MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,495
- 20,510
Niko Kigoma mida hii, ni noma Sana mkoa umekuwa wa Moto balaa, wachawi wanalia Kama watoto wadogo wanatamani Hadi kufa lakini wapi.
Baada ya tabia za ovyo za kichawi kuzidi, ilibidi wananchi watoe 'contract' kwa magwiji kutoka Congo na Nigeria Kuja kushugulika nao.
Mchakato wa kuwapata hao wataalamu umefuata kanuni zote za manunuzi ya umma, mchakato ni Kama ule wa DP World sema huu Hauna mazingira ya rushwa, baada ya mchakato wa zabuni Wacongo na Wanigeria walishinda.
Kabla ya kuanza kazi makotrankta huwa wanaingia Kijiji husika kimyakimya wanapita kwenye mipaka ya Kijiji na kuweka kufuli (hamna mchawi hatakayeweza kutoroka Wala kupitisha silaha zake wakati zoezi likiendelea.
Baadae makotrankta uingia ndani ya Kijiji kuanza kazi rasmi.
Kuna vitu vya ajabu zimetolewa kwenye majumba ya watu sio poa.
Wachawi wa Kigoma wanajua mpaka wanajua tena, yaani ni Kama wachezaji wa World Cup sema ndio hivyo tena na hawa makontrakta Ni Kama marefa wa Uefa, wanaona hata bila VAR. Ukileta kontrakta levo za RAMADHAN Kayoko anabadilishwa kuwa nyau fasta.
Nitaendelea kuwaletea update baadae kidogo wakuu
Pia soma: Jeshi la Polisi lapiga marufuku Kamchape (Lambalamba), kuwasaka wote wanaohusika ili hatua za kisheria zichukuliwe dhidi yao