Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

hatuwezi kujiunga na jumuiya fulani kwa "manufaa" ya sehemu moja ya jamhuri ya muungano wa tanzania. Na zanzibar hata ikitaka haiwezi kujiunga kwani katiba ya oic inakataza na sijui waliwezaje kujiunga na oic in the first place.

Hatuwezi kujiunga na jumuiya kwa ajili ya kuridhisha kundi moja tu la watu au sehemu moja tu ya jamhuri yetu.

Kwa vile mfano umetolewa mara nyingi ya kwanini tanzania iwe na ubalozi wa vatican, kwanini basi tusikubali oic na tanzania zianzishe uhusiano wa kibalozi na tuwe na mwakilishi (envoy) wetu oic na wao oic wakitaka wafungue ofisi pale kikwajuni au kibanda maiti na kuwa na envoy wao?

Kwanini lazima tujiunge?

faida nyingi zimeelezwa na wenzetu wengi wanafaidika na faida hizo,
sikweli kuwa faida za oic zitanifaisha kundi moja ktk jamhuri ya muungano, kwa mfano;

oic wanapojenga hospital, kutoa mkopo sirikani, kusaidia wakulima au kujenga mashula watakao faidika ni watz wote bila kujali dini au itikadi
 
Sheria ya kiislam hairuhusu hukumu ya kupiga mawe kwa alie repiwa na pia kwa mtu ambae haja olewa/owa,

TUELEWE tafauti kati ya sheria za kiislam na wavunjaji sheria, Somalia kwa sasa hakuna sheria na wananchi wake wametelekezwa na so called International community, Wa-Ethiopia na Wamarikani wote wanawapipiga mabomu mazitomazito hakuna Amnesty wala yoyote anae watetea, Wanaibuka tu wanaposikia chochote kinachoweza kuchafua Wislam bila kutafakari. Tumewafaamisha sheria Halisi zote kuusu Islam lakini wana-ignore iliwakamilishe agenda zao.

MAHAKAMA YA KADHI HAITODILI NA MAKOSA YA JINAI BALI ITADILI NA MASWALA YA JAMII, TUMESHA SEMA SANA HAYA NAKURUDIA KILA SIKU, HATUTACHOKA TUTENDELEA KUWASOMESHA

Wanajeshi wa kimarekani wanapo waua raiya wasiokuwa na hatia hatusikii amnesty hatuwasikii kuwalaumu wamarekani kwa mauwaji wanayoyafanya.

Juzi raiya 57 nusu yao wakiwa wanawake na watoto wamepigwa mabomu walipokuwa harusini.

Hatuwasikii watete wa ukristo wakikemea mauwaji haya. Ila ikitokea kwa wavunja sheria wakahukumu kwa matamanio yao, basi wakristo wanakuja juu na kuhusema Uislam. Mbona hatuwasikii wakiwasema wakristo wenzao wanao huwa wanawake na watoto?

Tafadhali gonga hapa kwa habari zaidi: Mauwaji ya Raiya wasio na hatia
 
faida nyingi zimeelezwa na wenzetu wengi wanafaidika na faida hizo,
sikweli kuwa faida za oic zitanifaisha kundi moja ktk jamhuri ya muungano, kwa mfano;
oic wanapojenga hospital, kutoa mkopo sirikani, kusaidia wakulima au kujenga mashula watakao faidika ni watz wote bila kujali dini au itikadi

Naomba nijibiwe maswali yangu matatu:

1. Je OIC imewahi kutoa msaada wa aina yoyote nchini iwe kwa kikundi au sehemu yoyote ya JMT ?
2. Je, Zanzibar imewahi kuomba msaada wowote OIC na ikakataliwa kwa kuwa JMT si mwanachama wa OIC ?
3. Je, katiba ya OIC inaibana kutotoa msaada popote pale duniani mpaka kwanza wanaopewa msaada wawe wanachama OIC ?

Majibu ya maswali haya yatatoa mwanga mahusiano kati ya OIC na nchi zisizo wanachama wake na hasa kwenye masharti ya misaada.
 
Wanajeshi wa kimarekani wanapo waua raiya wasiokuwa na hatia hatusikii amnesty hatuwasikii kuwalaumu wamarekani kwa mauwaji wanayoyafanya.

Juzi raiya 57 nusu yao wakiwa wanawake na watoto wamepigwa mabomu walipokuwa harusini.

