Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

Jmushi!,
hakuna sehemu yoyote niliyosema hoja zangu ni lazima zikubalike na sioni sababu ya wewe kuuliza wakati unajua ni lazima nishinde!..Pengine hujui maana ya mjadala ndio maana kila siku huja na vioja.
Swali lako halina kichwa ni ujuha mtupu hivyo sina ulazima wa kukujibu..kwani huelewi wigo la maslahi ya Taifa lina upana gani!
 
Huo upana unaouzungumzia wewe ndio kujiunga na OIC?
Rais wa Gambia mwenyewe analalamika na wewe unaleta mawazo yako ya kitumwa kwasababu we ni mujahidina.
Jiunge na Alkaeda basi ili tujuwe kweli una uchungu.
Juha ni wewe...Umesahahu ulidandia hoja kule kwenye mjadala wa ujamaa na Pundit akakutowa nishai....Nieleze basi wewe maana ya mjadala ili nisije na vioja next time kama ulivyovileta kule kwenye ule mjadala kulazimishia kuwa watu wamekuelewa na kumbe unajichanganya na kuandika maelezo mareefu utadhani ni kesi.
Nadhani ni umri.
 
Kithuku,
Swala zima halihusu zaidi kuwa mwananchama isipokuwa ni uhusiano wetu kitaiofa na chombo hicho. Kama nilivyokwisha sema toka mwanzo, kwa Musislaama anayetaka kubisha tu maadam kubisha anaweza kabisa kusema Vatican ni Taasisi na kweli ni Taasisi zaidi ya kuwa nchi.. Hivyo swala zima linalenga uhusiano kati yetu na chombo hicho..
Kinachonishinda kuelewa hapa ni kwamba hakuna hata swala moja la wakristu waislaam wameingilia kati kutaka kujipima na wao isipokuwa ni wakristu wanaokuja kila siku na hoja kuhusiana na maswala ya Waislaam. Utafikiri wazungu wanavyopinga Blackj power wakati wao wenyewe wana KKK wanaijengea hekalu kuonekana ni jumuiya isiyokuwa na malengo mabaya..
Na kibaya zaidi nikiacha wewe na wengine wachache humu, najiona kama ni mjadala wa Wazungu member wa KKK ambao wanapinga swala lolote linalohusu watu weusi wakati katiba ya nchi inasema hakuna ubaguzi wa rangi..
sasa swala la kuanzisha chama ama chombo kwa watu weusi linatumika kama ni ubaguzi wa mtu mweusi kwa nini mzungu hakuhusishwa!
 
OIC: Members States

Country Joined Notes

Afghanistan, Islamic Republic of 1969 Suspended 1980 - March 1989

Algeria, People's Democratic Republic of 1969

Chad, Republic of 1969

Egypt, Arab Republic of 1969 Suspended May 1979 - March 1984

Guinea, Republic of 1969

Indonesia, Republic of 1969

Iran, Islamic Republic of 1969

Jordan, Hashemite Kingdom of 1969

Kuwait, State of 1969

Lebanon, Republic of 1969

Libya, Socialist People's Libyan Arab Jamahiriya 1969

Malaysia 1969

Mali, Republic of 1969

Mauritania, Islamic Republic of 1969

Morocco, Kingdom of 1969

Niger, Republic of 1969

Pakistan, Islamic Republic of 1969

Palestine, represented by the Palestine Liberation Organization 1969

Saudi Arabia, Kingdom of 1969

Senegal, Republic of 1969

Sudan, Republic of the 1969

Somalia 1969

Tunisia, Republic of 1969

Turkey, Republic of 1969

Yemen Arab Republic 1969 From 1990 as Republic of Yemen united with
People's Democratic Republic of Yemen

