Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

Tatizo la Tanganyika ni vita baridi za Kidini. Wakristo wana kila mkakati wa kuhakikisha waislam hawaendelei na kuwa tegemezi dhidi yao.

Hakika Choyo na Husda za Wakristo huko TNG zinaipeleka pabaya sana na matokeo na dalili zake sasa ndio zimeshajitokeza.

Poleni sana

Kazi ya kuhukumu ni ya mwenyezi mungu....sijui binadamu mnahangaika nini kutumia jina lake kuhukumu...mahakama zibakie kwa serikali kwa kuwa haina mungu

It's so sad and economically unfriendly while China, India, Malaysia and Rwanda are seriously fighting to be the economy power house of the world,. Other people's brain storming its citizens to return to stone aged ideas that would bring thier country to its knee!!

Ttatizo nililolibaini huko Tanganyika kwa wakristo ni CHOYO na CHUKI dhidi ya haki za waislam. Ikiwa pamoja na kujiona wao ni first citizen na waislam ni second citizen.

Sioni sababu yoyote ya msingi na khasa ukiangalia hata wenzenu Kenya wameanzisha hivyo na ukitazama Kenya ina zaidi ya 75% ukristo ukilinganisha na tanganyhika ambao mnakaribiana kiidadi.

Kama JMT ina nia ya kweli kuanzishwa kwa mahakama hizo basi ni wajibu wao kuzifanya Ruling zake ziwe binding katika sheria za nchi ili zisilete mgongano na mahakama za kawaida.

na lazima muelewe mahakama hizo zitakuwa huru kwa kila mwenye kutaka kutuzitumia katika kutafuta haki yake na zitakuwa kwa raia wote wa TZ wanaotaka.

Poleni sana
Kwamba hapa unatuamini mkristo nae aende kwenye mahakama ya kadhi? too low to me,..........
Nafikiri kuna haja ya kutoa upendeleo wa kielimu kwa waislamu, nadhani ndio njia pekee ya kuondowa fikra mgando kwenye jamii hii.
Hivi naomba kuuliza tu, kutokuwepo kwa vyuo vikuu vingi vinavyomilikiwa na taasisi za kiislamu kunatokana na kutokuwa na mahakama ya kadhi?

Kwamba hapa unatuamini mkristo nae aende kwenye mahakama ya kadhi? too low to me,..........

Nafikiri kuna haja ya kutoa upendeleo wa kielimu kwa waislamu, nadhani ndio njia pekee ya kuondowa fikra mgando kwenye jamii hii.

Hivi naomba kuuliza tu, kutokuwepo kwa vyuo vikuu vingi vinavyomilikiwa na taasisi za kiislamu kunatokana na kutokuwa na mahakama ya kadhi?

naunga mkono hoja yako tutoe upendeleo wa elimu kwa waislamu hii itawasaidia kupevuka kiakili.

Tatizo la Tanganyika ni vita baridi za Kidini. Wakristo wana kila mkakati wa kuhakikisha waislam hawaendelei na kuwa tegemezi dhidi yao.

Hakika Choyo na Husda za Wakristo huko TNG zinaipeleka pabaya sana na matokeo na dalili zake sasa ndio zimeshajitokeza.
Poleni sana

hakuna vita baridi, mnasumbuliwa na utegemezi, kutaka vya bure. Jichangisheni muandae pesa ya kuendeshea mahakama yenu. Hamjakatazwa kuianzisha mradi hamvuki mipaka yenu na kuvunja sheria za nchi. Kodi ya wananchi haiwezc tumika hudumia maswala ya dini fulani. Wakati wenzenu wapo busy kuchangishana kujenga shule na vyuo kuendeleza waumini wao nyie mpo busy kuandamana kudai fedha ku-run mahakama zenu. wenzenu wanakimbia nyie mnatembea then mnadai mnaonewa kutaka kupandikiza chuki zisizokuwepo

Nafikiri soma mzizi wa khoja yangu.

Je waislam wakizianzisha. Je Serikali ya Muungano ipo tayari ruling zake ziwe binding na sheria za Muungano? kwani kama hawako tayari kuziweka kisheria mahakama hizo basi itakuwa ni useless na kupoteza muda kwa waislam kuanzisha chombo hicho ambacho kitakuwa hakina meno.