Hatuwasikii watete wa ukristo wakikemea mauwaji haya. Ila ikitokea kwa wavunja sheria wakahukumu kwa matamanio yao, basi wakristo wanakuja juu na kuhusema Uislam. Mbona hatuwasikii wakiwasema wakristo wenzao wanao huwa wanawake na watoto?

Tafadhali gonga hapa kwa habari zaidi: Mauwaji ya Raiya wasio na hatia

X-Paster! Mbona unasema yasio kweli? Kwanza jeshi la marekani si jeshi la kikristu. Kasome sababu zilizomfanya Colin Powell am-endorse Obama. Mojawapo ni kutokana na kifo cha askari wa kimarekani MUISLAMU, Kareem Rashad Sultan Khan, huko Iraq.

kareem.jpg

Soma hapa chini uone nini ambacho Amnesty International ( ambacho si chombo cha wakristu) inasema kuhusu Marekani.

The attacks in the USA on 11 September 2001 were a crime against humanity. Since then, the USA has committed grave human rights violations in the name of countering terrorism.

Suspects have been abducted and covertly transported to secret US-run facilities or transferred to the custody of other governments where they have faced torture.

Individuals have been victims of enforced disappearance. Some remain unaccounted for.

Hundreds of people have been unlawfully detained in conditions that have amounted to cruel, inhuman and degrading treatment at the Guantánamo Bay detention facility.

US officials have effectively admitted that the USA has used torture and other ill-treatment and have reserved the right to do so again.

The response of the US government to the public exposure of these human rights violations has been plainly inadequate, and at worst it has amounted to helping perpetrators go unpunished for crimes under international law.

Take ActionPresident-elect Barack Obama must take immediate steps after taking office to end this assault on human rights.

Imetoka hapa:Show real leadership in human rights | Amnesty International

Tofauti na ukimya wa nchi zinazojiita za kiislamu panapotokea mwenzao anafanya maovu, nchi za ulaya zenye wakristu wengi hazijachelea kumsema mwenzao anapotenda maovu. Hawa wako msitari wa mbele kulaani yanayofanyika si Sudan pekee bali hata huko Iraq na Palestine. nchi za ulaya ndio zilizokuwa zinaibeba serikali ya Palestine kifedha. Ni nchi gani ya kiislamu imekemea yanayofanyika Darfur? Wangapi mlilaani wakati wenzenu wanawakata mashingo hadharani watu ambao kosa lao lilikuwa ni kuwa wakristu? Au unataka kutuambia hayo majeshi ya Marekani yanaangusha mabomu Iraq na Afghanistan kwa sababu tu kule wanaishi waislamu? Mbona hao hao wamesimama kidete kuwapinga wakristu wenzao wa-serbia na kuwatetea waislamu wenzenu wa-kosovo? Au hilo halihesabiwi kwa sababu si waarabu au weusi?

Mkuu, usiendekeze udini. Utakufikisha pabaya.
 
X-paster!
Hata hiyo habari ya kufa kwa raia Afghanistan umeitoa BBC chombo ambacho kwa mtazamo wako ni cha kikristu!
 
faida nyingi zimeelezwa na wenzetu wengi wanafaidika na faida hizo,
sikweli kuwa faida za oic zitanifaisha kundi moja ktk jamhuri ya muungano, kwa mfano;

oic wanapojenga hospital, kutoa mkopo sirikani, kusaidia wakulima au kujenga mashula watakao faidika ni watz wote bila kujali dini au itikadi

Nimevutika kujibu hii hoja ya faida ulizozitaja japo najua huenda ziko nyingine zenye uzito zaidi ya hizo. Ila kama uelewa wa Watanzania wenye kutetea kuingia OIC ni huu na wanashindwa kujenga hoja nzito zaidi basi itakuwa ngumu kupata support.

1.Pamoja na hizo faida ulizotaja, tuangalie hiyo dhana kuwa tunataka kupata mikopo zaidi..... kweli Tanzania tatizo ni chanzo cha kupata mikopo? Mikopo hadi sasa imeifikisha hii nchi pabaya.Mafisadi wanapata mwanya wa kuiba na kujitajirisha kupitia pamoja na njia nyingine hii mikopo... hatimaye hasara inamwendea mlalahoi anapobebeshwa mzigo wa kulipa deni ( na riba).Kama faida ni mikopo basi hii faida haihitajiki.

2.Hatuna uhakika pia kuwa hizo faida nyingine ulizotaja zitatiririka kwa wale waliop na hali duni zaidi hasa vijijini....