Bahrain, State of 1970 From 2003 as Kingdom of Bahrain

Oman, Sultanate of 1970

Qatar, State of 1970

Syrian Arab Republic 1970

United Arab Emirates, State of 1970

Sierra Leone, Republic of 1972

Bangladesh, People's Republic of 1974

Gabon, Republic of 1974

Gambia, Republic of the 1974

Guinea-Bissau, Republic of 1974

Uganda, Republic of 1974

Burkina Faso 1975

Cameroon, Republic of 1975

Comoros, Federal Islamic Republic of the 1976

Iraq, Republic of 1976

Maldives, Republic of 1976

Djibouti, Republic of 1978

Benin, Republic of 1982

Brunei Darussalam, Sultanate of 1984

Nigeria, Federal Republic of 1986

Azerbaijan, Republic of 1991

Albania, Republic of 1992

Kyrgyzstan, Republic of 1992

Tajikistan, Republic of 1992

Turkmenistan, Republic of 1992

Mozambique, Republic of 1994

Kazakhstan, Republic of 1995

Uzbekistan, Republic of 1995

Suriname, Republic of 1996

Togo, Republic of 1997

Guyana, Republic of 1998

Côte d'Ivoire, Republic of 2001 Suspended or Withdrawn

Zanzibar Jan 1993 Withdrew August 1993
 
Huo upana unaouzungumzia wewe ndio kujiunga na OIC?
Rais wa Gambia mwenyewe analalamika na wewe unaleta mawazo yako ya kitumwa kwasababu we ni mujahidina.
Jiunge na Alkaeda basi ili tujuwe kweli una uchungu.
Juha ni wewe...Umesahahu ulidandia hoja kule kwenye mjadala wa ujamaa na Pundit akakutowa nishai....Nieleze basi wewe maana ya mjadala ili nisije na vioja next time kama ulivyovileta kule kwenye ule mjadala kulazimishia kuwa watu wamekuelewa na kumbe unajichanganya na kuandika maelezo mareefu utadhani ni kesi.
Nadhani ni umri.

No no, hapana brother, mijadala sio hivi. Tunajadili sababu za kujiunga ama kutojiunga OIC, sasa huku kuitana majina ya kichokozi ni kuharibu mjadala. Uungwana tafadhali, naomba sana.
 
Jmushi!,

...Swali lako halina kichwa ni ujuha mtupu hivyo sina ulazima wa kukujibu..

... wewe unaleta mawazo yako ya kitumwa kwasababu we ni mujahidina.
Jiunge na Alkaeda basi ili tujuwe kweli una uchungu.

Juha ni wewe...

Nadhani ni umri.

Jmushi!, Mujahidinna mamako tulijiunga pamoja wee hujui?

Mkandara na Mushi, nyinyi ma veterani hapa, mbona hivyo bandugu ? You are supposed to be the magnum pundits wa hapa. Vipi tena ?

Kithuku,

Mtulize na Mkandara pia. JMushi alikuwa anajibu kashfa kwa kashfa kwa kuambiwa juha.
 
Kubali kuwa Papa ni rais, raia wa Gemany na baraza lake lote ni raia wa nchi tofauti wakati inapewa hadhi ya kuwa nchi kutokana na Taasisi iliyojengwa na wao wenyewe. hakuna mkono wa mtu kukataza kwani ni haki yao kimsingi.

Hapa unasema uongo, Mkuu. Kumbuka hii ni www na haitachukua muda kukuumbua.

Citizenship of the Vatican City is granted iure officii, which means it is conferred upon some of those who have been appointed to work in certain capacities at the Vatican, and it is usually revoked upon the termination of their employment. During the period of employment citizenship may also be extended to a Vatican citizen's spouse (unless the marriage is annulled or dissolved, or if a conjugal separation is decreed) and children (until, if they are capable of working, they turn 25, or in the case of daughters, if they marry).[citation needed] Terms of citizenship are defined in the Lateran Treaty, and laws concerning the creation of the Vatican state in 1929 sought to restrict the number of people who could be granted Vatican citizenship. The only passports issued by the Vatican are diplomatic passports and service passports.[10]

As of 31 December 2005, there were 558 people with Vatican citizenship, of whom 246 are dual-citizens of other countries (the majority being Italian). The Lateran Treaty provides that in the event a Vatican citizen has his or her original nationality revoked and also loses Vatican citizenship, he or she will be automatically granted Italian citizenship.[10]

Among the 558 were:[30]

* The Pope;
* 58 cardinals;
* 293 members of the clergy who serve as diplomatic envoys abroad;
* 62 lesser-ranking clergy members who work in the Vatican;
* 101 officers, NCOs, and men of the Papal Swiss Guard; and
* 43 lay persons.

Papa ni raia wa Vatican, na amekuwa raia tangu aanze kufanya kazi huko Vatican.

Nilikosea niliposema makadinali wote ni raia wa Vatican. Ni wale tu ambao wanaishi na kufanya kazi Vatican ndiyo raia. Wengine ni wale ambao ni mabalozi wake.

