Kampeni ya kuikataa Vodacom

Kampeni ya kuikataa Vodacom

Kuna makampuni zaidi ya matano kijana.....usipowapenda voda unaruhusiwa kiwahama tu bila bugdha
 
Kwa ninayo yasikia ni bora kujihami mapema, hivyo nimeachana kabisa na kutumia laini ya Vodacom na nitatumia mitandao mingine nayo ikishindikana basi nitaanza kutumia Email kuwasiliana.

VODACOM sio salama kwa mawasiliaona kabisa labda tuwaachie Makada waendelee kutumia.
 
Mkuu hebu weka nyama kidogo umeyasikia yepi? na wapi? weka kaushahidi kidogo
 
Kwa ninayo yasikia ni bora kujihami mapema, hivyo nimeachana kabisa na kutumia laini ya Vodacom na nitatumia mitandao mingine nayo ikishindikana basi nitaanza kutumia Email kuwasiliana. VODACOM sio salama kwa mawasiliaona kabisa labda tuwaachie Makada waendelee kutumia.
Cjaelewa lain za Vodacom zina kitu gan mkuu
 
Kwa ninayo yasikia ni bora kujihami mapema, hivyo nimeachana kabisa na kutumia laini ya Vodacom na nitatumia mitandao mingine nayo ikishindikana basi nitaanza kutumia Email kuwasiliana.

VODACOM sio salama kwa mawasiliaona kabisa labda tuwaachie Makada waendelee kutumia.
Nimawazo yako tu, vodacom hawausiki, Ni mitambo kutoka Israel, hata email wakiamua kudukua watadukua tu
 
Mi nawaomba kwa umoja kabisa tuanze kampeni hii ya kukataa kutumia vodacom labda akili itawarejea, haiwezekani sisi kama wateja siri zetu zinatolewa pasipo ruhusa ya mteja na kama haitoshi unafungiwa kupiga simu pasipo kutaarifiwa na kubwa zaidi tabia yao ya kupunguza vifurushi. Tuseme sasa inatosha voda wameota mapembe wakati sisi ndo tumewafikisha hapo.
# TuikataeVoda
# HawatufaiVoda
Ikataeni nyie wenye hofu ya kudukuliwa .
 
Eti Tuikatae voda wewe na nani
Na mtandao upi Utumie labda hama nchi
Ukafanye kinyume na utaratibu lakini Hakuna sehemu utakimbilia ukawa salama kama wewe ni mvunjifu wa sheria na taratibu wa Nchi
Wewe hujitambui. Mitandao ni mingi, unaishi nchi gani hujui kwamba "Voda wanaodukua simu za wateja wake" hawako wenyewe. Mimi kuanzia leo Voda bye bye..
 
Back
Top Bottom