Kenya zimebainishwa wazi katika sheria zao za nchi yao na zimewekewa mipaka yake. Vipi Tanganyika mpo tayari. Hilo ndio suala la waislam kwa Serikali ya JMT

unanikera sana na comparison yako kati ya tz na ke,hii ni tz na itabaki kuwa tz,ishu za ke zinawahusu wao pekee!
Umeniboa zaid unapotoa takwimu za uongo kwmba idadi ya wakrstu na muslims inalingana tz wkt unatambua waz kuwa muhamadans wapo kwa wing mikoa ya pwani ie dar,moro,tng, na huko kusini ie lindi na songea, na znz ambyo ni kama mkoa tu huku bara,huku kwetu tarime hata msikiti sijawah kuuona!

haya matatizo yote yamesababishwa na CCM. Waliweka maswala ya mahakama ya kadhi kwenye ilani yao ili kuwalaghai waislamu, wakati wanajua mahakama ya kadhi ni maswala ya kidini. CCM ni janga la kitaifa.Bila kuondokana na CCM hatutaweza kuondoka na umskini, wizi, ukabila, na udini Tanzania. Leo hii Nyerere angafufuka haisinge kuwa mana ccm tena, ccm ya sasa imejaa propaganda za udini, ukabila, na ufisadi

Kinachobainishwa hapo ni kuingiza mfumo wa mahakama ya kadhi ndani ya mfumo wenu wa Mahakama ili kusilete mgongano wa maamuzi yake na mahakama za kawaidia kama walivyoweka hata wenzenu Kenya.

Nitakupa mfano mdogo sana wa mabaraza ya ardhi ya kata na mahakama za mwanzo. haya hayaingiliani katika mamuzi sababu yamewekwa pale kisharia. Sasa kwanini unakwepa mahakama ya kadhi.

Mimi naamini wazi watakao pata hudima kwenye mahakama hizi ni raia wa Tanzania kama walivyo raia wengine wa Tz na hivyo kupunguza msongamano wa kesi nyyingi sana za madai kama talaka na miradhi katika mahakama zenu.

Suala langu hapa. Je Serikali ya JMTz ipo tayari kuwalipia wa TZ kama raia wake watakaoamua kutumia mahakama hizi kutafuta haki zao?

Fungukeni kiakili na mjitoe katika mental slavery.

Ndugu hapo kwenye malipo ya gharama za mahakama ya kadhi unazidi kupotoka. Waislam na wakristo wote kwa mujibu wa sheria za dini yao huwa wanatakiwa kulipa kitu kinachoitwa zaka. Mbona huwa hatuiombi serikali itulipie. Waislam wengi nadhani hatukumuelewa Rais au tulimuelewa ila tunataka kuendeleza ubishi tu. Alichokiona yeye na walichokiona watu wengi makini ni kwamba si halali kuiweka mahakama hii kwenye katiba sababu ikiwekwa,itaanza ku demand itengewe fungu la kuiendesha. Kumbuka pesa za serikali zinachangiwa na wa islamu,wa kristo,wa hindu, na hata wapagani wasioabudu dini yeyote kama mzee wetu Mheshimiwa Kingunge. Atakubali vipi babu yangu mkulima aliepo kijijini na ambaye ni mpagani na hamuamini allah,buddha wala yesu, pesa yake(kodi) itumike kuendeshea chombo ambacho hakitaki na wala hana mpango wa kukitaka,lakini bado babu yangu huyu ni raia halali wa Tanzania na analipa kodi zote anazotakiwa kulipa kama VAT,INCOME TAX n.k?. Think outside of a box. Mahakama ya kadhi ni jukumu letu kuianzisha wenyewe ndugu zangu waislam na hata serikali haitoweza kutuingilia kwenye mambo ambayo tumesema mahakama hii itajihusisha nayo. Mbona wakatoliki wanayo mahakama yao wana mahakinu na ma judge ambao inawalipa mishahara yenyewe na hata siku moja hawajawahi ku kinzana na serikali na kuitaka government iwalipie mishahara?

kuna haja na wakristo nao kudai mahakama yao, maana mahakama za serikali zinahalilisha kuvunjwa ndoa wakati biblia inakataza kutoa talaka. alichokiunganisha Mungu mwanadamu asikitenganishe.

Nyie hamjajua nia ya mashekh. What they need is that jambo la mahakama ya kadhi itambulike kisheria na kikatiba ilikwamba government funding iwe justified!!! Muslims know for sure that they won't be able to fund KADHI COURTS using their own sources of money.
lol, haki hiyo inakuwa determined na mazuzu kama Ponda. Imekula kwenu.