Pengo akiukwaa uPapa itabidi ahamie Vatican na kuwa mfalme wake. Atawajibika kuuchukua uraia wa nchi yake hiyo. Hata kuwa mtanzania wa kwanza kubadili uraia na hatakuwa wa mwisho.

Hivi ni nchi gani iliyokuwa mwanachama wa OAU wakati si ya kiafrika? Au kwako wewe uafrika ni weusi tu?

Kithuku. Ni nchi gani mwanachama wa OIC iliyobadilika kuwa ya kiislamu? Wenzako wanakula chakula, wewe umebaki kudai kuwa kina sumu na kuwasubiri wafe!
 
Nani ameanza kumwita nani majina?
Ama hukuona hilo aliponiita juha?
Acha double standards ungetueleza wote..Tena ungemweleza yeye ndiye aliyeanza maneno machafu na nikamwambia tusiende huko aksema nenda tu..Sikwenda..Ila yeye akatangulia.
Ama?
 
Gambia News : Gambian President urges OIC members to do more in fighting poverty
Mar 17,2008 by

Dakar, Senegal - Gambian President Yahya Jammeh Friday challenged rich member states of the Organisation of Islamic Conference (OIC) to do more in fighting poverty in the least developed Islamic countries, national broadcaster, Gambia Radio and Television Services (GRTS) reported.

Jammeh was speaking at Banjul International Airport, on his return from Dakar, t he capital of Senegal, where he attended the just-concluded OIC Summit.

The Gambian leader urged the rich Islamic nations to help their economically-wea k and poor sister countries, based on the spirit and teachings of the Islamic faith which, according to him, encouraged the culture of sharing and caring for each other.

He said the richer nations should channel financial assistance through Islamic Development Bank from which poorer states could turn to for soft-term loans.

"We are not asking for charity, but financial help by way of loans based on provisions of 'Sharia' (or Islamic law)," he reiterated.

President Jammeh also hailed the 'Kuwaiti Fund' for carrying out numerous development projects in poor countries, and urged other rich member states to emulate K uwait.

The Gambian leader was welcomed home by his Vice-President, Isatou Njie-Saidy, cabinet ministers, security chiefs and senior government officials.

source: Gambia News : Gambian President urges OIC members to do more in fighting poverty

************************************************** ***********
Kumbe wengine waliomo tayari siku nyingi wanalalamika na kuomba kuangaliwa kuhusu misaada au mikopo sasa sisi tutakaojiunga karibuni itakuwaje?

Hoja ya kwamba tunajiunga OIC ili tupate misaada inazidi kuwa dhaifu.

Mkuu Deny,

Heshima mbele sana na ahsante kwa kutuamsha kua kumbe huko nako sio kama waziri Membe anavyotudanganya, na sisi tumemshitukia sana maana yeye na kundi lake la Mtandao, walitumbia kua Dr. Salim hafai kuwa rais wetu kwa sababu ya Rangi yake na Dini yake, sasa leo Membe among all anataka kutudanganya tena kua tuende huko huko that is pathetic!
 
....acheni cheap arguing ....niambie OIC walitoa msaada gani..kwa msumbiji wakati wa yale mafuriko makubwa...niambie chochote ambacho ni landmark pale msumbiji kimefanywa na OIC......

PILI....wakati uganda ikipigana kurudi kwenye hali ya kawaida ya kiuchumi kabla museveni hajaingia mwaka 1986......OIC walikuwa wapi kuisaidia uganda zaidi ya kujenga kile chuo kikuu [ISLAMIC UNIVERSITY].....NA kujenga ule msikiti mkuu wa uganda amabao hata hivyo haukuisha hadi alipokuja ghadaffi kuumalizia....

OIC wametoa msaada gani kwa somalia ..baada ya siad barre kupinduliwa....wametoa senti ngapi kudhamini angalau mazungumzo ya nairobi....

OIC ..na mwanachama wake sudan ...wametoa ushawishi gani kumaliza machinjio ya wanadamu kule darfur

.....interest kubwa ya OIC ni kujenga msikiti wa AL QUARSA..pale israel.....na kufanya advancement ya mambo ya kidini tu....

........

vipande vya pesa alivyopewa kikwete na IRAN ili aingie ikulu vitamponza...ushahidi wa hili upo ML15....YULE mwandishi wa african report [somebody rajab]....alimwambia akauchukue huo ushahidi pale kikwete alipotishia kumfungulia kesi ya kashfa london...hadi leo mawakili wa kikwete hawajatia mguu london kufungua kesi......

