MaxShimba
Platinum Member
- Apr 11, 2008
- 36,008
- 4,092
Maoni ya Wasomaji
Hakuna cha mahakama ya kadhi wala OIC hapa. Hayo ndiyo yanayoleta chokochoko za kidini nchini. ni bora Serikali isijiingize kabisa katika masuala hayo ya kidini. Iwaache waislamu wenyewe wajiunge kupitia Taasisi zao za kidini.
na OLE LOITOKTOK, Tanzania, - 12.03.09 @ 12:15 | #14467
Mimi nashangaa,BAKWATA wamekatazwa na nani kujiunga na OIC?Serikali iingie humo kutafuta nini?Wanalo jambo hawa!Mahakama ya Kadhi itakayo kuwa chini ya Mahakama Kuu ya Nchi kawakataza nani?Vipi Kadhi ateuliwe na Rais WA Nchi na asiteuliwa na MUFTI MKUU WA WAISLAMU?Tanzania ina Katiba Moja kwa watu wa madhehebu yote.Atakaye taka kuwa na mahakama yake basi iwe chini ya Jumuia yao ya kidini lakini Serikali ya Wote isihusishwe kabisa!TUNATAKA AMANI IDUMU HAPA NCHINI.Ya DINI yaachiwe Mungu,na ya SIASA yaachiwe Binadamu!
na masharubu, tandale,DSM., - 12.03.09 @ 12:39 | #14477
jamani mmeanza tena kwanini wasijiunge wao wenyewe, ona sasa mwinyi alipogusia kuhusu ushirikiano kati ya waislam na wakristo wameibuka watu kumzabaa vibao mzee wa watu, haya tutakapojiunga si ndo wataibuka watu wengine kama hao kinaa said kusumbua wakristo. hii inawezekana kwa jumuia ya kiislam kujiunga na si kwa taifa lote, try to understand this.
na mwanakisenza, dar, - 12.03.09 @ 12:43 | #14480
MUSLIMS are very strange animals,instead of contributing something constructive to the nation they are only thinking about very stupid things like joining OIC and KADHI court,they just don't like living in peace they are looking for the excuse to cause chaos,it's tough to live with MUSLIMS in the same country,they don't do anything but to find excuse to disturb peace,i have question for you MUSLIMS,if you get your wish and then what?personally i find it ridiculous to demand these things as if the constitutional framework we have it's for the other religion!may be OSAMA BIN LADEN will help us by recruiting these brainless drones to participate in suicide-bombing acts somewhere like in the middle east so that we can have non Muslims left in this country,now i see why AMERICANS don't like MUSLIMS it's because of this,they are the reason why we are in such a political and social disorders today!
na mike - 12.03.09 @ 14:17 | #14504
embarrassing the former president of this country because of his wise opinion on this very sensitive issue really shows the poverty of wisdom and intelligence our brothers MUSLIMS have,like i said weeks ago these guys can never participate in the intellectual debates on the scores of topics because they always raising issue with rational stuffs to back up,when you call them out on that they will resort to beating or insulting you,so sad,what happened to MUSLIMS?any MUSLIM who can justify this despicable behavior,if you come to the point of hitting your president with no shame at all why should we trust your quest for joining OIC as a sincere and honest thing?not!
na mike - 12.03.09 @ 14:28 | #14512
Hata mimi sikubaliani na mambo hayo mawili, yaani mahakama ya kadhi na kujiunga na OIC.
Lakini kuelezea hoja kama alivyofanya Mike hapo ndiyo kunaweza kuleta chuki na vita baina ya waislamu na wakristu. Hivi ndugu yangu utakosa nini kama utaeleza hoja zako bila kuwatukana watu?
Anayekosa hoja za msingi ndiyo kukimbilia ****** na kasfa.
Sasa namkumbuka marehemu Dr Omar Ali Juma. Alikuwa na kawaida ya kukutana na ma Sheikh na Maaskofu. Sina uhakika kama ni wote kwa pamoja au kila kundi kwa wakati wake. Safari hii angelihitaji kukaa nao pamoja au angalau kuwezesha hayo makundi mawili kukaa pamoja na kujadili suala hili. Baada ya hapo, nahisi tungepata ufumbuzi wa masuala haya.
Bado hatujachelewa. Mufti anaweza kukaa na Cardinal Pengo wakiwa na wasaidizi wao ili wabadilishane mawazo kuhusu haya. Najua kuna jumuiya nyingi za waislamu na wakristo. Niliowataja ni mfano tu lakini naamini twaweza kuanzia hapo.
