Mrejesho: Mwanamke aliyenitongoza nimefumaniwa nae, wanawake mtasababisha mauaji

Mtani wa Taifa

JF-Expert Member
Aug 2, 2023
883
3,066
Wakuu mmebarikiwa,

Mimi ni yule kijana wenu kama mnavyojua umri wangu ni miaka 48. Sasa hapo juzi nilileta story kuhusu msichana mdogo tu aliyenitongoza, kwa heshima ya jf nikamzungusha siku 2 hivi ila mwishoni nikamkubalia na tukakubaliana tukutane na kweli nikakutana nae leo na akanipa mzigo bila kipingamizi.

Sasa wakati nakaribia kufika mshindo simu yake ikaita nikamwambia usipokee tumalizie ye akapokea, nikasikia jamaa lenye sauti nzito likamuuliza uko wapi akajibu niko mtaani kwa shoga angu huku sauti ya msichana yule ikiwa katika wasiwasi mkubwa, akakata simu. Nikamuiliza vipi akasema oooh huyu mzazi mwenzangu anataka kumuona mtoto acha niende.

Basi ikabidi nimsindikize mpaka barabarani ghafla nyuma ikaja pikipiki akashuka jamaa akaanza kumuuliza demu umetoka wapi na huyu ni nani yako, kabla hajajibu akaanza kumtembezea kichapo. Nikajaribu kuingilia nikaona jamaa anakuja juu anataka kunijumlisha kwenye ugomvi, nikasema aah basi cha kufia nini wasije wanajf wenzangu wakanikosa mtani wao wa taifa nikaondoka zangu.

Sasa dada zangu kama una mtu wako ya nini kutamani na kutongoza wanaume wengine, sisi wengine hatujui kukataa, mfano mimi ningekuwa mwanamke ningekuwa na watoto hata 15 au 20 maana kukataa siwezi. Mtatuponza jamani leo nusu nipigwe isingekuwa kuondoka eneo la tukio nami ningekula kichapo.

Alamsiki!
 
2B9X.gif
 
Umri na matendo yako havina ushirikiano,miaka 48 unajiita kijana,unasimulia mambo ya ajabu.Tambua umri wako
 
Asante Chakrabat na muvi yako ya kihindi, hii utauza kwa kuwa staringi hafi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom