Bangi kaka sio nzuri kama ndio unaanza acha na kama ushaanza rehab inakuhusu....hii iliyokufanya ukaandika hapa sio akili yako ile tunayoifahamMuda sio mrefu kimedondoka kimondo kikubwa saaana hapa Bukoba.
Taarifa zaidi zinafuatia
Ww ni mpumbavu sanaWazinifu sana,...majanga deile nyie tuu..kuna kona moja ya wahaya tmk kule,ikifungwa ile,majanga kwisha.
Itasema alikuwa na camera inasubiri, by the way uzi umepandishwa saa 22:23 mpaka sasa hivi 10:19 masaa 11 dakika 56 hakuna picha...labda kama ipo kwenye comment ndaniHuwezi kuwa fasta kiasi hicho kukipiga picha kimondooo mkuu...!
Tena amekomaa kabisa kwamba kwamba KIMONDO KIKUBWA SANA (maana yake amekiona lakini picha hana)Bangi kaka sio nzuri kama ndio unaanza acha na kama ushaanza rehab inakuhusu....hii iliyokufanya ukaandika hapa sio akili yako ile tunayoifaham
HahahahaItasema alikuwa na camera inasubiri, by the way uzi umepandishwa saa 22:23 mpaka sasa hivi 10:19 masaa 11 dakika 56 hakuna picha...labda kama ipo kwenye comment ndani
Hakuna cha kimondo mzee hapoo..Yani leo ingekuwa trendind news dunia nzimaa..![emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23]Labda katererooPicha mpk sasa bado.....
Utashanga bbc uk wanaipata Kabla ya vyombo vyetu vya habari vya ndani?
Ova
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hakuna cha kimondo mzee hapoo..Yani leo ingekuwa trendind news dunia nzimaa..![emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23]Labda katereroo
Itasema alikuwa na camera inasubiri, by the way uzi umepandishwa saa 22:23 mpaka sasa hivi 10:19 masaa 11 dakika 56 hakuna picha...labda kama ipo kwenye comment ndani
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nikiripotii kutoka bbc mm mjomba wake zuhura yunus katerero bukoba ....
Au inawezekana ni spacecraft imeondoka kwenye njia yake. Hivi karibuni watafiti wametuma vyombo vingi angani kwa ajili ya majaribio, navyo vinaweza kupata itilafu na kisha kudondokaView attachment 948845
Nikiripotiiii kutoka katerero mm ni mjomba wake zuhura yunus bbc ...Picha mpk sasa bado.....
Utashanga bbc uk wanaipata Kabla ya vyombo vyetu vya habari vya ndani?
Ova
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ova