Kama wewe ni mchawi usije Kigoma kipindi hiki, Kuna operesheni kubwa sana inaendelea

Niko Kigoma mida hii, ni noma Sana mkoa umekuwa wa Moto balaa, wachawi wanalia Kama watoto wadogo wanatamani Hadi kufa lakini wapi.

Baada ya tabia za ovyo za kichawi kuzidi, ilibidi wananchi watoe 'contract' kwa magwiji kutoka Congo na Nigeria Kuja kushugulika nao.

Mchakato wa kuwapata hao wataalamu umefuata kanuni zote za manunuzi ya umma, mchakato ni Kama ule wa DP World sema huu Hauna mazingira ya rushwa, baada ya mchakato wa zabuni Wacongo na Wanigeria walishinda.

Kabla ya kuanza kazi makotrankta huwa wanaingia Kijiji husika kimyakimya wanapita kwenye mipaka ya Kijiji na kuweka kufuli (hamna mchawi hatakayeweza kutoroka Wala kupitisha silaha zake wakati zoezi likiendelea.

Baadae makotrankta uingia ndani ya Kijiji kuanza kazi rasmi.
Kuna vitu vya ajabu zimetolewa kwenye majumba ya watu sio poa.
Wachawi wa Kigoma wanajua mpaka wanajua tena, yaani ni Kama wachezaji wa World Cup sema ndio hivyo tena na hawa makontrakta Ni Kama marefa wa Uefa, wanaona hata bila VAR. Ukileta kontrakta levo za RAMADHAN Kayoko anabadilishwa kuwa nyau fasta.

Nitaendelea kuwaletea update baadae kidogo wakuu
Wakati India juzi wamefika mwezini, sisi tupo bize na mambo ya uchawi na uganga! Katika ubora wetu
 
Ulaya ukigundulika ni mchawi unauliwa kimya kimya, kama wewe si raia wa ulaya unakuwa depoted na hurusiwi tena kukanyaga nchi yao milele yote. ulaya uchawi ni laana mbaya sana hawataki kuisikia.
Sasa serikali zetu huku Africa(Tz) zina kwama wapi kuchukua utaalamu Wakuwajua wachawi kutoka ulaya (mf England miaka ya 1600s) na U.S.A Ili tuwafyekleee mbalii. Maana Hawa washikaji miyeyusho sana yani huna time Naye lakini anajipendekeza kwenye harakati zako
 
Niko Kigoma mida hii, ni noma Sana mkoa umekuwa wa Moto balaa, wachawi wanalia Kama watoto wadogo wanatamani Hadi kufa lakini wapi.

Baada ya tabia za ovyo za kichawi kuzidi, ilibidi wananchi watoe 'contract' kwa magwiji kutoka Congo na Nigeria Kuja kushugulika nao.

Mchakato wa kuwapata hao wataalamu umefuata kanuni zote za manunuzi ya umma, mchakato ni Kama ule wa DP World sema huu Hauna mazingira ya rushwa, baada ya mchakato wa zabuni Wacongo na Wanigeria walishinda.

Kabla ya kuanza kazi makotrankta huwa wanaingia Kijiji husika kimyakimya wanapita kwenye mipaka ya Kijiji na kuweka kufuli (hamna mchawi hatakayeweza kutoroka Wala kupitisha silaha zake wakati zoezi likiendelea.

Baadae makotrankta uingia ndani ya Kijiji kuanza kazi rasmi.
Kuna vitu vya ajabu zimetolewa kwenye majumba ya watu sio poa.
Wachawi wa Kigoma wanajua mpaka wanajua tena, yaani ni Kama wachezaji wa World Cup sema ndio hivyo tena na hawa makontrakta Ni Kama marefa wa Uefa, wanaona hata bila VAR. Ukileta kontrakta levo za RAMADHAN Kayoko anabadilishwa kuwa nyau fasta.

Nitaendelea kuwaletea update baadae kidogo wakuu
Tafadhali waambie hao vigagula kutoka congo na nigeria tunawahitaji watufanyie kitu hapa bandar salama mara tu wakimalizana na hao waha na wamanyema.
 
Huo mchezo Wala hakuna mwenye ujuzi wa mambo hayo, kinachofanyika ni kusingizia wazee wa watu. Usiku wanapita kuchimba irizi na madude kwenye nyumba za watu, halafu asubuhi wanapita wakijifanya wanakimbiza vitu visivyoonekana wanaenda kuishia kwenye mashimo waliyochimba usiku na kufukia vitu vyao. Basi wakifukua na kutoa irizi raia wanashangilia kumbe wamepigwa na wazee wa watu kupewa shutuma za uongo.
 
Back
Top Bottom