Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

Here are some quotes of authoritative legal texts of Islamic law which spell out what Sharia law entails. Manual of Islamic Sacred Law (Shafi'i School)

pg. 613 "THE PENALTY FOR THEFT…. A person's right hand is amputated, whether he is a Muslim, non-Muslim subject of the Islamic state, or someone who has left Islam…."

pg. 616 "THE PENALTY FOR HIGHWAY ROBBERY…. If he steals the equivalent of 1.058 grams of gold…, both his right hand and left foot are amputated…. If the highwayman robs and kills, he is killed and then left crucified for three days."

pg. 610 "THE PENALTY FOR FORNICATION OR SODOMY…. If the offender is someone with the capacity to remain chaste, then he or she is stoned to death…."

pg. 595 "APOSTASY FROM ISLAM (RIDDA)…. When a person who has reached puberty and is sane voluntarily apostatizes from Islam, he deserves to be killed."

pg. 617 "THE PENALTY FOR DRINKING…. The penalty for drinking is to be scourged forty stripes, with hands, sandals, and ends of clothes. It may be administered with a whip, but if the offender dies, an indemnity… is due… for his death." [This penalty applies only to Muslims.]

In each case, there is also a list of qualifiers for who should be punished.
 
bahati nzzuri sisi waislam linapokuja swala la kudai haki zetu za msingi hatuogopi kupigwa , wala kufa ikibidi... kitaeleweka tu,
Uwezo mlionao ni wa kubeba mabomu ya kujilipua.....ILA MWINGINE AKIJA NA BOMU AU BUNDUKI HUWA MNATOKA BARUTI
 
Mbona walikuwa wanayapinga? Si wameshaambiwa waanzishe? Kama wanaandamana kuchangishana fedha za kuianzisha sawa,kama wanataka serikali igharamie hiyo mahakama nadhani taarifa za kiinterijensia sinasema kutakuwa na uvunjifu wa amani.kwa hiyo maandamano hapana!
 
Sasa waliokuwa wanasema jk anapingwa kwa sababu ya dini yake tu ina maana leo jk amekuwa mkristo? tuwe tunawaacha wanasiasa na siasa zao. .
 
Mimi kwa mtazamo wangu hawa waislamu wanapaswa kuelemishwa. Wameshaambiwa waanzishe mahakama. Hawakatazwi, lakini mahakama hiyo iwe nje ya mfumo wa serikali. Wakatoliki wana mahakama yao. Tena Hakimu alikuwa wakati huo paroko wa kipawa, Padre Kimario ambaye sasa ni Askofu wa Same. Anglikana wanayo mahakama na waruteli wanayo. Sina uhakika makanisa ya kakobe na mwingira. Sasa ili mahakama ya kadhi iwekwe kwenye katiba basi, ziwekwe zote. Mie nawashauri waanzishe kwanza ili yale mapungufu ya kutokuwemo kwenye katiba yaonekane.
<br />
<br />
Acha umbumbumbu weye. Makanisa hayana mahakama yana mabaraza ya usuluhishi kwani wakristo hawana sheria za kuhukumu. Uislam ni dini yenye sheria mfano suala la mirathi, migawanyo ya mali, nk.
 
bahati nzzuri sisi waislam linapokuja swala la kudai haki zetu za msingi hatuogopi kupigwa , wala kufa ikibidi... kitaeleweka tu,

Hiyo inaeleweka. Imani yetu ni kwamba linapotokea jambo lolote linalohusu uislam hata kama ni kujitoa mhanga hatuogopi kwa kuwa linabadilika na kuwa jihad halafu ukibondwa risasi ukafa unakwenda moja kwa moja peponi. Hii ndiyo inayotupa ujasiri. Kwa hiyo lazima kieleweke vinginevyo tuonyeshane kazi
 
Wadau pamoja na Mahakama ya Kadhi (Ibada muhimu kwa Waisalamu) tunayoambiwa ita deal na ndoa, mirathi na talaka tu lakini mimi naomba kujua yafuatayo ili nijiridhishe na hii mahaka inayoitwa ya Kadhi ambayo ndugu zangu Waislamu wanatadai ni ibada yao muhimu hivyo ianzishwe na kuendeshwa na serikali

Kwa mujibu wa dini ya kiislamu(vitabu) makama ya kadhi ni nini haswa?
Muundo wake ukoje?
Makosa inayoyashughulikia ni yapi(kwa mujibu wa vitabu)?
Adhabu zake ni zipi(kwa mujibu wa vitabu)?

