KERO Kagera: Walimu zaidi ya 80 Wilaya ya Ngara tuliohamishwa mwaka jana mwezi Mei hatujapewa hela za kujikimu. Hali ngumu

KERO Kagera: Walimu zaidi ya 80 Wilaya ya Ngara tuliohamishwa mwaka jana mwezi Mei hatujapewa hela za kujikimu. Hali ngumu

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
HALI HIYO IMEPELEKEA BAADHI YA WALIMU KUKOSA FEDHA ZA KUJIKIMU NA KUPELEKEA KULALA MADARASANI KUTOKANA NA KUKOSA FEDHA ZA KODI.

PIA WALIMU WENGI TUNANAISHI MBALI NA FAMILIA ZETU KWANI TULIKOSA FEDHA ZA KUSAFIRISHA FAMILIA NA MIZIGO YETU.

Screenshot 2025-08-22 at 13.31.00.png
 
Hatari sana, kina tucta wanasema hawana deni kwa serikali
 
Laleni hata juu ya miti, nyie ndiyo mnaoisaidia ccm kutufilisi sisi wavuja jasho halali, kwa kuiwezesha kuiba kura na kuifanya iendelee kubaki madarakani pasipo haki, na bado, mtalala hata mitaroni.
 
Laleni hata juu ya miti, nyie ndiyo mnaoisaidia ccm kutufilisi sisi wavuja jasho halali, kwa kuiwezesha kuiba kura na kuifanya iendelee kubaki madarakani pasipo haki, na bado, mtalala hata mitaroni.
Walimu utawaonea tu mkuu, ukishajouliza ni kwanini hawawezi kataa , ndo utakapoona tatizo kamili lipo wapi
 
Back
Top Bottom