Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

hawa ndugu waliyapinga na kuyalaani maandamano ya CHADEMA sasa sijui leo maandamano yamekuwaje mazuri ilihali wao wenyewe walizunguka kny vyuo vikuu wakayapinga na kusema yanaleta uvunjifu wa amani?
 
Lazima katiba iheshimiwe. Tukiendekeza udini gharama yake ni kubwa saana pindi mambo yakienda mrama! Chonde chonde, udini nooomaa!
 
Nafikiri wewe umejichanganya. Kwa masingi wowote ule lazima serikali yenu angalie na kukubali maamuzi yake.

katika mfumo wa Mahakama ya kadhi, Mwenye mamlaka ya mwisho katika hukumu ni Chief Kadhi na hukumu yake haitenguki hata ukukata rufaa kwenye mahakama ya rufaa TZ.

Lakini vle vile watakaokwenda kushughulikiwa masuala yao ni wa TZ kama walivyo wa Tz wengine regardless dini yao ya Uislam. Je Serikali ya JMT itaweza kuwalipia hao raia wake walioamua kutumia makhakama hizi kutafuta haki zao?

Hapo ndio naona kuna kitu kimejificha. Chukulia mfano Kenya zipo na afisi zao zinakuwa kwenye mahakama zao za kawaida kwani wanaopata huduma ni wananchi kama wengine nao wana haki sawa na wengine.

Fungukeni jamani sio kupinga. Mbona hamuulizi JMT inapotoa Ruzuku kwenye mashirika ya dini kama hospitali kama Bugando, KCMC n.k.

Kwa waislam inakuwa Nongwa. Au ndio yale yale kunya anye kuku, akinya bata ......

Naona wewe si tu kuwa umejichanganya, umelikoroga kabisa. Hizo hospitali zilianzishwa na mashirika ya dini kwa ajili ya kuisaidia serikali kutoa huduma na ndio maana hata waajiriwa wake ni wafanyakazi wa serikali na sio dini, lakini la msingi ni kuwa hawatoi huduma za kidini na wala huduma zao sio kwa ajili ya wakristo. Ndugu zetu waislamu wanatibiwa kule bila ubaguzi, mwananchi yeyote anapata huduma. Hii ni tofauti na mahakama za kadhi, na sio kweli kuwa hizi mahakama niza kutoa huduma kwa wananchi wote.

Lakini jingine la msingi ni kuwa Taasisi za Kiisilamu zikiamua kujenga mahospitali na kutoa huduma kwa wananchi serikali itafurahi na itafanya hivyo hivyo kama inavyofanya kwenye hizo taasisi ulizotaja.

Mimi sitaki kujiingiza kwenye hoja za udini lakini nimegundua baadhi ya ndugu zetu hamtaki kuumiza akili zenu kufikiri. It is so simple, serikali yetu na wala nchi yetu haina dini na haiwezi kujiingiza kwenye jambo ambalo msingi wake ni dini na nia ni kuhudumia dini fulani. Na zaidi dini hiyo imepewa ruhusa kuanzisha huo utaratibu wanaoutaka lakini wasivuke mipaka fulani na serikali haitaweka mkono huko, sasa mnataka nini tena?

Zaidi ya hapo mnatafuta vurugu zisizo na tija
 
Maandamano ya nini tena? Mnataka kupindua serikali kama CDM? teh teh!!
 
Tatizo la Tanganyika ni vita baridi za Kidini. Wakristo wana kila mkakati wa kuhakikisha waislam hawaendelei na kuwa tegemezi dhidi yao.

Hakika Choyo na Husda za Wakristo huko TNG zinaipeleka pabaya sana na matokeo na dalili zake sasa ndio zimeshajitokeza.

Poleni sana
Hilo ndilo tatizo la waislamu inferiority complex kujiona wanyonge mbele ya wakristo.
 