Nauliza sababu napenda kujua ibada hii(mahaka ya kadhi) kwa mujibu wa vitabu ina deal na ndoa, mirathi na talaka tu au kuna mengine?

Na kama yapo mambo mengine ambayo ibada hii inatakiwa iyashugulikie na hayapo katika ibada hii na yameachwa hayo matatu tu, wametumia vigezo gani kuyatoa hayo mengine katika ibada hii muhimu?

Je si kwenda kinyume na maamrisho kuwa na ibada nusu?(kama kweli hii ni ibada)


Chode chonde wadau tujadili kwa hoja na ushahidi na tusitumie maneno makali na mipasho isije ikahamishiwa chumbani(jukwaa la dini) naona ni muhimu ikiwa hapa tujadili wote tuijue vizu mahaka hii
 
Hivi nyie mnaodai serikali haina dini na hivyo mahakama ya kadhi inagusa mambo ya kidini mna akili sawa sawa au udini unawasumbua? Nimewauliza VATICAN CITY inafanya nini nchini Tanzania mnashindwa kujibu. Nimeomba kifungu cha sheria za kimataifa kinachosema Vatican City ni nchi mmeshindwa kuleta.

Kubalini tu udini unawasumbua na kwa bahati mbaya watanzania waislamu wa sasa sio kama zama zile kwani hoja hamna, mnabakia kulazimisha vitu visivyokuwa na akili. Mahakama ya kadhi is a consistutional right of justice for a Tanzanian kama katiba nchi inatambulika unless mseme nchi hii haina katiba ndio tutawafahamu vizuri zaidi.
 
Hiyo inaeleweka. Imani yetu ni kwamba linapotokea jambo lolote linalohusu uislam hata kama ni kujitoa mhanga hatuogopi kwa kuwa linabadilika na kuwa jihad halafu ukibondwa risasi ukafa unakwenda moja kwa moja peponi. Hii ndiyo inayotupa ujasiri. Kwa hiyo lazima kieleweke vinginevyo tuonyeshane kazi
Na usisahau kuna mabikira 100 huwa mnaandaliwa kule peponi......
 
Mbona nyie mna matatizo. Maandamano ya waislam nyie kinawauma nini ? Waache waandamane nyie haiwahusu.
 
Kuna siku niliongelea hapa kwamba viongozi wa kiislamu hawafanyi shughuli zao kitaasisi nikatolea mfano wa Shehe aliyeomba pesa kwa Askofu Mkuu wa Tabora kujenga Msikiti. Askofu baada ya kumkubalia na kumwagiza amletee ramani ya ujenzi wa msikiti huo pamoja na gharama za makadirio ya ujenzi yanayowiana na ramani shehe aliingia mitini. Hapo elimu na mfumo wa kitaasisi una kasoro.

Naleta mfano wa mahakama ya dini Katoliki. Wana katiba ya kanisa ambayo inaitwa "Canon Law" ni kitabu kikubwa kupita katiba ya nchi yetu chenye kurasa za mamia. Na wanaojifunza Canon Lawa wanatakiwa wajifunze kwanza misingi ya sheria za kawaida na sheria za kimataifa. Wanatakiwa kujifunza misingi ya dini mbalimbali na sheria zao. Wanatakiwa kujifunza sheria za mapokeo, za kijamii, za kimataifa na za kitaifa anakotoka kila mwanachuo. Lakini elimu dunia ndio msingi wa kwanza.

