Kabla sijamaliza Wamekata!

EXTERMINATOR

JF-Expert Member
Sep 8, 2011
343
90
Hawa Startimes vipi? Nimelipia trh 13Jan kufika trh 10Feb Wamekata. Ina maana mwezi umeisha au hesabu zangu hazipandi? Aaagh!
 
Hawa Startimes vipi? Nimelipia trh 13Jan kufika trh 10Feb Wamekata. Ina maana mwezi umeisha au hesabu zangu hazipandi? Aaagh!

Wamewaiga ccm kupunguza siku mbili, si unajua hata sisi tulisherehekea kuzaliwa kwa chama tarehe 3/2 badala ya 5/2...!?
 
Habar JF,
Nadhan wengi mtaniunga mkono:
1.Kuna hiki king'amuzi cha startimes ambacho kusema ukweli cjui kwa nini kimekaa kiubabe ubabe,kwan hata huduma kw wateja hawana majibu ya kutosha juu ya kuondolewa au kuto onekana vizur kwa channel kama vile 'strach'ambazo zimekuw kero kw hiki king'amuz,pia UBORA wa picha ni ovyoooo kabisa,zimepauka na hazina mvuto,yaan kama ulikuw unaangalia dst au ungo,ukarud kweny startimes unaweza kuw kichaa jinsi kilivyo na ubora mdogo tena haswa,pia namba za chaneli hazielewek zime ruka_ruka bila utaratibu mara 105,107,108,111 hata hakieleweki,pia kuna sababu gan ya kuzui chaneli za kitanzania? Mpaka DTV;Tumain,Clouds yaan ..
2.Kero yangu ya pili ni bahadhi ya chaneli na TV na Radio hapa nchini zina tabia ambazo me sizielewi,mfano wanataka watazamaji na wackilizaji wachangie mada fulan kw njia ya cmu,alafu wanatoa namba za cmu ambazo watu weng hawatumii hiyomitandao mfano TCCL n.k amabazo wa TZ weng hawatumii,sasa lengo hasa ni nn?
Cku njema.
 
TBC huwa wanaweka hizo namaba za TCCL ili watoto wa wakuu wa wilaya wachangie mada zao.
 
Mie ntanunua king'amuzi mwezi wa nane, at least wakati huo ntakuwa nshajua mbivu na mbichi kwa sasa ni series kwa kwenda mbele
 
hii ndio bongo, kila mtu akipata nafasi anakomoa wengine.... tunabaki kupiga kelelee kisha kimya...mambo yansonga!
 
Mmejifanya kuwabana mafisadi kwenye umeme haya wamehamia kwenye ving'amuzi,hapo
je mnasemaje watz" watu washakula asilimia yao kwenye ving'amuzi wametulia mtajijua
kama vinaonyesha au havionyeshi non of their business"
 
huku tunajidai tuna huru wa habar..oooh digital yetu...oooh picha bora...oooh ofa za sikukuu....jaman..
 
Ndugu wana jamii Forum,

Mwenzenu natatizwa na hii huduma ya ving'amuzi hususani ss wa kada ya chini, natumia star times, lakini wananiker sana, hawana channel za maana. Napenda kuuliza nani anatumia za TING na Digitech na huduma zao zikoje.
Msaada please
 
Mpwa heri hao Startimes, niliuza cha kwangu cha startimes but Zuku nako full matatizo maana kama hujalia hawakupi hata hizo zilizoitwa Free Channels, hakuna cha TBC wala Chanel Ten wala STartv zaidi ya Chanel yao ya matangazo ya Zuku Zone.

Mwanzoni TCRA walisema kuwa ni Policy kuwa wale wote wenye Natoinal Broadactsing License Kama ITV, TBC na wengine lazima channel zao ziingizwe kwenye hivi vidubwana but what is happening my dear ni confusion ya hali ya juu
 
changu nimekitwanga ngumi japo kimebondeka na kuvnjika kinafanya kaz,kasoro tbc no signal.startimes!
 
Ndugu wana jamii Forum,

Mwenzenu natatizwa na hii huduma ya ving'amuzi hususani ss wa kada ya chini, natumia star times, lakini wananiker sana, hawana channel za maana. Napenda kuuliza nani anatumia za TING na Digitech na huduma zao zikoje.
Msaada please

Afadhali ya Startimes kuliko Ting,changu kipo uvunguni.
 
Achaneni navyo hivo! Ujinga mtupu tu hakuna cha maana bora upate FTA ujue hulipiii lakini hakuna upatacho pia!
 
yani changu kilinitia hasira nikagonga ngumi kikapondeka na kuvunjika lock ,ndo kinaonyesha hahaha
 
Back
Top Bottom