Napata tabu kweli kuelewa swala hili la mahakama ya kadhi mimi nahitaji kuuliza hivi nchi zingine zinazo tajwa kuwa na kadhi mfumo wake ni upi?? mbona hatuelezwi km nitofauti na tunavyotaka BONGO itakuwa haiwezekani MILELE lakini km ndivyo ilivyo ktk nchi zingine basi waislamu wanahitaji kuimplement hiyo mahakama.
 
Wanataka ianzishwe na serkali ili mahakama hiyo iwe inagharamiwa na serkali ikiwa pamoja na kadhi kulipwa mshahara na serkali. Waislamu hawana uwezo wa kuigharamia. Hapa ndipo serkali inapokataa kujiingiza kwenye mambo ya dini, kwa sababu ikifanya hivo maaskofu nao watadai walipwe mishahara na serkali.<br />
<br />
Wanawaza kwa kutumia masaburi yao!!!
<br />
<br />
pamoja na gharama wanataka hukumu zao ziwe enforced na vyombo vya dola ili atakae pingana nao ashurutishwe na serikali kutii maamuzi ya kadhi. Kitu ambacho kwa mtazamo wangu ndo hatari kwa taifa lenye watu wenye imani tofauti kama Tz kuliko hata hata hizo ghalama za kuendesha mahakama yenyewe. I can't imagine where we're heading as a nation
 
Na Rastafarians nao wadai mahakama yao maana ya sasa inakatakaza kuvuta 'majani' wakati majani ni sehemu ya ibada.
 
mimi naomba kumuuliza huyu Mdondoaji, hivi Saudi Arabia, Pakistan, Iran na Sudan hizi sio Jamhuri za kiislamu? why Vatican?

Nafikiri wewe hujui Vatican ila unasema usichokifahamu. Vitican haiwezi kabisa kufananishwa na Suudan au saudia. Ila unaweza kuifananisha na mji wa Makka na Saudia inaendelea kuwa sawa na Italia.

Kwani Mji wa makka unajitegemea na kuna msikiti mkuu ambao kuna Uongozi chini ya shehe mkuu wa msikiti huo ambaye anakuwa sawa na Pope.
Labda nikuulize Je kama unasema vatican ni Nchi. Je unaweza kuniambia population yake.
Je kuna wanawake wangapi? Je kuna watoto wangapi (chini ya miaka 18.)
Unawafahamu raia wake.
 
<br />
<br />
pamoja na gharama wanataka hukumu zao ziwe enforced na vyombo vya dola ili atakae pingana nao ashurutishwe na serikali kutii maamuzi ya kadhi. Kitu ambacho kwa mtazamo wangu ndo hatari kwa taifa lenye watu wenye imani tofauti kama Tz kuliko hata hata hizo ghalama za kuendesha mahakama yenyewe. I can't imagine where we're heading as a nation

Wasi wasi wa nini Mbona Kenya wame accomodate katika katiba yao. Vp Tanganyika kunani?

Fahamu kuwa kama ruling zake zisipokuwa binded kwenye sheria zenu kutakuwa hakuna maana kabisa ya kuwa na mahakama za kadhi. Angalie katiba ya Znz walivyoweza kuziaccomodate au hata Kenya na nchi nyingi nyingine bila kuathiri mfumo wa sheria zao.

Lakini kikubwa kinachoonekana na CHOYO na HUSDA kwa watanganyika katika kupinga jambo pasi na kuwa na sababu muhimu.

Poleni sana.
 
Ardhi ni ya serikali na bank ni taasisi zinazojitegemea. Tanzania ni nchi isiyo na dini(consult ur katiba). Alafu wewe kama umeshapata mwenza na kuwekwa ndani huko uarabuni na kubadili uraiya hupaswi kuchangia jambo ambalo halikuusu. Au Jihad ndo popote??

Siku zote nyani haoni kundule.
 