na ngetes, Dar, - 12.03.09 @ 14:37 | #14521
Mike said Muslims are strange people and hard to live with are u suggesting to kill all of them? so that we have only christians in tanzania...shame on you! you get to respect other peoples believe and agree to disagree
na joel, tz, - 12.03.09 @ 15:13 | #14539
HIVI NYIE WAISLAMU MBONA MNAPENDA SANA SHARI? MAHAKAMA YA KADHI SISI WAKRISTO NA WAPAGANI INATUHUSU NINI MPAKA MUIINGIZE KWENYE KATIBA YETU YA NCHI? WABUNGE WETU ******** WA KIKRISTO NA WAPAGANI WAKAE KUJADILI MAMBO YA WAISLAMU PEKEE!! KAMA MNATAKA KADHI SI MUANZISHE KWENYE MISIKITI YENU? HALAFU MNADAI KADHI ATAKUWA AKIHUKUMU MAMBO YA NDOA NA MIRATHI. HIVI KWA MUJIBU WA KURAANI NI HAYO TU AMBAYO KADHI ANATAKIWA KUHUKUMU AU KUSIMAMIA? NA KUHUSU WEZI MACHAGUDOA JE? KADHI ANATAKIWA AFANYE NINI? KAMA KUWA NA KADHI NI IBADA KWA WAISLAM KWANINI IBADA HIYO IHARIRIWE AU IFANYWE NUSUNUSU? NA KUHUSU OIC HIVI INAINGIA AKILINI NCHI YENYE DINI TOFAUTI INGIZWE KWENYE UMOJA WA NCHI ZA KIISLAMU? ETI KWA FAIDA ZA KIUCHUMI, NCHI YETU SASA HIVI IPO KWENYE JUMUIA YA AFRIKA MASHARIKI, JUMUIA YA NCHI ZA COMMONWEALTH, JUMUIA YA NCHI ZISIZOFUNGAMANA NA UPANDE WOWOTE TUNAPATA FAIDA ZIPI? TAABU YA NYIE WAISLAMU MNAPENDA SANA MALUMBANO YASIYOLETA TIJA NA AMBAYO YANALETA UGOMVI. PIA UVIVU NDIO UNAOWASUMBUA SANA NYIE NDUGU ZETU. KWASABABU HATA UISLAMU WENYEWE ULIVOENEZWA KWA KUNYANG'ANYA MALI ZA WATU,INAONYESHA KWA ASLI MNAPENDA SANA DEZO.
na NDANUSU KAPINGA, masasi tanzania, - 12.03.09 @ 15:24 | #14541
HAPA SINA SANA LA KUJADILI MAANA MAHAKAMA YA KAZI HAINIHUSU MTAFUTENI RAFIKI YANGU CHINGA ACHANGIE!
na OLE LETIPIPI, TANZANIA, - 12.03.09 @ 16:15 | #14554
Those who slap old respected persons,can they have brains?
Wale wanaokaribisha wageni na baadae kuwachapa makofi,wana akili??
Walimkaribisha Bush wakampiga viatu,leo hapa wamemkaribisha Mzee wetu mpendwa ruksa,pamoja na kuwa ni mwenzao wamemchapa vibao----takbiiiirrr.
Oya acha waswagane,lakini OIC=OSAMA hapa Great no!!
Mahakama ya kadhi??!!!Anzieni kwa huyo tuone inavyofanya kazi-huyo mwenye majini maana ni ndugu yenu.
Cristians amani,amani,amani ameeen.
na lionel, usa, - 12.03.09 @ 17:18 | #14567
Tuiache Serikali ibakie serikali ya wote bila kubagua imani za kidini.Wakristo wakitaka kuwa na mahakama yao ya kristo basi "Kadhi"wao ateuliwe na Mkuu wa Maaskofu wa Tanzania au Papa Mtakatifu wa Roma.Lakini wasije wakatuambia eti huyo "Kadhi"wao ateuliwe na Rais wetu wa Jamhuri ya Tanzania.No,Hapana.Wakristo wakitaka kujiunga na jumuia yoyote ile ya kimataifa ya Kikristo basi wawe huru kufanya hivyo lakini wasithubutu kuishinikiza eti nchi nzima au serikali ya Tanzania iwe mwanachama wa jumuia hiyo ya kikristo!Vivyo hivyo kwa madhehebu mengine.Waislamu wakitaka kuwa na mahakama yao ya Kadhi,basi wawe huru kufanya hivyo LAKINI Kadhi wao ateuliwe na Mufti Mkuu wa Waislamu.Wasijaribu kuishinikiza serikali eti Kadhi huyo shurti ateuliwe na Rais wa Jamhuri.No,Hapana!Nani aliyemteua MUFTI MKUU WA WAISLAMU?Je,Mufti aliteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Tanzania?Kama sivo,iweje leo Kadhi alazimike kuteuliwa na Rais wa Nchi?Hapana,haitawezekana Tanzania.Labda kama tumechoka kuishi kwa amani hapa nchini.Tunajua nini kitakachotokea huko mbeleni.Nchi yetu haiendeshwi kwa "Sharia Law'.Hatuwezi kuwa na kifumo miwili tofauti ya kisheria sambamba kwa wakati mmoja hapa nchini!Waislamu wakitaka kujiunga na OIC,wawe huru kufanya hivyo,lakini wasishinikize nchi nzima au serikali ya Jamhuri ijiunge kuwa mwanachama wa OIC.No,Hapana.Tusije tukajaribu kuchanganya masuala ya imani za kidini na masuala ya uendeshaji wa serikali ya nchi!Hicho ndicho kilichotunusuru Watanzania hadi hii leo tumeweza kushikamana kama Taifa moja na kuishi kwa amani na upendo wa hali ya juu bila kubaguana kidini,kikabila,kwa rangi ya ngozi ya mwili,kwa ujinsia na kwa tofauti za Kipato!Tusikubali chokochoko hizi za kujaribu kuturejesha huko nyuma tulikotoka!Na tukisha paraganyika MAFISI WAITAFUNE VIZURI NCHI YETU NZURI!viva la muzik!
na habibu punja kandasar, Pangani,Tanzania, - 12.03.09 @ 17:32 | #14570
Mike inaonyesha vp akili finyu uliyo nayo. just because u know english doesn't mean u r smart...usitubbabishe na kizungu chako, kwanza hiyo ni inferiority complex...andika kiswahili jamii yote ielewe. kwanza hujui misingi ya uislamu inaoonyesha hujawahi kusihi na waislamu mpaka ukawaita wanyama.
kabla hujazungumza...elewa unachozungumzia
na imran - 12.03.09 @ 17:37 | #14572