Jeji JF-Expert Member Joined Jun 28, 2011 Posts 1,973 Reaction score 372 Feb 11, 2013 #21 mimi natumia zuku, local zilizopo ni 3 tu clouds, TBC1 na chanel 10.
Mabreka JF-Expert Member Joined Aug 29, 2012 Posts 709 Reaction score 209 Feb 11, 2013 #22 je continento havijaingia sokoni, staatimes picha zinaganda, ukiangalia mpira ndo balaa kabisa
Mabreka JF-Expert Member Joined Aug 29, 2012 Posts 709 Reaction score 209 Feb 11, 2013 #23 flora msoffe said: yani changu kilinitia hasira nikagonga ngumi kikapondeka na kuvunjika lock ,ndo kinaonyesha hahaha Click to expand... so ukikichapa ngumi picha inaonekana kwa uangavu zaidi?( HD) coz hiki changu ninanitia kinyaa, nafikiria dst
flora msoffe said: yani changu kilinitia hasira nikagonga ngumi kikapondeka na kuvunjika lock ,ndo kinaonyesha hahaha Click to expand... so ukikichapa ngumi picha inaonekana kwa uangavu zaidi?( HD) coz hiki changu ninanitia kinyaa, nafikiria dst
Mabreka JF-Expert Member Joined Aug 29, 2012 Posts 709 Reaction score 209 Feb 11, 2013 #24 mkuu inasemekana wanahesabu mwezi wa kalenda, sio wa mahesabu na wanakupa siku 7 za kulipa ukizid hapo wanakula kichwa
mkuu inasemekana wanahesabu mwezi wa kalenda, sio wa mahesabu na wanakupa siku 7 za kulipa ukizid hapo wanakula kichwa