Kagera: Kimondo chadaiwa kudondoka Bukoba

Kagera: Kimondo chadaiwa kudondoka Bukoba

leo nimeelewa kwa nini huwa unashabikia cccm, hata kimondo hujui ni nini?

ni jiwe(sio jiwe mwenyekiti wako)/ama mfano wa jiwe huzunguka jua huko angani, inatokea viaakanguka
Hahaaaaa nilitaka kuhoji hivyo hivyo,yaani kumbe tuanajadiliana na watu uwezo wao ni mdogo sana
 
leo nimeelewa kwa nini huwa unashabikia cccm, hata kimondo hujui ni nini?

ni jiwe(sio jiwe mwenyekiti wako)/ama mfano wa jiwe huzunguka jua huko angani, inatokea viaakanguka
[emoji38][emoji38]aisee comrade
 
Hadi vimondo vinafurahia awamu hii, acha vije tu na nadhani juhudi vina naniliii
 
picha wadau
tuwape na watu wa instagram na tweeter washee ili viongoz wetu wakina kigwangala wanaoshinda humo wapate taarifa
Kina ukbwa gani maana kile cha Mbozi, Songwe ni cha 8 dunia na cha pili Afrika, kwa sasa eneo hilo limeendelezwa na ni kivutio kizuri cha utalii. Toa taarifa kamili ili Kigwangalla awahi huko BK.
 
Back
Top Bottom