Hata siku moja hutasikia Kanisa Katoliki linapeleka kesi kwenye mahakama za serikali vinginevyo ni kosa la jina ambalo limekuwa ni public scandal, vinginevyo sheria za Canon Law zinachukua mkondo wake ndani ya Kanisa. Na adhabu za makosa hayo hufanyika ndani ya kanisa bila kuathiri mfumo wa sheria za nchi kama ilivyotokea kule Mkoani Rukwa na walipojaribu wanasiasa kuingilia walijikuta wanakutana na ukuta wa Berlin ambao ni mwamba usiopasuka hata kwa baruti.

Hutakuta askofu anakataliwa au kushtakiwa kwa vile ndani ya kanisa kuna taratibu na inteligensia ambayo jambo likifanyika isivyotaratibu wanajua namna ya kuratibu ndo maana hawahitaji hata polisi kulinda usalama wao wawapo katika nyumba za kuabudia. Hii ni kutokana na mfumo wa sheria ulivyo.

Kwani hata taratibu za kuabudi kumewekwa sheria (Sheria ya Maadhimisho ya Liturujia, Sheria ya taratibu za kichungaji, nk). kwamba padre au askofu hawezi kufunua tu biblia na ukurasa wo wote na kuanza kusoma, ila kuna sheria na maelekezo kwa kila siku wapi biblia isomwe na dhamira hiyo ni kwa dunia nzima katika siku hiyo waumini wanapata dhamira ile ile iliyokusudia na mama kanisa.

Huu ni mfumo wa kitaasisi wenye sheria na unaofuata sheria.

Waislamu wanatakiwa kujenga mfumo wa kitaasisi ambao unaongozwa na sheria wanazojiwekea. Maana kuchukulia msahafu kwamba ndio kigezo cha kufuata haikidhi sheria kwa vile misaafu ni mkusanyo wa mambo mengi na katika misahau kuna yanayoweza potosha watu tukashtukia tunachuliana majambi ni sababu ya kusoma aya fulani na kuifanyia kazi badala ya kuwa na mwongozo wa jumla unaojumuisha waumini kitaasisi.

Hakuna sababu ya Waislamu nchini kuishinikiza serikali kibebe jukumu la kuanzishwaji wa mahakama ya kadhi wakati ni jambo linalowahusu waislamu wenyewe ndani ya taasisi yao. Vinginevyo kuendelea kulazimisha serikali ni kuiingiza kwenye tope. Serikali imeridhia waanzishe mahakama yao sasa tatizo ni nini?

 
Hivi nyie mnaodai serikali haina dini na hivyo mahakama ya kadhi inagusa mambo ya kidini mna akili sawa sawa au udini unawasumbua? Nimewauliza VATICAN CITY inafanya nini nchini Tanzania mnashindwa kujibu. Nimeomba kifungu cha sheria za kimataifa kinachosema Vatican City ni nchi mmeshindwa kuleta. Kubalini tu udini unawasumbua na kwa bahati mbaya watanzania waislamu wa sasa sio kama zama zile kwani hoja hamna, mnabakia kulazimisha vitu visivyokuwa na akili. Mahakama ya kadhi is a consistutional right of justice for a Tanzanian kama katiba nchi inatambulika unless mseme nchi hii haina katiba ndio tutawafahamu vizuri zaidi.
Hivi vatican ni mahakama ya kikristu nchini.............. ???? YAANI ULIVYOIWEKA NI KAMA COUNTERPART YA MAHAKAMA YA KADHI........... Ukimaliza pitia hapa...... The Vatican City is a Country
 
Mi naona poa tu!!
ingieni street vijana.
Mahakama ya ndoa zenu ni very important!
 
Hivi vatican ni mahakama ya kikristu nchini.............. ???? YAANI ULIVYOIWEKA NI KAMA COUNTERPART YA MAHAKAMA YA KADHI........... Ukimaliza pitia hapa...... The Vatican City is a Country

Usiniwekee forum I want an academic argument na sio opinion za watu. Anyway response of Professor Geoffrey Robertson (gwiji wa International Law) to those supporters of vatican as country or state (probably due to their religious faith) anasema hivi :-