3.Nadhani imefikia mahali tuangalie ni taasisi zipi tunazihitaji na kwa ajili gani na siyo kufuata mkumbo tu kuwa maadam nchi nyingine wamejiunga basi nasi lazima tujiunge.

4.Kama OIC manufaa yake ni haya ya ki secular basi si lazima kujiunga..kama ni ya kidini basi inabidi kupima na kuona nchi itagharamika nini kujiunga na itapata faida gani.Considerations za kidini pekee hazina uzito in a secular state kama TZ.
 
HUU ni mjadala kati ya walioamua kuwa vipofu na viziwi kwa makusudi kwa sababu wana ajenda yao. Hatima ya yote tuelewe lakini nyumba ambayo wenyeji wake wamegawanyika kwa sababu za upuuzi na kijinga haiwezi kamwe kusimama.

Na Papa keshasema jana: 'Waislamu na Wakiristo' ni watoto wa familia moja. Na hili lipo miongoni mwetu sisi wenye uchungu wa kuoa, kulea na kujenga jamaa na ukoo. Au hawa wenzetu wasiooa hili hawalioni?
 
Nimevutika kujibu hii hoja ya faida ulizozitaja japo najua huenda ziko nyingine zenye uzito zaidi ya hizo. Ila kama uelewa wa Watanzania wenye kutetea kuingia OIC ni huu na wanashindwa kujenga hoja nzito zaidi basi itakuwa ngumu kupata support.

1.Pamoja na hizo faida ulizotaja, tuangalie hiyo dhana kuwa tunataka kupata mikopo zaidi..... kweli Tanzania tatizo ni chanzo cha kupata mikopo? Mikopo hadi sasa imeifikisha hii nchi pabaya.Mafisadi wanapata mwanya wa kuiba na kujitajirisha kupitia pamoja na njia nyingine hii mikopo... hatimaye hasara inamwendea mlalahoi anapobebeshwa mzigo wa kulipa deni ( na riba).Kama faida ni mikopo basi hii faida haihitajiki.

2.Hatuna uhakika pia kuwa hizo faida nyingine ulizotaja zitatiririka kwa wale waliop na hali duni zaidi hasa vijijini....

3.Nadhani imefikia mahali tuangalie ni taasisi zipi tunazihitaji na kwa ajili gani na siyo kufuata mkumbo tu kuwa maadam nchi nyingine wamejiunga basi nasi lazima tujiunge.

4.Kama OIC manufaa yake ni haya ya ki secular basi si lazima kujiunga..kama ni ya kidini basi inabidi kupima na kuona nchi itagharamika nini kujiunga na itapata faida gani.Considerations za kidini pekee hazina uzito in a secular state kama TZ.

Mkuu Nimefurai sana ulivyo nielewa

1) Mikopo ya OIC nitafauti na mikopo iliyo tutia umaskani, MIKOPO YA OIC HAINA RIBA, wananchi wote watafaidika, therefore uchumi wetu utakua haraka

2) OIC pia inasaidia na ku-support agriculture project, Health, Education nk (bila kujali itikadi mtu) ambapo watu wa vijijini na wakulima wote watafaidika

3) OIC UGANDA WAMEJENGA MBALE UNIVERSITY wanasoma Waislam, Wakristo na wengineo

4) OIC NCHI NYINGINE SECULAR PIA WAMEJIUNGA KAMA UGANDA, MSUMBIJI LIST NIKUMBWA mpaka sasa hakuna hasara yoyote iliyojitokeza kwenye nchi hizo

[I]Click hapa [/I]uone baadhi ya mambo wenzetu wanafaidikaje

OIC & Islamic Development Bank Initiatives in Sierra Leone (Jul 2007)

AfricaNews - Over 1000 gather in Uganda for OIC Business Forum - Mugira

OIC finalizing action plan for women empowerment :: MENAFN - Middle East North Africa . Financial Network
 
TUJADILI KIDOGO VIPENGELE VYA KATIBA YA OIC

Charter of theOrganisation of the Islamic Conference
In the name of Allah, the most Compassionate, the most Merciful