..kinadharia MEMBE ameshasilimishwa ...kwani tangu anapokea pesa za kampeni za mtandao toka iran alianza kuwa MPINGA KRISTO .....atuambie tu kuwa siku hizi jina lake ni nani??...........afadhali angekuwa anatoa hiyo kauli kama taarifa rasmi ya serikali ya maamuzi rasmi...lakini kwakuwa alikuwa anatumika ..basi ana lake jambo!!!

HII NAFASI YA URAIS ILIKUWA HALALI YA ...SALIM AHMED SALIM....HAWA KINA MEMBE NA KIKWETE WAKAMDHULUMU KWA MBINU CHAFU IKIWEMO YA KUUNGANISHA PICHA YA UJANA YA SALIM KWA COMPUTER AONEKANE YUPO NA SULTANI.......TUMEONA SERIKALI NYINGI LAKINI SIJAWAHI KUONA SERIKALI ILIYOCHOKWA NA WANANCHI KWA KIASI HICHI WAKATI HATA MIAKA MITATU BADO...................HAWA NDIO WALIOOHONGA HADI WATU WANAOJIITA "MAASKOFU?"....WASEME KIKWETE NI CHAGUO LA MUNGU.......WAKO WAPI LEO KUMUOMBEA????

NAAMINI MUNGU ANALIPENDA TAIFA LETU ...KUNA ULAZIMA WA KUFANYA SALA YA TOBA KWA KUMSINGIZIA KUWA ALITULETEA CHAGUO HILI????

TANGU LINI MTOTO AKAKUOMBA SAMAKI UKAMPA NYOKA?????.......MUNGU WETU HAWEZI KUTUPA NYOKA!!!

NAAMINI KAMA KUNA HILA NA NGUVU ZA GIZA,WIZI WA EPA NA UCHAFU MWINGINE ZILITUMIKA ...TUTASHUHUDIA...AKIANGUSHA!!!!
__________________

Mkuu PM,

Ahsante sana kwa kipande hili kina maneno mazito sana, ubarikiwe tu!
 
Mkuu Bob,

Pumzika kidogo tuendelee kesho bro, hii sasa noma bro ni mjadala wa siasa tu!

Mkuu FMES,

Aliyeanza kumtukana Mkandara ni Jmushi, mie nimemkemea hapo juu kuwa si sawa. Japo si sawa Mkandara alivyojibu, lakini nadhani inafaa tatizo likafuatiliwa kwenye chanzo. Tuheshimiane tunapojadili hapa, wengi tu watu wazima wenye heshima zetu. Naamini moderators wataiona. Ningeshauri pia moderators waweke utaratibu ama link ya kuripoti posts ambazo ni offensive kama ile aliyoanza nayo Jmushi, na ziwe zinaonekana kabisa kwenye profile ya mwanachama hadi ajirekebishe, au zikifikia kiwango fulani cha tolerance limit mhusika aadhibiwe.
 

Mkuu haya ndiyo niliyomnasihi Jmushi hapo juu kuwa aache. Sisi tujadili hoja yetu, usikubali kuingia mtego utakaokushushia heshima.

No no no no! Umemwambia Mushi awe na uungwana. Umesema aache kuita watu majina na hoja za kichokozi. Lakini uliona poa Mkandara alipoanza kumwita mwenzake Juha. Na hujasema kitu Mkandara kumuingiza mamake JMushi humu, umeona ni sawa tu ? Eti Mushi ndio awe na focus kwenye mada.

Kwa hiyo ni kama unaamulia ngumi halafu unamshika mmoja mikono asipigane awe muungwana halafu unamwacha mwingine aendelee kumtwanga makonde eti ndio kuleta uungwana. Huyo uliyemshika mikono si anaweza kuuawa? Watu kama nyinyi shuleni enzi zetu mngepigwa mawe!
 
