa kwa chama tawala.
Wale wenye nongwa, kuna mitandao mingine wala hamjalazimishwa kubaki vodacom, nendeni mjiunge na mitandao ya mabeberu
Ndo nishatupa sasaUnasema kitu ambacho unajua kabisa huwezi fanya. Unatumia voda sababu ya huduma zao, siyo kwa sababu ya mmilili. Nyumbu
KANUNI NA MASHARTI YA MTUMIAJI WA VODACOM
6.3 Vodacom haisambazi taarifa zako binafsi zozote kwa upande wa tatu isipokuwa kama tumeombwa nawe au imetakiwa kisheria kufanya hivyo na kwa amri ya serikali. Kwa ajili ya kuepuka shaka na kufanya kazi kwa uwazi, Vodacom inaweza kutakiwa kuonyesha taarifa binafsi kukidhi mahitaji yoyote ya kisheria au udhibiti wa sheria zilizopo.
6.4 Vodacom ina haki ya kurekebisha au kubadilisha taarifa hii ya Usalama na Usiri wakati wowote ili kuendana na sheria mpya ya usiri.
6.5 Kusimamia au kurekodi mawasiliano yako kama vile miito au ujumbe mfupi wa maandishi kunaweza kufanyika kama inavyotakiwa kisheria au kwa madhumuni ya kikazi katika kiwango kinachoruhisiwa kwa agizo la sheria. Hata hivyo, katika hali hizi, hatutaonyesha taarifa ambazo zingeweza kutumika kukutambulisha.
Nyie ndio mnatumika na mabeberu,haya nenda kwenye kampuni za simu za mabeberuMi nasubiri tamko LA Vodacom juu ya mkataba wetu wa usiri wa faragha, vinginevyo nitaachana nao ili wajifunze, nguvu ya soko huria ni customer care and satsfaction, siyo siasa uchwara
Voda ndio vinara, mwaka huu tu kwa taarifa yao wenyewe kwa msukumo wa dola wamedukua simu za wateja wake mara 1000! Shame on them and you too.