Vijijini huko Bukoba....Excuses za hater
Hii stand bora sanaKazi inaendelea ..soon new terminal
..wivu mwanzo mwisho ....
Mbeya bado sanaView attachment 2371805View attachment 2371807
Naona uswazi mtupu hapo kichakani ππKashai bukoba...
Watu wa bukoba wanapaita Kwa wajanja....
Kashai ndo kata yenye population kubwa katika mji wa bukoba ikifatiwa na Rwamishenye....
Kashai ina watu zaidi ya 50,000 inawezekana inapazidi makambako au njombe Kwa populationView attachment 2368638
Bukoba ni zilipendwa..
Ndio kitu cha maana hicho sio GDP ya mali ya mzungu kama Geita ππSasa hivi maskini wa kusini mnajificha kwenye per capital
Hawa njombe waliwahi kushika namba moja kwa makusanyo ya makisio wakasema safari ijayo wataishinda kahama na ilemela sasa sijui wamefili wapi na ijayo ndio hii pia waam is kahama ni fire haitegemei mgodi anaebisha aje buzwagi ilisha fungwa kitambo mkurugenzi wa Jamaica kila siku anaanzisha vyanzo vipya vya mapato nyie vyanzo ni vile vile muishinde kahama acheni utani njombe mtasubiri sana 99 bBilion bila buzwagi no problem waliotabiri kufeli wamefeli waoKahama ni wilaya moja yenye majimbo matatu na halmashauri 3. Kahama, msalal na ushetu. Jumlisha Kisha linganisha na njombe
Hio ndio manispaa ya kahama unayowakosesha usingizi na kuumia kikubwa kahama ni level nyingine barabara sio tatizo serikali itajenga kama ilivyojenga kwako mngekuwa mmejenga hizo barabara zenu kwa kutozana tozo ya mbao zenu tungewaelewa lakini kama serikali ilihenga hata kahama zitajengwa tuvute subiraJamaa wa Kahama wanaonesha mavumbi mjini eti ni barabara necheka Sana na wanaita Manispaa
Kwenye vigezo vya mji kuwa manispaa hakuna kigezo cha hotel za nyota tano Wala nyumba za kulala wageni ndio maana mmenyimwa subirini 2030 wakati kahama wanaomba jiji hata vigezo hamvijui na kuomba hamjui mbona dodoma ilitangazwa bila vigezo moshi ikaachwa lakini sasa dodoma huwezi ilinganisha na Moshi moshi ishindane na iringa na bukoba unapoomba kitu usilete fitina mbona fulani kapewa na mumi nipewe hivi wakati simiyu geita manyara na wewe njombe mlipewa mkoa mlikuwa na sifa zupi za kumzidi kahama? Mbona hapigi kelele nipeni jibu wa njombe mjiHakuna barabara ni mavumbi tupu.
50% ya Uchumi unategemea migodi .
Huduma za jamii hakuna za kulingana na idadi ya watu.
Mwisho nani alikudanganya kwamba vigezo ni lazima watu laki 2 plus? Ulidanganywa na nani?
Eti Njombe haina sifa hizo,toka Uzi umeanza tuliwaambia onyesheni hoteli hata 5 kali hakuna,sasa hapo nani ana sifa?
Kama ni uwekezaji ndio usiseme,Jana tuu hapo umetoka kusikia Waziri wa uwekezaji anasema muwekezaji yuko mkoani anataka ekari 500 ajenge kiwanda na aanze kulima parachichi,pia kuna viwanda vya chai,mbao,nguzo,nk na uliona Rais katembelea kiwanda cha Tanwat bado unaongea ujinga tuu hapa..
Tumeleta video kibao hapa za kuonyesha maendeleo ya Mji nyie mnatafutiza vipicha vya gesti ndio mnaleta.
Mlipendelewa tuu na Mwendazake wenu,Fikeni hapa kwanza
Kwaahio hotel ya submarine haina gorofa 4 unazodai pia ina nyota 4 .5Kuna Kahama tofauti na hiyo ya kwenye video hapo?..
Manispaa nzima ina tugorofa tuzuri 2 tuu heeee
Magorofa ya njombe yanajengwa na wazalendo hela inatafutwa dar na wakinga wsnajenga home kupendezesha mji ila mfanyabiashara wa njombe anaeishi njom email biashara zake njombe Hana uwezo wa kujenga gorofa kwa hela aliotafutia njombe ukweli mchungu ila ni tibaKwa hiyo kujigamba koote kwamba sijui utakuja na vitu vikali ndio umekuja na huu utoto?.
Na wewe kwa akili yako ndogo Njombe ina mzunguko mdogo wa Hela? Ingekuwa hivyo ungekuta kuna magorofa yote Yale hadi unashangaa?
Njombe ya Leo Sio ya Miaka ile,sio tuu hizo zipo Bali Kuna hadi Mkombozi Commercial Bank.
Naomba unitajie hata matajiri wa3 wa njombe unaaowajua au lete uthibitisho wa hizo ghorofa zilizojengwa na wakinga waliopo darMagorofa ya njombe yanajengwa na wazalendo hela inatafutwa dar na wakinga wsnajenga home kupendezesha mji ila mfanyabiashara wa njombe anaeishi njom email biashara zake njombe Hana uwezo wa kujenga gorofa kwa hela aliotafutia njombe ukweli mchungu ila ni tiba
Wewe ni WA kukuonea huruma tuu hujui unaloongea..Magorofa ya njombe yanajengwa na wazalendo hela inatafutwa dar na wakinga wsnajenga home kupendezesha mji ila mfanyabiashara wa njombe anaeishi njom email biashara zake njombe Hana uwezo wa kujenga gorofa kwa hela aliotafutia njombe ukweli mchungu ila ni tiba
Ni jambo jema serikali iwekeze maeneo kwa ajili ya kilimo, nyie limeni hayo mazao yatanufaisha watanzania wote, hapo tuone wivu kwa kipi?Hapa watapita kimya kimyawakijifanya hawaoni ππ.
Chunya π