March 15, 2008
Fitzgerald: The OIC's rebranding game

“…the world's biggest Islamic body is seeking to rebrand itself this week as a forum for settling conflicts peacefully and for redistributing wealth to the world's poorest states." -- from this news article

"Rebrand itself"? Just the way the Lesser Jihad against Israel conducted, in various ways and with various degrees of sacrifice, by Arab and other Muslim states, was "rebranded" after the defeat in the Six-Day War. The first step was to "rebrand," or rather, rename, the local Arab shock troops of that Jihad as the "Palestinian people." The second step was to steadily, relentlessly, develop the theme of the "two peoples" sharing "the same land." And one of those "peoples" no longer consisted of Arabs, defined geographically as "Palestinian" Arabs, but rather as a people who apparently had always been there, though Arab leaders and diplomats had never, before 1967, ever used that phrase "Palestinian people" and had always referred -- accurately -- to the "Arabs of Palestine" (meaning Mandatory Palestine). A little historical back-dating was in order, as the "project" of the "construction of the 'Palestinian' identity gained steam.

And in that rebranding project, one of those peoples, "the Palestinians," of course had to have their "national rights recognized" and "a Palestinian state" set up on the very land that Israel had won in that war, with the promise of nothing but more demands to come. Those demands would be made to an Israel that would become ever more vulnerable, its population ever-more imperiled and under constant pressure that, the Arabs hoped, would become in time intolerable, and lead to the final victory, the destruction of Israel altogether. That has remained the unwavering goal, even if some Arabs differ on the matters of tactics and timing, just as those local Arabs, those "Palestinians," are divided between the Slow Jihadists of Fatah and the Fast Jihadists of Hamas -- a division that gets exaggerated attention, when what counts is that they share, and will always share, the same ultimate goal.

The O.I.C. is planning to do what? To "rebrand" itself as a cross between the World Court and the U.N., a place for "settling disputes peacefully"? Which disputes? The dozens, all over the world, which involve Muslims fighting or making impossible demands on non-Muslims of every kind? Are non-Muslims expected to show up at the O.I.C., expected to expect fair treatment, and to give the O.I.C. any conceivable jurisdiction, when the basis of Islam is the loyalty of Muslims only to each other, with no hint of a Golden Rule observed in the treatment of non-Muslims, with whom Muslims are expected to be in a state of permanent war, though not necessarily of open warfare, until such time as all obstacles, all over the world, to the spread, and dominance, of Islam, are removed?

And the other part of that is perhaps even more comical. So the O.I.C. sees itself as a forum "for redistributing wealth to the world's poorest states." From whom? I presume from the rich West, as it is still seen. But the richest countries, per capita, in the world are those small sheikdoms of the Persian Gulf, and next come Saudi Arabia, and Libya, and a few other Muslim oil states. And since those oil states have been the recipients of the largest transfer of wealth in human history, and since those Muslim oil states have received, since 1973 alone, more than ten trillion dollars, and continue to receive, currently, about a trillion dollars a year, and since the greatest economic weight, and drag, on the world's poorest countries is the price that those countries must pay for oil and gas, and the price rises, especially for oil, have done away with all the economic progress such countries have managed to make over many decades, it is obvious that Saudi Arabia, and the United Arab Emirates, and Kuwait, and Qatar, and Libya, with relatively small populations and vast unearned wealth from an accident of geology, are the countries that ought to be transferring, by the hundreds of billions of dollars, some of that entirely unmerited wealth to the poorer countries.

Somehow I doubt that that is anything like what the O.I.C. had in mind, when it decided to seek -- if it did indeed decide to seek -- "to rebrand itself this week as a forum for...redistributing wealth to the world's poorest states."

Whenever there has been a natural disaster, it is the West that has rushed to help. After that earthquake in Istanbul years ago, Western aid, including aid from Israel, came promptly and was so important, while the Arabs did nothing. After the tsunami in Indonesia, Western aid, especially American aid, was critical, especially in Aceh, that most militantly Muslim of Indonesian islands. After the earthquake in Pakistan a few years ago, the only aid that meant anything came from the United States and a few other Western countries, and those American army hospitals remained in Pakistan to treat Pakistani Muslims --a vocation of charity, like all those Catholic schools in Muslim countries, that are taken advantage of by Muslims. But for some reason so many are never grateful, never willing to abandon their inculcated hostility, no matter what benefits they receive from Infidel schools or hospitals, or emergency help in time of disasters, or of course, the hundreds of billions of dollars in aid that has, during the same period in which Muslim members of OPEC took in ten trillion dollars, flowed as disguised Jizyah from the Infidels of the West to the Muslims of Dar al-Islam, not to mention the Infidel-to-Muslim transfers that are equally large within the countries of Western Europe.


