Kampeni ya kuikataa Vodacom

Kampeni ya kuikataa Vodacom

Kususia kwako hakuna athari zozote ni sawa na kutishia kuchota ndoo moja ya maji kwenye bahari eti utaikausha bahari.

Kumbuka tuko wengi wenye mawazo kama yake. Ukitaka kuua biashara yoyote ihusishe na fisiemu
 
Anza na kurudi nyumbani(TTCL) kwanza, kabla unapima upepo
 
Kupitia mtandao wa twitter,kuna kampeni imeanza ya kuikataa kampuni fulani ya simu kwa tuhuma za kuvujisha siri za wateja wake.

Watu wameaandika jina la kampuni na nembo ya kiana na kisha kupiga mkasi wa mstari mwekundu.

Tutaeshimieni tu.
Vodacom sio tu ikataliwe ila ilaaniwe kwa nguvu zote.
 
Hao VODACOM wako juu ya Mamlaka husika ya TCRA? Yaani hadi Umri huo ulionao hujui ya kwamba endapo Mamlaka husika ( Executive ) itahisi Jambo linaloweza Kuhatarisha Amani kwa Taifa ( Kiusalama ) zaidi basi inaweza na hadi ina Mamlaka yote ya Kuchukua hatua au hata Kumchukulia hatua Mmiliki wa Simu au Mtandao? Hivi kwanini Watu wengine hapa Mtandaoni ( Wewe ukiwemo ) uwezo wenu wa Kufikiri na Kuchambua mambo ( Issues ) ni mdogo sana? Na Wewe eti hapo ulipo unajiita Msomi na umepita kabisa Chuo Kikuu.

Wajua kabisa kuwa kama wananchi wa kawaida/Executive lazima utahitaji mawasiliano via these cellular mobile phones kwa Tz, je nini wafanye kuepuka kudukuliwa wakati huo huo wawe na mawasialo haya ya cellular ?
Bado naamini kuwa unauwezo wa kujibu hili japo id hii ni tofauti lakini kama naijua ingawa siyo ishu mada husika
 
effect ya kampeni hiyo ni ndogo sana hata 5% sidhani kama itafika
maana watumiaji wako wengi ukiachana na nyie wa kwenye social media vijijini huko huwaambii kitu

Remember most of those villagers, we from town are the ones either convinced or financed them .
 
Mimi voda nawapiga chini sababu ya mabundle yao yana gharama sana pia hawa jamaa wanaiba Mb zetu...

Unakuta una mb 100 ukidownload kitu cha mb 60 bando linaisha...

Nahamia zangu ttcl...sh 2500 napata Gb 3..

Mambo mengine ya privacy watajuana wenyewe cha muhimu wasije tu kutoa history yangu ya Browser hadharani
 
Tigo ndo kila kitu, voda nimeizika rasmi leo. Kwenye ya kwako tu tsh 2500 wwlikuwa wananipa 500MB tu
Screenshot_2019-07-30-19-40-21.jpeg
 
Niliitupaga miaka ming sana baada ya kujua tabia yao maana hata mim walishaga nifanyia huo upuuz
 
Kwa ninayo yasikia ni bora kujihami mapema, hivyo nimeachana kabisa na kutumia laini ya Vodacom na nitatumia mitandao mingine nayo ikishindikana basi nitaanza kutumia Email kuwasiliana.

VODACOM sio salama kwa mawasiliaona kabisa labda tuwaachie Makada waendelee kutumia.
Kama unatumia simu ya aina yoyote iwe ya mezani au mkononi,ujue haupo salama hata ukibadili mtandao unawapa tabu tu watu kukutafuta
 
Aisee nimeamini vodacom itaendelea kuwa juu tena juu zaidi hii si mara ya kwanza vijana wa ufipa kutangaza kampeni ya kuikataa lakini bado imeendelea kuwa juu tena juu zaidi.
 
Back
Top Bottom