Kama ni gari ya chini kwa Mzee Mwinyi, kwanini isiwe IST au Fun Cargo za bei rahisi?

Mzee Mkapa ana nyumba lakini ameongezewa nyingine na serikali ili awe nazo nyingi kwa mujibu wa Biblia.

Mzee Mwinyi ana gari lakini anaongezewa lingine ili awe nayo mengi kama Biblia ilivyosema.

Mzee Kikwete ana nyumba lakini ameongezewa nyingine na serikali ili neno la Mungu litimie.

Na kisha kila mmoja atatoa hesabu mbele ya Mungu siku itakapofika.

Basi Yesu akasema, Kila aliyenacho ataongezewa na awe navyo vingi na yule asiyenacho atanyang'anywa hata kile kidogo "anachodhani" anacho - Kitabu cha Mathayo (25:29)

Mungu wabariki Watanzania!
Kwanini haya maneno yaibuke wakati huu wa Mama Samia, mbona alipofanya hivi magufuli hamkuja na nukuu za maneno matakatifu?
 
Huna akili!Nchi huwa inaongozwa kwa mujibu wa katiba na sheria zilizopo na wala siyo kwa mujibu wa biblia.Kama huna cha maana cha kuandika ni vyema kukaa pembeni ili kuficha ujinga wako na kuepusha server za JF kujaa ujinga.
 
Kwanini haya maneno yaibuke wakati huu wa Mama Samia, mbona alipofanya hivi magufuli hamkuja na nukuu za maneno matakatifu?
Kuna watu wana nongwa!
 
Huna akili!Nchi huwa inaongozwa kwa mujibu wa katiba na sheria zilizopo na wala siyo kwa mujibu wa biblia.Kama huna cha maana cha kuandika ni vyema kukaa pembeni ili kuficha ujinga wako na kuepusha server za JF kujaa ujinga.
Hiyo katiba inalindwa kwa Biblia na Q'uran!

Yawezekana wewe ndio mbwiga.

Hata hapo Ufipa Mbowe anaongezewa kuliko Nyangali Mdude!
 
Hiyo katiba inalindwa kwa Biblia na Q'uran!

Yawezekana wewe ndio mbwiga.

Hata hapo Ufipa Mbowe anaongezewa kuliko Nyangali Mdude!
Huna akili kwa sababu watu ambao hatuamini katika Mungu hatujui hayo mambo ya biblia na kuruani.Unaelewa kuwa katika nchi siyo watu wote wana dini?Unaingizaje mambo ya dini katika uongozi wa nchi wakati kuna watu ambao hawaamini katika hayo mambo?
 
Mkuu IST alisikika mkuu akisema huwa wanahongwa watu mahawala zao
Ni kwa sifa hiyo tu inaonekana sio sawa
Rejea kauli ya RC kijana kuliko wote alieshika jiji la Dar
 
Huna akili kwa sababu watu ambao hatuamini katika Mungu hatujui hayo mambo ya biblia na kuruani.Unaelewa kuwa katika nchi siyo watu wote wana dini?Unaingizaje mambo ya dini katika uongozi wa nchi wakati kuna watu ambao hawaamini katika hayo mambo?
Watu wenye dini ndio wanaokuongoza wewe mbwiga.

Viongozi wote waliopo madarakani nchini Tanzania wameapa ama kwa kutumia Biblia au Q'uran.

Wewe usiye na dini kwa sasa endelea kupokea maelekezo hata kama akili zako ni nyingi kama pipa la mbege!
 
Mtu wa kiwango cha AH Mwinyi ambaye tayari ana stahiki ya kupewa gari jipya kila baada ya miaka minne na marupurupu kibao ya mamilioni kila mwaka SI SAHIHI kumpa zawadi ya gari. Hizo ni zawadi za kimasikini.

Angepewa zawadi yenye ubunifu zaidi ambayo ni symbolic kama kazi makini ya taswira (exquisite work of art) inayoandaliwa na msanii maarufu na kuwekwa kwenye kumbukumbu zake kuu. Haya magari ya anasa ni kumharibia sifa yake kwa jamii. Kumfanya aonekane mroho asiye na kiasi wakati hana uhitaji nayo.
 
d
Kulingana na hali halisi ya nchi yetu ya umasikini ningeshauri kuliko kumpa Rais mstaafu Ally Hassan Mwinyi Benzi ya milioni 300 ambayo nasikia hata hivyo ameikataa bora tungempa zawadi ya gari aina ya IST au Fun cargo ambazo ni za chini zaidi kwa urefu na bei ni nafuu. Ni ushauri wangu tu.

View attachment 1778776View attachment 1778777

Rais wa Uruguay mstaafu Jose Mujica enzi ya urais wake (2010 - 2015) alikuwa anatembelea Voxwagen.

View attachment 1778844

Aliopostaafu alipewa zawadi ya tractor.

View attachment 1778855
duuu
 
and wakajenga ipi?
823A7C26-E29F-4B00-B446-FB9C3C0D8CC9.jpeg
 
Kulingana na hali halisi ya nchi yetu ya umasikini ningeshauri kuliko kumpa Rais mstaafu Ally Hassan Mwinyi Benzi ya milioni 300 ambayo nasikia hata hivyo ameikataa bora tungempa zawadi ya gari aina ya IST au Fun cargo ambazo ni za chini zaidi kwa urefu na bei ni nafuu. Ni ushauri wangu tu.

View attachment 1778776View attachment 1778777

Rais wa Uruguay mstaafu Jose Mujica enzi ya urais wake (2010 - 2015) alikuwa anatembelea Voxwagen.

View attachment 1778844

Aliopostaafu alipewa zawadi ya tractor.

View attachment 1778855
Mzee wako anaweza kununuliwa hata bajaji, mzee mwinyi sio mzee wako
 
Kiuhalisia mzee mwinyi anaistahiri hiyo zawadi kwa jinsi uongozi wake ulivyokuwa wa kistaarabu tofauti na lile jiwe la matikiti kutoka Chato
 
Back
Top Bottom