We the Member States of the Organisation of the Islamic
Conference, determined:
to acknowledge the Conference of Kings, Heads of State and Government of
the Member States convened in Rabat from 9 to 12 Rajab, 1389 H,
corresponding to 22 to 25 September 1969, as well as the Conference of
Foreign Ministers held in Jeddah from 14 to 18 Muharram 1392 H
corresponding to 29 February to 4 March 1972;
to be guided by the noble Islamic values of unity and fraternity, .....
Haya! Hapo ina maanisha Tanzania nayo kuongozwa na tamaduni za Kiisalamu; sijui wasio Waislamu itakuwaje.

to endeavour to work for revitalizing Islam's pioneering role in the world
while ensuring sustainable development, progress and prosperity for the
peoples of Member States
Tanzania nayo kushiriki kusambaza Uislamu duniani!

to enhance and strengthen the bond of unity and solidarity among the Muslim
peoples and Member States;
Wasio Waislamu kutengwa/kuwekwa kando! Ule urithi wetu, mshakamano wetu na huo Umoja wa Kitaifa utauzwa bila gharama!

to foster noble Islamic values concerning moderation, tolerance, respect for
diversity, preservation of Islamic symbols and common heritage and to defend
the universality of Islamic religion
Sasa wasio Waislamu itakuwaje? Watalazimika kuwa Waislamu? Katiba ya OIC haitoi jibu kwa Wananchi wasio Waislamu; au vinginevyo kwa kuwa Mwanachama manake wote wanafanywa kuwa Waislamu?

to support the struggle of the Palestinian people, who are presently under
foreign occupation, and to empower them to attain their inalienable rights,
including the right to self-determination, and to establish their sovereign state
with Al-Quds Al-Sharif as its capital, while safeguarding its historic and
Islamic character, and the holy places therein
Hapa wanataka kutuingiza kwenye Jihad na vita dhidi ya Israel! Ni kwa manufaa ya nani? Kama vita vya Uganda vilituacha hoi itakuwaje tukiingia kwenye vita hivi dhidi ya Israel?

CHAPTER I
Objectives and Principles
Article 1
The objectives of the Organisation of the Islamic Conference shall be:

8. To support and empower the Palestinian people to exercise their right to selfdetermination
and establish their sovereign State with Al-Quds Al-Sharif as its
capital, while safeguarding its historic and Islamic character as well as the
Holy places therein;
Tumeingizwa vitani dhidi ya Israel!Baada ya Isarael kupigwa na OIC Members, who will be the next?

11. To disseminate, promote and preserve the Islamic teachings and values based
on moderation and tolerance, promote Islamic culture and safeguard Islamic
heritage;

4
12. To protect and defend the true image of Islam, to combat defamation of Islam
and encourage dialogue among civilisations and religions;
16. To safeguard the rights, dignity and religious and cultural identity of Muslim
communities and minorities in non-Member States;

Nchi yetu kugeuzwa kuwa ya Kiislamu! Bado mnabisha? Ole wao Wataohubiri dhidi ya Uislamu!

Article 2
The Member States undertake that in order to realize the objectives in Article 1, they
shall be guided and inspired by the noble Islamic teachings and values and act in
accordance with the following principles:
OIC na Sharia/Mahakama ya Kadhi ni mapacha!

CHAPTER IX
International Islamic Court of Justice
Article 14

The International Islamic Court of Justice established in Kuwait in 1987 shall, upon
the entry into force of its Statute, be the principal judicial organ of the Organisation
Nchi Wanachama wa OIC wanatakiwa kutumia Sharia katika mfumo wa Mahakama na utoaji haki!

Article 21
The Headquarters of the General Secretariat shall be in the city of Jeddah until the
liberation of the city of Al-Quds so that it will become the permanent Headquarters of
the Organisation.
Nchi Wanachama wa OIC wanajipanga kwa vita dhidi ya Israel! Huko ndiko Membe anatuambia amefanya utafiti wa kutosha kuwa hakuna madhara yoyote kujiunga!

CHAPTER XVI
Budget & Finance
Article 29

1. The budget of the General Secretariat and Subsidiary Organs shall be borne by
Member States proportionate to their national incomes.
Sasa kama Tanzania inajiunga na OIC kupata misaada, nani atatulipia hiyo michango ya kuiendesha Taasisi hiyo?

CHAPTER XVIII
Final Provisions
Privileges and Immunities
Article 34

1. The Organisation shall enjoy in the Member States, immunities and privileges
as necessary for the exercise of its functions and the fulfilment of its
objectives.
2. Representatives of the Member States and officials of the Organisation shall
enjoy such privileges and immunities as stipulated in the Agreement on
Privileges and Immunities of 1976.
3. The staff of the General Secretariat, subsidiary organs and specialised
institutions shall enjoy privileges and immunities necessary for the
Huko ndiko alikokimbilia Idi Amini baada ya kuikimbia Uganda, aliendelea na life na kutunzwa hadi mauti!

Wana JF haya ni miongoni mwa malengo ya OIC; sasa twende huko kufanya nini? Nini faida zake kulinganisha na hasara zake kwa Taifa?
 
Duh!
Hii thread naona imeibua chuki binafsi za kidini toka kwa watu ambao hata sikutegemea

Duh! watu wamekuwa so emotional utafikiri anaongelewa Freeman Mbowe!
 
Duh!
Hii thread naona imeibua chuki binafsi za kidini toka kwa watu ambao hata sikutegemea

Duh! watu wamekuwa so emotional utafikiri anaongelewa Freeman Mbowe!

Mzee, what is your stand? Toa maoni yako. Kelele tu kwamba watu fulani wanachukiwa si hoja to haja na uthibitisho. Hapa ni jukwaa la elimu na maoni; its where we dare to speak!

Hoja si chuki za kidini,bali OIC and its move towards dividing Tanzanians.
 
105sf3l.jpg
 
Last edited:
Nimeambatanisha na charter Organization of Islamic Conference hapa, Watanzania wenzangu ukiisoma hii kwa makini, unaona wazi kazi kubwa ya IOC ni kukuza uislam na maendeleo yake. Nadhani waziri Membe alipotoka aliposema hakuna tatizo na Tanzania kujiunga na IOC. Nina wasi wasi waziri Membi huenda haijui vizuri katiba ya Nchi ama kwa makusudi alipotoka na kauli yake, ninavyoelewa serikali haina dini. Nina staajabu hajaomba radhi wala kukanusha kauli hiyo. Raisi naye kwenye hutoba yake ni kama alipita humo humo.

Ukurasa wa mwanzo OIC charter inaweka wazi, kazi yake kubwa ni kuendeleza uislam na maendeleo kwa wanachama wake. Further in the document one of the requirements is for the country joining to have a Muslim majority and the non recognition of Jerusalem as the capital of Israel by calling it Al-Quds Al-Sharif and requring member states to join in this effort.

Another glaring objective and principle that states joining promise to adhere to is in Chapter 1 Objectives and principles (page 4)' 11.To disseminate, promote and preserve the Islamic teachings and values based on moderation and tolerance, promote Islamic culture and safeguard Islamic heritage'. This is clearly an organization with the purpose to 'promote' Islam which if Tanzania joined an organization to 'promote' Christianity, their member states would probably break diplomatic ties with us and Tanzanian Muslims would be up in arms and protest.

Pamoja na kupenda sana misaada ya bure tuwe makini tusijikute taifa linalazimika kuwa la kiislam,

Najua wengi huwa hatupendi kusoma document ndefu, ama uvivu ama uzembe, tafadhali ipitie hiyo charter ya IOC, tusaidiane kutetea taifa.

NB MoDs naomba uiache kwa muda hapa baadaye uiunganishe na ile thread mama ya OIC na Mahakama ya Kadhi

Ushi wa Rombo
 
HOJA YA OIC BADO YACHEMKA, YAWASILISHWA OFISI YA BUNGE DAR

Hoja ya OIC bado yachemka yawasilishwa Ofisi ya Bunge Dar
Na Hussein Kauli

KAMATI maalumu ya waumini wa dini ya Kiislam wamewasilisha tamko lao kwenye ofisi ndogo za bunge jijini Dar es Salaam, juu ya Tanzania kujiunga na Jumuiya ya Nchi za Kiislam (OIC) na urejeshaji wa Mahakama ya Kadhi nchini.

Akizungumza na Mwananchi baada ya makabidhiano hayo, Mjumbe wa Sekretariet ya Kamati iliyoandaa tamko hilo kwa niaba ya Waislam, Shekh Saleh Basaleh, alisema wameamua kuwasilisha tamko lao hapo kwa kuwa Bunge ni chombo cha maamuzi katika nchi na kukipa fursa chombo hicho kupata hoja za upande wa Waislam juu ya masuala hayo.