Yes, we'll see what the O.I.C. has in mind soon enough. It has nothing to do with fabulously rich Muslim states, many with populations of less than a million, actually sharing any of their wealth. And don't think for a minute that, even if they decided to share some of it with poorer Muslims, they would ever contemplate large-scale aid to any of the poor non-Muslims in this world -- not a chance, unless there were a firm promise to accept Islam, or to allow mosque-and-madrasa building, and Muslim campaigns of Da'wa, unhindered and on a large scale.

source: Jihad Watch: Fitzgerald: The OIC's rebranding game

Inawezekana muandishi sio impartial lakini kuna ukweli kwenye hoja yake. Misaada ya OIC inaweza kuja only 'with strings attached to it' kuhusu upendeleo kiasi fulani juu ya uislam......Na hiyo ndio hoja yetu kwa nini tujipeleke huko ambako hatuna uhakika.
 
Kithuku,
Huyu dogo kanianza muda namtazama tu anakokwenda...na tatizo lake anashindwa kujibu hoja kwa hoja zaidi ya kutupa mapande yake..hapa kafika, kifupi haniwezi kabisa kwa lolote.. toka kaingia hapa mada imekuwa jazwa pumba tupu, amekuta watu tunajadili hoja kaingia na pumba zake kama kawaida..

Mkamap, Mkuu lnilitegemea hivyo kwani wewe unachangia kwa rangi zako, hukuona alipoanza na habari za personal attack kuwa sisi ni Mujahidina?..rudi nyuma soma haya maandishi yake..
Wewe unaleta propaganda zako na unataka tukubaliane tu kwasababu na wewe ni Msilam? Hapa ni kuhusu Maslahi ya Taifa vs yenu mujahidina.

Watu kama hawa nawatafuta sana waingie mitaa yangu, huwa nawamaliza tu sina noma..
 
deny_all,
mkuu kwanza tazama mwandishi ni nani na anatetea vitu gani.. Ukisoma kwa makini huyu mtu anajaribu kujenga hoja kukandya OIC wakati World vision na red Cross zinafanya kazi hizo hizo..
Huyu mkulu anatangaza maslahi ya vyombo vyao kama vile Lions Club wanavyopiga vita hospital ya magonjwa ya moyo nchini kwa kumtumia mwanzilishi wake kuwa sababu ya kutokubali kuwepo hospital hiyo nchini.. Na wanafanikiwa sana tu.
 
Kithuku. Ni nchi gani mwanachama wa OIC iliyobadilika kuwa ya kiislamu? Wenzako wanakula chakula, wewe umebaki kudai kuwa kina sumu na kuwasubiri wafe!

Msingi wa hoja yangu ya kutokubali Tanzania kujiunga na OIC hauko kwenye hofu ya kugeuka kuwa nchi ya kiislamu. Msingi uko kwenye malengo ya taasisi hiyo ya OIC kama yalivyoainishwa kwenye OIC charter. Na nimekuchagiza uisome charter hiyo kisha uje hapa uniambie kama malengo hayo ni ya kitaifa kwa Tanzania, kama ni vipaumbele vya nchi yetu, na kama ni sahihi kunifanya mimi nisiyekuwa mwislamu kuwa mtekelezaji wa malengo hayo. Uniambie kama Tanzania inaamini charter hiyo, inaikubali na kama inaweza kuji-commit kushiriki kuyatekeleza.

Kama "wenzangu" wanakula "chakula" haina maana kuwa kinanifaa hata mimi, na si haki kunilazimisha nile chakula hicho. Mie kwangu nyama ya nguruwe ni kitoweo kizuri sana, lakini huwezi kumlazimisha mwislamu naye ale nyama ya nguruwe ati kwa kuwa "wenzie" tunakula! Yanatakiwa mazingira huru na haki, anayateka ale, asiyetaka asilazimishwe.

Na kwenye OIC hivyo hivyo, wanaotaka wajiunge, tusiotaka tusilazimishwe. Kusema nchi ijiunge OIC ni kutulazimisha tusiokubaliana na OIC charter kushiriki bila hiari yetu, tena kwa kudhulumiwa kabisa kutekeleza malengo tusiyoyaamini wala kuyakubali. Lakini waislamu peke yao wakijiunga OIC, itakuwa sawa kabisa maana watakuwa wanatekeleza malengo wanayoyakubali na kuyaamini. Narudia, uwekwe utaratibu wa kuwawezesha waislamu kujiunga na OIC bila kutuburuza sisi wengine.
 
Back
Top Bottom