"The starting point &#8211; The Creation of States in International Law &#8211; began in 1976 as a doctoral thesis by James Crawford: his second edition remarks (understatedly) that "the legal status of the Vatican City has been the subject of much study and some controversy". He still inclines to his earlier view that the Vatican City is a state but admits that some experts have denied this and that "the position of the Vatican City is peculiar and the criterion for statehood in its case only marginally (if at all) complied with".(16) Professor Gillian Triggs, correctly in my view, concludes "The Vatican City does not meet the criteria for statehood" (17) &#8211; it has no accredited diplomats, for a start, and serves as a territorial prop for the Holy See which ratifies most of its treaties. Crawford considers that the relationship between the City and the See is "a matter for some perplexity" and cites "the best modern study" of the issue which concludes (correctly in my view) that "the Holy See is not a state in international law, but has an international legal personality of its own which permits it to take international actions such as the conclusion of treaties and the maintenance of diplomatic relations".(18) Another leading textbook, International Law, sets out reasons to question "the reality of Vatican statehood",(19) whilst the late Professor Ian Brownlie's standard student textbook opines that the Vatican City claim is doubtful and the personality of the Holy See, as a politico-religious hybrid, is "even more difficult to solve" and can only be characterised by the way in which individual states relate to it. (20)"
Fn 16: Crawford, Creation of States in International Law, 221-5.
Fn 17: Triggs, International Law, 188.
Fn 18: Crawford, citing Jorri Duursma, Fragmentation and the International Relations of Micro-states: Self-determination and Statehood, 386-7.
Fn 19: O'Donnell, International Law, 290.
Fn 20: Brownlie, Principles of Public International Law, 64.
What "leading international lawyer" could be confident of Vatican statehood when the head of the Holy See's permanent division at the UN admits:
"it struggles to be counted as a "real" state. Since 1870, it has had almost no real territory to defend. It has no economic or industrial interest in the usual sense of the term. It has almost no population&#8230;.It has the Swiss Guards but no strategic defence to speak of&#8230;"
(Msgnr Leo Cushley, "A Light to the Nations: Vatican Diplomacy and Global Politics", 2007 Harbigen Lecture)


Kawasome hao maprofessa uje kivingine ila in short Vatican is not a state or a country ndio maana mpaka kesho wanastruggle kupata full membership in UN na EU wanabakia ni observatory members. Palestina mwezi huu wanapewa full membership in UN ijapokuwa marekani hawakubaliani nao.

Kuhusu kwanini nimeleta Vatican katika mjadala wa mahakama ya kadhi ni kwasababu Serikali ilianzisha mahusiano na taasisi ya kidini . Nyerere alikubali kupindisha katiba na kuanzisha mahusiano ya kibalozi na taasisi ya kidini (Vatican). Leo hii utasemaje kuwa SERIKALI YA TANZANIA HAINA DINI!!!!
 
mimi naomba kumuuliza huyu Mdondoaji, hivi Saudi Arabia, Pakistan, Iran na Sudan hizi sio Jamhuri za kiislamu? why Vatican?
 
Kama lengo wanataka iwe sehemu ya dola na ijumuishwe kwenye katiba ya nchi, hata waandamane siku 365 kwa mwaka usiku na mchana hawatafanikiwa. Serikali imesema ruksa waislam waanzishe hiyo mahakama yao, sasa wanachotaka tena ni nini???
 
mimi naomba kumuuliza huyu Mdondoaji, hivi Saudi Arabia, Pakistan, Iran na Sudan hizi sio Jamhuri za kiislamu? why Vatican?

Hivi namie naomba nikuulize hivi United Kingdom, USA, Germany zote hizi ni nchi za kikristo (majority) na nyengine ni chimbuko la makanisa kama Anglican, Lutheran, Born again na mbona siwalalamikii isipokuwa Vatican sio nchi na wakazi wake wote wana uraia wa nchi nyengine sasa nchi gani raia wake wote wahamiaji???? Isitoshe Vatican haina status ya kuitwa nchi kwanini Tanzania iwe na uhusiano nayo kibalozi??? Msumari huo mchungu ila hamna hoja mnapojadili kuwa serikali haina dini tafuteni sababu nyengine ila sio hiyo.
 
Back
Top Bottom