Kampeni ya kuikataa Vodacom

Kampeni ya kuikataa Vodacom

Rostam Azizi (Mmiliki wa Vodacom) kasalti kambi yake na sasa kahamia kwa wateja.

Anaelekea kufilisika kiakili kwa kujiunga kambi ovu
 
Watanzania wanashangaza sana.

Vodacom inamilikiwa na Ccm kama mwanahisa, kwa hali yoyote, Vodacom haiwezi kukubali mmiliki wake ahenyeshwe wakati wanaweza kutoa taarifa kwa chama kuhusu mambo mbalimbali yanayofanyika kupitia mtandao wa vodacom yanayokidhuru chama.

Binafsi nawapongeza vodacom kwa ushirikiano mkubwa wanaoutoa kwa chama tawala.

Wale wenye nongwa, kuna mitandao mingine wala hamjalazimishwa kubaki vodacom, nendeni mjiunge na mitandao ya mabeberu
Uko sahihi..
IMG_20190730_150233.jpeg
 
Kwa kitendo chenu cha kudukua mawasiliano ya akna Membe mmejitia KITANZI wenyewe . Watu maelfu wanaendelea kuwaacha, hamfai na mko hovyo.Mimi nimeshaweka chip yenu pembeni.
Vodacom ni Mali ya CCM alisikika musiba akiongea.
 
Watanzania wanashangaza sana.

Vodacom inamilikiwa na Ccm kama mwanahisa, kwa hali yoyote, Vodacom haiwezi kukubali mmiliki wake ahenyeshwe wakati wanaweza kutoa taarifa kwa chama kuhusu mambo mbalimbali yanayofanyika kupitia mtandao wa vodacom yanayokidhuru chama.

Binafsi nawapongeza vodacom kwa ushirikiano mkubwa wanaoutoa kwa chama tawala.

Wale wenye nongwa, kuna mitandao mingine wala hamjalazimishwa kubaki vodacom, nendeni mjiunge na mitandao ya mabeberu
ASANTE MKUU!
 
Unasema kitu ambacho unajua kabisa huwezi fanya. Unatumia voda sababu ya huduma zao, siyo kwa sababu ya mmilili. Nyumbu
Vodacom akivujisha email address ambazo zipo connected na Jamii Forum. Utazidi kuipenda Vodacom nijulishe, ngoja niingie apa Msimbazi kupiga story.
 
Wajinga tu ndiyo mna chukua maneno. Vodacom imeshauzwa kwa Vodaphone na sio kampuni ya Tanzania. Kuna share chache sana ziliuzwa pale DS exchange lakini wachache walinunua lengo la Magu ilikuwa ukiuza stock kwa uma inabidi uripoti kwa uma mapato hivyo lengo ni kodi sio share. Rostam alikuwa na share Vodacom lakini aliziuza kwa Vodaphone kabla ya 2015 na kumfanya awe $Billionea
We naye ni mjinga mwingine. Kwani celtel siilikuwa imeshauzwa kwa ZAIN na ZAIN akaiuza kwa Barti Airtel? Nchi ilivyofatilia haki zake haijapata?
 
Watanzania wanashangaza sana.

Vodacom inamilikiwa na Ccm kama mwanahisa, kwa hali yoyote, Vodacom haiwezi kukubali mmiliki wake ahenyeshwe wakati wanaweza kutoa taarifa kwa chama kuhusu mambo mbalimbali yanayofanyika kupitia mtandao wa vodacom yanayokidhuru chama.

Binafsi nawapongeza vodacom kwa ushirikiano mkubwa wanaoutoa kwa chama tawala.

Wale wenye nongwa, kuna mitandao mingine wala hamjalazimishwa kubaki vodacom, nendeni mjiunge na mitandao ya mabeberu

Husiseme hivyo. Wapinzani watahama.
 
Hawa ni Vodacom waacha wafie mbali,wanashirikiana na watu wasiojulikana kuwateka watanzania hawa vodacom ni wauaji watatumaliza tuwaepuke hatuko salama.
 
Tutahama wote!!
BORA kuhama kabisa maana mm mpaka sasa line yangu niliingiza kwenye mkataba na kampuni yangu mwezi wa pili sasa simu siwezi kupiga ila napigiwa tu. Ukipiga inaandika ACM LIMIT EXCEEDED then inakata .
 
Unasema kitu ambacho unajua kabisa huwezi fanya. Unatumia voda sababu ya huduma zao, siyo kwa sababu ya mmilili. Nyumbu
Huduma zao zenyewe sahv mbovu wamepandisha vifurushi hadi sisi apeche apolo tunashindwa kununua
 
Musiba alishasema hii Vodacom ilikuwa Mali ya ccm ndio maana leohii hatushangai kuona haya mauzauza
 
Nahisi pia gharama zao na kupandisha bei zao ndo kumechochea pia..maana hata huku JF nyuzi za kuwasema hawa jamaa negatively zipo nyingi sana

Let's see how will it bring effects..
Hiyo kampeni itawarudisha kwenye mstari imeanza kiutani utani leo na tayari naona mabadiliko
 
Back
Top Bottom