Kwamba hapa unatuamini mkristo nae aende kwenye mahakama ya kadhi? too low to me,..........
Nafikiri kuna haja ya kutoa upendeleo wa kielimu kwa waislamu, nadhani ndio njia pekee ya kuondowa fikra mgando kwenye jamii hii.
Hivi naomba kuuliza tu, kutokuwepo kwa vyuo vikuu vingi vinavyomilikiwa na taasisi za kiislamu kunatokana na kutokuwa na mahakama ya kadhi?

Naona unakuza mambo pasi na kujua unaongea nini na msingi mkuu wa hoja yako.

Ukweli unasiamama pale pale Mahakama ni muhimu sana kwa kutoa haki kwa jamii. Na Elimu ni muhimu sana kwa kutoa uelewa na kundoa ujinga kwa jamii. Hivyo Elimu na Mahakama ni sawa na Sukari na Chumvi. Kila kitu ni muhimu pahala pake.

Wakristo huko Tanganyika wana mashuule mengi na vyuo vikuu vingi, Je wasomi hao wa ikristo wameifanyia nini TZ na wa TZ wenzao zaidi ya kuongoza kwa kuwa MAFISADI?
 
Usiniwekee forum I want an academic argument na sio opinion za watu. Anyway response of Professor Geoffrey Robertson (gwiji wa International Law) to those supporters of vatican as country or state (probably due to their religious faith) anasema hivi :-

"The starting point &#8211; The Creation of States in International Law &#8211; began in 1976 as a doctoral thesis by James Crawford: his second edition remarks (understatedly) that "the legal status of the Vatican City has been the subject of much study and some controversy". He still inclines to his earlier view that the Vatican City is a state but admits that some experts have denied this and that "the position of the Vatican City is peculiar and the criterion for statehood in its case only marginally (if at all) complied with".(16) Professor Gillian Triggs, correctly in my view, concludes "The Vatican City does not meet the criteria for statehood" (17) &#8211; it has no accredited diplomats, for a start, and serves as a territorial prop for the Holy See which ratifies most of its treaties. Crawford considers that the relationship between the City and the See is "a matter for some perplexity" and cites "the best modern study" of the issue which concludes (correctly in my view) that "the Holy See is not a state in international law, but has an international legal personality of its own which permits it to take international actions such as the conclusion of treaties and the maintenance of diplomatic relations".(18) Another leading textbook, International Law, sets out reasons to question "the reality of Vatican statehood",(19) whilst the late Professor Ian Brownlie's standard student textbook opines that the Vatican City claim is doubtful and the personality of the Holy See, as a politico-religious hybrid, is "even more difficult to solve" and can only be characterised by the way in which individual states relate to it. (20)"
Fn 16: Crawford, Creation of States in International Law, 221-5.
Fn 17: Triggs, International Law, 188.
Fn 18: Crawford, citing Jorri Duursma, Fragmentation and the International Relations of Micro-states: Self-determination and Statehood, 386-7.
Fn 19: O'Donnell, International Law, 290.
Fn 20: Brownlie, Principles of Public International Law, 64.
What "leading international lawyer" could be confident of Vatican statehood when the head of the Holy See's permanent division at the UN admits:
"it struggles to be counted as a "real" state. Since 1870, it has had almost no real territory to defend. It has no economic or industrial interest in the usual sense of the term. It has almost no population&#8230;.It has the Swiss Guards but no strategic defence to speak of&#8230;"
(Msgnr Leo Cushley, "A Light to the Nations: Vatican Diplomacy and Global Politics", 2007 Harbigen Lecture)


Kawasome hao maprofessa uje kivingine ila in short Vatican is not a state or a country ndio maana mpaka kesho wanastruggle kupata full membership in UN na EU wanabakia ni observatory members. Palestina mwezi huu wanapewa full membership in UN ijapokuwa marekani hawakubaliani nao.

