Moja ya picha zenye nguvu na zilizobaki kwenye kumbukumbu za wengi kutoka katika kipindi chote cha Vita vya Kimataifa dhidi ya Ugaidi (GWOT) ni hii hapa chini
Huyo hapo ni Senior Chief James “Jimmy” Hatch, mwanajeshi wa Navy SMU (Special Mission Unit) wa Marekani, dakika chache tu baada ya...
Watu wengi wanadhani wanawake wanaenjoy Sana kujifungua kwa operesheni
Operesheni Kwanza inaumaaa nyie sikieni Tu
Pili kumbe inapunguza uke
Unakuta ulikataa vibamia huko nyuma .mbona utavikumbuka mana unaanza tena upya la sivo Ile methali Ile shindana kunya na tembo.....
Wanawake wengi...
OPERESHENI CYLONE YA CIA NA UISLAMU KUHUSISHWA NA UGAIDI
Msomaji wa andiko hili, naomba ulisome ukiwa huna chembe chembe za udini au mihemko, naomba usome kujifunza, hili ni angalizo langu.
Waziri Mkuu wa zamani wa Pakstani, Benazir Bhutto, anamuambia jambo la kumuonya Rais wa Marekani kwa...
Wanajiandaa kutuma wanajeshi plus special force zao zote kwenda Iran kubeba vifaa vya nyuklia plus rasilimali zote zinazohusika na urutubishaji !!!Wataweza??
Pentagon eyeing megaraid to steal Iran’s nuclear stockpile – media
The Pentagon is contemplating what could become “the most...
Jiji la Dar es Salaam limeanza rasmi operesheni ya kuondoa spika za matangazo ya biashara zinazotajwa kusababisha kelele katika maeneo mbalimbali ya biashara, hususan Kariakoo, kwa lengo la kurejesha utulivu na kuboresha mazingira ya wafanyabiashara pamoja na wanunuzi. Hatua hiyo inalenga...
ANDIKO LA Jebra Kambole
Amri ya hivi karibuni ya Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni iliyotolewa tarehe 28/05/2026 na Meya wa Kinondoni Mh. Songoro Hamis Mnyonge ya kuwaondoa kwa nguvu watu wanaoomba kwenye mitaa ya Dar es Salaam ni sehemu ya wimbi linaloongezeka la hatua kali za manispaa dhidi...
👉Mshukiwa mmoja mwenye silaha ameangushwa kwa risasi baada ya kuanzisha mashambulizi ya ghafla dhidi ya checkpoint ya Secret Service nje ya White House, tukio lililosababisha mfumo mzima wa ulinzi wa rais wa Marekani kuingia kwenye hali ya “maximum lockdown”.
👉Taarifa kutoka vyanzo vya...
Marco Rubio anasema mashambulizi ya kijeshi ya Marekani dhidi ya Iran yameisha, akisisitiza kuwa operesheni hiyo imefikia malengo yake. Alisema lengo lilikuwa kudhoofisha uwezo wa makombora ya Iran, ambayo yalikuwa yakitumika kulinda mpango wake wa nyuklia.
"Operesheni Epic Fury imekamilika...
Maafisa wa usalama nchini wameongeza juhudi za kukabiliana na ugaidi baada ya Directorate of Criminal Investigations (DCI) kugundua mtandao unaodaiwa kuhusishwa na kundi la Al-Shabaab katika eneo la Eastleigh, Nairobi.
Kwa mujibu wa wachunguzi, operesheni hiyo ilisababisha kukamatwa kwa...
https://www.youtube.com/watch?v=cbU3WIXJBw8
Ndege za kivita za B-2 Stealth ziko tayari kwa operesheni ya Midnight Hammer
Kamanda yupo Live
Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) inafanya mkutano wa dharura na waandishi wa habari muda huu kufuatia taarifa zinazoenea kuwa kikosi cha ndege za...
Serikali ya Australia chini ya Waziri Mkuu Anthony Albanese imepongeza uamuzi wa Marekani kuendesha operesheni dhidi ya Iran ili kuizuia nchi hiyo kupata silaha za nyuklia na kuzuia tishio la usalama wa kimataifa, ikisema inasema pamoja na “watu hodari wa Iran katika mapambano yao dhidi ya...
Operesheni maalum inayoendeshwa na UVCCM mkoa wa Kagera, iliyopewa jina la Vijana Daka Fursa na Samia [VIDAFUSA] imeanza kwa kishindo katika wilaya ya Kyerwa jana tarehe 20 Februari 2026 kwa kupitia makundi ya vijana walionufaika na mikopo ya halmashauri ya 10% kwa kusikiliza mafanikio na...
Maafisa wawili wa Marekani wamekiambia chombo cha habari cha Reuters, kuwa Jeshi la Marekani linajiandaa kwa uwezekano wa operesheni endelevu za wiki moja dhidi ya Iran ikiwa Rais Donald Trump ataamuru shambulio.
Ufichuzi huo wa maafisa hao, ambao walizungumza kwa sharti la kutotajwa majina...
Mara ya mwisho kwa PRC kupigana vita ilikuwa mwaka 1979, na ulikuwa ni mgogoro mdogo sana kule Vietnam. China imekuwa ikijificha nyuma ya kivuli cha soft power na propaganda, lakini inapokuja kwenye operesheni za kisasa za kijeshi, kwa bahati mbaya ni "Paper Tiger" (mbwa asiye na meno). Licha ya...
Hawa wa kawaida wanapitia misukosuko mingi inawasiligi hata ukuaji wao kichwa kinapovutwa vutwa
Wale wa operesheni wanatolewa wanaweka pembeni mdo mana wanakuaga na akili
Operesheni ya Kukamatwa kwa Rais wa Venezuela: Simulizi Linalozua Mjadala
Operesheni iliyodaiwa kusababisha kukamatwa kwa Rais wa Venezuela, Nicolás Maduro, na majeshi ya Marekani imeelezwa kama operesheni ya kasi na usahihi wa hali ya juu.
Simulizi hilo linaeleza kuwa shambulio la ardhini...
Kikosi cha Walinda Amani cha Tanzania kinachohudumu chini ya mwamvuli wa FIB-MONUSCO kimehitimisha rasmi jukumu lake la ulinzi wa amani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) kupitia gwaride maalumu la makabidhiano kati ya TanzQRF ya 4 na TanzQRF ya 5. Hafla hiyo imefanyika katika makao...
Wanaukumbi.
⚡️BREAKING: Taarifa ya kijeshi iliyotolewa na uongozi wa Brigedi ya Martyr Izz al-Din al-Qassam:
"Tunauambia uongozi wa kijeshi na kisiasa wa adui: Gaza haitakuwa sehemu rahisi kwa jeshi lako linalotetemeka. Hatuwaogope na tuko tayari kupeleka roho za askari wako kuzimu...
Historia:
Operesheni Dudula ni harakati iliyoanza kama kikundi cha kijamii kilichoanzishwa Soweto, Johannesburg na kisha kujigeuza kuwa. Jina "Dudula" linamaanisha "kusukuma nje" au "kugonga chini" kwa lugha ya Kizulu, likirejelea lengo la kikundi hicho la kuwafukuza wahamiaji wasio na hati za...
Hii ni Operesheni ya kuliokoa Taifa dhidi ya Wanasiasa ambao siku zote kazi yao ni kuwaza mambo kwa maslahi yao na familia zao.
Hii ni operesheni ya kuokoa rasilimali za Taifa ambazo zinagawiwa kwa wageni kwa mikataba isiyo na faida kwa Wananchi. Huku wachache wakijinufaisha binafsi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.