Kwani kupewa silaha ndio kunaondoa kutendeka kwa makosa ya kivita? Saa nyingine kulikoni kuanzisha nyuzi tupu kama hizi, ungeweza kutumia muda wako kidogo kusoma kuhusu maana na mazingira ya kutenda makosa ya kivita.Nato wamechanganyikiwa na sasa wanajiandaa kuwapa silaha zaidi hivi hawa watu wana akili sawasawa ,havi raia gani huyo anakufa pembeni ya kifaru ??????
kama ni hivyo marekani awe wa kwanza kijibuKwani kupewa silaha ndio kunaondoa kutendeka kwa makosa ya kivita? Saa nyingine kulikoni kuanzisha nyuzi tupu kama hizi, ungeweza kutumia muda wako kidogo kusoma kuhusu maana na mazingira ya kutenda makosa ya kivita.
Hapa si tulikuwa tunaongelea ya Ukraine, sasa US anajibu nini hapa?kama ni hivyo marekani awe wa kwanza kijibu
Wewe ndio kabisa hamna kitu kichwani.kwa ufinyu wako wa kufikiria
Hapa mm ndo inanishangaza. Tena wanapewa silaha wakiwa hawana uniforms. Wakiua warusi wanaitwa wajasiri wakiuawa inaitwa woo kraimu.
Mashaka yangu ni kama Zelensky ni raia wa Ukraine. Maana polshenko mtangulizi wake aliweza kutuliza hali ya hewa mpka walivyomtoa. Huyu wa sasa kaiangamiza nchi yake yy mwenyewe.Inashangaza sana. Walisifiwa sana kuwa ni mashujaa wapigania nchi yao. Kulikoni tena