Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,411
- 30,414
Du...!Kimondo ni nini?
Du...!Kimondo ni nini?
Sasa kutoka kwa wqtu njee wakizani tetemeko ndio inasaidia niniKIMONDO kimetua kwa sauti kubwa yakuogofya watu wametoka nje wakidhani ni tetemeko nyumba zimetikisika kwa mshindo mkubwa mpaka sasa niwasiwasi mtupu. View attachment 948550
Huwezi kuwa fasta kiasi hicho kukipiga picha kimondooo mkuu...!Picha ilikuwa kama hiviView attachment 948579
Huyo umeme haufiki kichwaniWengine medium school mzee...
Kimepigwa picha sasa.We unahisi kimechorwa hicho?Huwezi kuwa fasta kiasi hicho kukipiga picha kimondooo mkuu...!
Hahaa. Naona umewakilisha vyema misifa yenu hapo duh !!Unajua na mie mhaya, so hem acha kutushusha hadhi, hujiulizi why nyerere aliingia vitani na idd amin kwa ajili yetu?? We are very important tribe in this nation.
Wivu tu!!!
Poleni sana aisee,h3bu fatilia utupe update mkuuNimapema kujua ila wapo walozimia tunaendelea kufuatilia ili tujue wapi wanahita msaada maana tushazoea kujihudumia.
Kimepigwa picha sasa.We unahisi kimechorwa hicho?
Meteor, au waweza ita shooting star.
Ni mawe makubwa yaliyo na gas inayowaka ndani yake, na gas hiyo huyafanya yasafiri kwa mwendo wa kasi yakiacha mwali wa moto nyuma.
Mawe hata huweza kuwa na ukubwa kuzidi nyumba ya vyumba vitatu na hata yaweza kuwa makubwa zaidi ya hapo.
Sawa babaHiyo picha imechukuliwa mtandaoni tuu...Hata hizo nyota unaona kabisa sio really ni picha iliyokuwa edited nyingi zinatumika kama Wallpapers...
Amina. Mbakasinge kutugondez'emirembe.Embabazi za Katonda zibe neinywe batata aba Bukoba.
Poleni sana aisee,h3bu fatilia utupe update mkuu