Kama wewe ni mchawi usije Kigoma kipindi hiki, Kuna operesheni kubwa sana inaendelea

Hao waganga Wanapotoa nguvu ya kupambana na wachawi,ndipo na hao wachawi wanapochota nguvu ya uchawi,kwa hiyo tunasema uo ni mchezo wa kiini macho.Hao wote ni Serikali moja Wizara ndio tofauti.Kipofu awezi kumtoa kipofu mwenzie shimoni zaidi ni mipango ya kuwafanya watu waamini uchawi zaidi na kuutumikia kwa masharti watakayopewa na hao waganga.
 
Niko Kigoma mida hii, ni noma Sana mkoa umekuwa wa Moto balaa, wachawi wanalia Kama watoto wadogo wanatamani Hadi kufa lakini wapi.

Baada ya tabia za ovyo za kichawi kuzidi, ilibidi wananchi watoe 'contract' kwa magwiji kutoka Congo na Nigeria Kuja kushugulika nao.

Mchakato wa kuwapata hao wataalamu umefuata kanuni zote za manunuzi ya umma, mchakato ni Kama ule wa DP World sema huu Hauna mazingira ya rushwa, baada ya mchakato wa zabuni Wacongo na Wanigeria walishinda.

Kabla ya kuanza kazi makotrankta huwa wanaingia Kijiji husika kimyakimya wanapita kwenye mipaka ya Kijiji na kuweka kufuli (hamna mchawi hatakayeweza kutoroka Wala kupitisha silaha zake wakati zoezi likiendelea.

Baadae makotrankta uingia ndani ya Kijiji kuanza kazi rasmi.
Kuna vitu vya ajabu zimetolewa kwenye majumba ya watu sio poa.

Nitaendelea kuwaletea update baadae kidogo wakuu
Naweza kupata business card Toka kwa hao makontracta
 
Back
Top Bottom