Kuhusu kwanini nimeleta Vatican katika mjadala wa mahakama ya kadhi ni kwasababu Serikali ilianzisha mahusiano na taasisi ya kidini . Nyerere alikubali kupindisha katiba na kuanzisha mahusiano ya kibalozi na taasisi ya kidini (Vatican). Leo hii utasemaje kuwa SERIKALI YA TANZANIA HAINA DINI!!!!
Sasa mkuu hebu oanisha kwa uzuri kabisa, unawezaje kudai mahakama ya kadhi kwa kigezo cha Vatican kuwa na ubalozi hapa nchini? maana naona umeshupalia kweli kweli Vatican sio nchi.
Naomba uonanisha kitaalamu naamini wewe si kama shekh Ponda mropokaji without fact

Wasi wasi wa nini Mbona Kenya wame accomodate katika katiba yao. Vp Tanganyika kunani?

Fahamu kuwa kama ruling zake zisipokuwa binded kwenye sheria zenu kutakuwa hakuna maana kabisa ya kuwa na mahakama za kadhi. Angalie katiba ya Znz walivyoweza kuziaccomodate au hata Kenya na nchi nyingi nyingine bila kuathiri mfumo wa sheria zao.

Lakini kikubwa kinachoonekana na CHOYO na HUSDA kwa watanganyika katika kupinga jambo pasi na kuwa na sababu muhimu.

Poleni sana.
Kwani nchi inafanya na kuamua mambo yake kwakuwa nchi zingine wamefanya au kila mmoja anajiamulia kwa utaratibu na mazingira yake? hatuwezi kuwa jamuhuri ya kikristo kwasababu nchi fulani wameweza
Nahiyo dini yenu hamuendi kwa imani na hiari hadi ibada hii muhimu iwe binding na sheria na kuanzishwa na kugharamikiwa na kodi za dini zote ikiwemo kodi za bia na kitimoto?
Naanza kuamini mnamatatizo na shule
 
waislamu wanataka mahakama yao iidhinishwe na bunge ili iweze kuhudumiwa na serikali kama kulipa mishahara ya watendaji kazi wake kama sivyo na ubalozi wa vatican uondoke kwani unaendeshwa kwa kodi zetu waislamu na wakristo si nchi haina dini


well sidhani kama utakuwa sawa ukisema ubalozi wa vatican uondoke hapa...... kwani ukumbuke vatican inatabuliwa kama independet state... kuna criteria nyingi ambazo inazifanya ikubalike hivyo na ndio maana ina mabalozi katika nchi mbalimbali... na hata UN vatican inagwa sio member ila yeye huwepo kwenye vikao vyote na hushirikishwa katika mambo yote kama observer... so katika lugha nyingine wanaaita vatican THE HOLY SEE....

so vatican sio tasisi ya kidini ingawa mlengo wake ni wa dini ya kikristo hasa kwa thehebu la katoliki.. lakini wamejitemngenezea juridiscation ambayo imewafanya itambulike kama inchi....

na kwa kuongezea tu hata hizo nchi za kiarabu ambazo majority ni waislam wana mabalozi wao huko vatican. mfano kama misri, kuwait, palestina, na hata iran....

so mnakosea mnaposhindwa kutofautisha kati ya tasisi za kidini zenye mlengo wa kusaidia waumini wa dini ile.. na mashirika ya kidini yalio na mlengo wa kusaidia jamii kwa ujumla.... ..

cha ajabu hao waliotuletea dini hizo ... wazugu na waarabu wao hawana mafarakano kama haya.. kwani wanajua mantiki ya mambo yote... cc ndio tunaojifanya utadhani hivyo vitabu vitakatifu tulikabithiwa mikononi... wakati kabla ya kuvijua hivyo tulikuwa tunacheza MAHEPE kwenye misitu na mapango... GROW UP GUYZ
 
ni mada ya siku nyingi kweli, lakini leo imerudi kivingine kabisa.

Naunga mkono hoja, kwani mahakama ya kadhi haiwahusu watanzania, inawahusu waislamu tena wale watakaoamua kuhukumiwa kwayo. Naamini wapo wengine watakataa kuhukumiwa na mahakama hiyo.