Basaleh alisema kuwa hatua hiyo imekuja baada ya kuona serikali imeanza kushughulikia masuala hayo, lakini ghafla umoja wa Wakristo umejitokeza na kutoa kauli za kupinga na kuishinikiza serikali kuacha kushughulikia masuala hayo huku wakitoa kauli zenye muelekeo wa kupinga hatua za wa serikali kushughulikia masuala hayo. Hivyo wameamua kujibu kauli zao kama sehemu ya jamii ili serikali isikie hoja zao.

“Tumeamua kutoa tamko kwa niaba ya Waislam na kuliwasilisha Bungeni kwa kuwa Bunge ni chombo cha maamuzi katika nchi yetu, hivyo tumetoa fursa kwa Bunge kupata hoja za upande wa Waislam juu ya masuala hayo ili liweze kupima hoja zetu na kutoa maamuzi sahihi.

Pia tumewasilisha tamko hili baada kuona Serikali imeanza kushughulikia masuala hayo, lakini ghafla umoja wa Wakristo umejitokeza na kutoa kauli zenye muelekeo wa kupinga juhudi za Serikali kushughulikia masuala hayo”alisema Basaleh.

Tamko hilo limekabidhiwa kwa msaidizi wa naibu spika wa bunge kwa niaba ya spika wa bunge na ofisi ya bunge imethibitisha kuipokea tamko hilo na kuongeza kwa kuwa spika wa bunge hayupo ofisini kwa sasa wataliwasilisha kwake atakaporudi.

Baada ya Kukabidhi tamko lao viongozi hao wa waislam walikwenda wizara ya mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa kuonana na waziri Benad Membe, lakini waliambiwa hakuwepo ofisini kwa kuwa amesafiri.

“Tulipata taarifa kuwa waziri wa mambo ya nje, Benard Membe alikutana na Kadinali Pengo kupata ushauri wake kuhusu masuala haya, lakini tumeshangaa kuwa Membe amechukua ushauri kutoka dini moja kama kwamba Wakristo ndiyo dini pekee au ushauri wao unatosha.Hivyo tumeacha maagizo kuwa ili takaporudi tuonane naye ili nasi tumpe ushauri wetu,” alisema Basaleh.
SOURCE: Mwananchi
Date::11/18/2008
 
Ukisoma article 14 of the charter, inasema wazi kuwa International Islamic court of Justice ndicho chombo pekee cha kisheria kinachotambulika na kutumika na nchi wanachama.
Hali hiyo ina usalama kwa Tanzania?
 
Pia kuna mambo hidden kwenye mikopo inayotolewa na OIC. Pamoja na kudai mikopo hii haina riba, sharti mojawapo ya mkopo ni kuwa asilimia 40% ya mkopo lazima itumike kufanikisha malengo ya OIC na inayobaki ndiyo una uhuru wa kutumia kulingana na matakwa na mipango ya nchi.

Hayo masharti ni yapi ? Machache ninayoyajua nayaorodhesha:-

1. Kuanzisha mahakama ya kadhi
2. Kujenga misikiti na madrasa.
3. Kueneza na kuimarisha na kuijenga uislamu - kama mashuleni n.k.
4. Kuwahimiza waislamu umuhimu wa kushika madaraka ya nchi na kutokubali uongozi wa makafri.

n.k.

Haya ni baadhi tu ya hidden agenda behind the issue of OIC ambayo ni wazi yatawabagua watanzania. 40% ya mkopo itatumiwa kwa maelekezo ya OIC lakini deni kwa serikali inabaki 100% na kudai hakuna riba.
 
Lo! Na hao wapiga debe wanataka watuingize huko? Hawatupati, ng'o!
 
Aha kumbe?
Unaweza kunionyesha ni kwenye article ipi au kifungu kipi kwenye hiyo charter yao niifuatilie na kuwa na uhakika wa unalosema?
Mwaka huu tutawashika tu wapiga propaganda ya OIC!
Kumbe ndio sababu kuna waliosema kama hawapewi hiyo OIC nchi haitakalika?
Haya!!!!!!
 
Ah wapiga debe for or against OIC mna matatizo sana. Mnanyofoa vipengele mnavyopenda halafu mnajenga hoja hebu ielezeni hiyo charter katika ujumla wake ina ubaya gani? Kwamfano huyo huko juu kanyofoa kipengele halafu anatueleza hizo hidden agenda. Sasa na mimi nanyofoa kile kipengele kinachosema kuwa OIC itaheshimu sovereiginty ya Mataifa wanachama. Sasa hiyo hidden agenda yake itapita wapi? Acheni propaganda Bwana, Mnatuyumbisha.
 
Back
Top Bottom