Mpwa wangu twende taratibu, hivi kila kitu kinachoanzishwa mahali ni lazima na sisi tuwe nacho? suala lakuwa binding or not linahusiana vipi na Ukristo? kuwa mkweli akak, hivi kweli ni lazima uislamu uenezwe na serikali, naomba pia jibu hoja yangu ya Bakwata ambayo mnaituhumu kutumiwa na serikali lakini wakati huo huo mkiitaka serikali hio hio iwaanzishie mahakama, hivi kweli hamna mambo mengine ya msingi ya kudai? kweli toka moyoni mwako hamna mambo ya msingi ambayo serikali ingewasaidia? Je mahakama ya kadhi itaongezaje kipato na hali mbaya owalzokuwa nazo familia za kisslamu kuokana na kuwapeleka watoto madrasa badala ya shule? mmh haya hawajambo huko lakini? Poleni kwa msiba kaka
Tatizo la Tanganyika ni vita baridi za Kidini. Wakristo wana kila mkakati wa kuhakikisha waislam hawaendelei na kuwa tegemezi dhidi yao.

Hakika Choyo na Husda za Wakristo huko TNG zinaipeleka pabaya sana na matokeo na dalili zake sasa ndio zimeshajitokeza.

Poleni sana

sasa Mpwa kama kitu hawana uwezo nacho kwanini wakianzishe? yaani unataka kuoa na mahari huna? aaah
Nyie hamjajua nia ya mashekh. What they need is that jambo la mahakama ya kadhi itambulike kisheria na kikatiba ilikwamba government funding iwe justified!!! Muslims know for sure that they won't be able to fund KADHI COURTS using their own sources of money.

Mbona imeanzishwa mahakama ya Ardhi na mahakama ya Biashara. Sasa kwanini isiwe hii ya kadhi?

Na mbona hata Mabenk yenu wameanzisha utaratibu wa Bank kufuata utaratibu wa kuhifadhi pesa wa Kiislam ( Islamic banking) na sasa zina wateja wengi sana na wanazidi siku hadi siku. Lazima Serikali yenu iwe flexible kukubali changes.

Jiulizeni watakao pata huduma hapo watakuwa sio wa TZ. Je Serikali itaweza lipia watu wake watakao peleka masuala yao pale na kuhudumiwa? Lazima mjua kila mtanzania ana haki sawa na hakuna first citizen na second citizen. Wote mpo daraja moja nawashangaa wanaopinga?

Kuna namna hapo.
Ardhi ni ya serikali na bank ni taasisi zinazojitegemea. Tanzania ni nchi isiyo na dini(consult ur katiba). Alafu wewe kama umeshapata mwenza na kuwekwa ndani huko uarabuni na kubadili uraiya hupaswi kuchangia jambo ambalo halikuusu. Au Jihad ndo popote??

kumbe unajua kuongea kwa ukali hivi, twende nao taratibu bhana hadi kieleweke, umeskia Mpwa wangu, usiwe mkali utawapoteza
Ardhi ni ya serikali na bank ni taasisi zinazojitegemea. Tanzania ni nchi isiyo na dini(consult ur katiba). Alafu wewe kama umeshapata mwenza na kuwekwa ndani huko uarabuni na kubadili uraiya hupaswi kuchangia jambo ambalo halikuusu. Au Jihad ndo popote??

of course mahakama ya wakristo nayo ipo mbioni. sasa sijui serikali itabaki na wapagani au vipi? wakristo nao wanasema wanataka mahakama yao ya wakristo maana mahakama za serikali zinavunjwa ndoa kinyume na maandiko ya biblia. sasa sijui serikali inaweza kugharamia mahakama zake za serikali, mahakama za wakristo, na wahakama za waislamu?

Sharia Law does NOT recognise democracy as a valid or viable form of government.

The use of the term sharia conjures up images of a brutal, harsh and inhumane legal system, characterized by amputations, beheadings, and stoning to death. With such a grim picture of sharia in our minds, it is little wonder that the call made by the Government of Tanzania to consider ways of accommodating sharia law in certain areas of dispute resolution, in particular family law et al, is pathetic.

Hawa badala wafikirie kujenga mashule,vyuo,mahospital,na wapeleke watoto wao mashuleni,wamekalia kufikiri mambo yasiyo na maana, ndiyo mana ukienda shuleni kuwakuta ni kazi,wamekalia kulalamika,kuombaomba,kukaa kwenye vigenge vya kahawa na kucheza bao.Mbadilike ndugu zangu ebu waigeni wakristo wanajenga mashule kila siku,mahospital,vyuo vikuu,wanamaisha mazuri.

Back
Top Bottom