Hivyo waislamu waanzishe mchakato wao wenyewe na tishio lao la kuandamana, siliungi mkono kwani wakristo, wapagani, wabahai, wayahudi, wa budha na wengine wengi wataandamana kushinikiza mahakama za dini zao. Hapo itakuwa vurugu ndani ya katiba kwani haitakuwa huru tena.

Mahakama mnaitaka, anzisheni bila kudai iingizwe kwenye katiba, kufanya hivyo ni kuwalazimisha na wengine wengi wasiowaislamu kuwa waislamu kwa lazima. Hii ni zaidi ya hatari.
 
Nafikiri wewe hujui Vatican ila unasema usichokifahamu. Vitican haiwezi kabisa kufananishwa na Suudan au saudia. Ila unaweza kuifananisha na mji wa Makka na Saudia inaendelea kuwa sawa na Italia.

Kwani Mji wa makka unajitegemea na kuna msikiti mkuu ambao kuna Uongozi chini ya shehe mkuu wa msikiti huo ambaye anakuwa sawa na Pope.
Labda nikuulize Je kama unasema vatican ni Nchi. Je unaweza kuniambia population yake.
Je kuna wanawake wangapi? Je kuna watoto wangapi (chini ya miaka 18.)
Unawafahamu raia wake.




vt-flag.gif
[h=1]Holy See (Vatican City) Population growth rate[/h]Holy See (Vatican City) > Demographics

check-small.png
check-small.png
check-small.png
check-small.png
check-small.png
ShareThis
check-small.png




[TD="class: c"] Population growth rate: 0.004% (2011 est.)
Definition: The average annual percent change in the population, resulting from a surplus (or deficit) of births over deaths and the balance of migrants entering and leaving a country. The rate may be positive or negative. The growth rate is a factor in determining how great a burden would be imposed on a country by the changing needs of its people for infrastructure (e.g., schools, hospitals, housing, roads), resources (e.g., food, water, electricity), and jobs. Rapid population growth can be seen as threatening by neighboring countries.
Source: CIA World Factbook - Unless otherwise noted, information in this page is accurate as of July 12, 2011
See Also

[/TD]
© 2011 IndexMundi. All rights reserved.

p-faY0WvYrqielI.gif
 
Pamoja na kwamba JK ameelemewa na hoja dhaifu na za kichoyo, chuki dhidi ya waislamu (hoja za maaskofu) na kuamua kuwaudhi waislamu na kuwafurahisha wakristotena siku ya idd iko siku tutapata mahakama ya kadhi ambayo inatambulika kisheria na inalipiwa na serikali...

a. Kulipiwa mahakama ni wajibu wa serikali ..kwa kuwa kazi ya kuhukumu ni ya serikali si ya taasisi..

b. Wakristo waache uchoyo kwakuwa hata sasa through MoU wanapewa pesa za walipa kodi wote wakiwemo waislam, utaratibu huu hauna tofauti na uwizi na ufisadi..hoja ya kwamba wanatoa huduma kwa wote ni dhaifu kwakuwa hata private companies zinatoa huduma kwa wote what is so special with christians schemes??? kama siyo ufisadi...

Iko siku tutapata mahakama ya kadhi kwa lazima au kwa hekima.. kadhi hii itatugawa watanzania kwakuwa danadana zikizidi uvumilivu wa waislamu unapungua...
 
Vipi, umerudi lini kutoka msibani? Je Hawa Manaodha wa "Spice" wanafunguliwa mashtaka kwenye "Kadhi Court"?
 
Natamani mahakama ya kadhi ije upesi maana mahakama za serikali zinazidiwa na wahalifu wa-waislam. Mahakama ya kadhi itasaidia kuwapiga jela kwa kasi zaidi na kuwakata mikono na miguu hata kuchinjwa kwa majambia ikibidi.

Mahakama ya kadhi ikija itekeleze kazi zake zote kwa mujibu wa kanuni za islam ikiwemo hayo ya kuchinja watu shingo zao
 
Back
Top Bottom