mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,774
- 35,239
Sasa mlikuwa mnazinyonya hela za corona za nini, na wamesema mikopo mliyoenda kuomba imekataliwa ,mtapata baada ya kukosa, mbona CCM mnakuwa wajinga hivi
Sawa, wakatae tuu
Maana ya kutunyima hiyo mikopo ni kwamba target yao imefail... Walikua wanaturushia ndoano ili tunase sasa baada ya kuona tunapita pembeni wamepanick😂😂
Tunajua kabisa kwamba tungekuwa hatuna haya madini na gas hiyo mikopo wasingekaa wakatupatia