Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

Natamani mahakama ya kadhi ije upesi maana mahakama za serikali zinazidiwa na wahalifu wa-waislam. Mahakama ya kadhi itasaidia kuwapiga jela kwa kasi zaidi na kuwakata mikono na miguu hata kuchinjwa kwa majambia ikibidi.

Mahakama ya kadhi ikija itekeleze kazi zake zote kwa mujibu wa kanuni za islam ikiwemo hayo ya kuchinja watu shingo zao

Kajifunze kwanza nini mahakama ya kadhi...kabla ya kujaza nafasi..

Hata hivyo hutishi muislamu na mkristo anayefahamu justice iliyoko katika hukumu za kiislamu...(sharia)..

Of course ndio maana inatakiwa serikali ilipie kweli itapunguza msongomano wa kesi..
 
Pamoja na kwamba JK ameelemewa na hoja dhaifu na za kichoyo, chuki dhidi ya waislamu (hoja za maaskofu) na kuamua kuwaudhi waislamu na kuwafurahisha wakristotena siku ya idd iko siku tutapata mahakama ya kadhi ambayo inatambulika kisheria na inalipiwa na serikali...

a. Kulipiwa mahakama ni wajibu wa serikali ..kwa kuwa kazi ya kuhukumu ni ya serikali si ya taasisi..

b. Wakristo waache uchoyo kwakuwa hata sasa through MoU wanapewa pesa za walipa kodi wote wakiwemo waislam, utaratibu huu hauna tofauti na uwizi na ufisadi..hoja ya kwamba wanatoa huduma kwa wote ni dhaifu kwakuwa hata private companies zinatoa huduma kwa wote what is so special with christians schemes??? kama siyo ufisadi...

Iko siku tutapata mahakama ya kadhi kwa lazima au kwa hekima.. kadhi hii itatugawa watanzania kwakuwa danadana zikizidi uvumilivu wa waislamu unapungua...
Kumbe unajua kazi ya kuhukumu ni ya serikali? ni vizuri mahakama zetu za serikali ziendelee na kazi yake kama ulivyosema ndo kazi yake. Iyo siku unayosema mtapata kadhi kwa mfuko wa serikali ni lini??
 
Iko siku kwa lazima au kwa hekima mtachagua wenyewe...subiri tuone
 
waislam wana haki ya kuwa na mahakama ya kadhi kama sehemu ya ibada kwao kama walivyo na misikiti ambayo ni sehemu ya ibada. Serikali yetu haina dini na katiba inasema hivyo. N i kweli kabisa kwamba ni wajibu wa serikali kuzilipia mahakama, kitu ambacho mpaka sasa serikali inakifanya maana tunazo mahakama ambazo zinalipiwa na serikali.Sidhani kama ni sahihi kuwalaumu wakristo kuhusu mahakama ya kadhi maana hilo si suala lao, MOU unazoziongelia kama umezisoma vyema, haziwezi kuwa sababu ya waislamu kuitaka serikali ilipie mahakama ya kadhi, MOU hizo zinazipa taasisi za kidini misamaha ya kodi zinapokuwa zinaingiza vifaa kwa ajili ya mashule na hospitali vitu vinavyotumiwa na watu wote tofauti na mahakama ambayo itakuwa inawaudumia watu wenye imani moja. Kama MOU ingekuwa inawaruhusu wakristo kulipiwa garama za Mahakama ya Canon waislam wangekuwa sahihi kuzitumia hizo MOU kama kigezo cha kudai mahakama ya kadhi ilipiwe na serikali, vinginevyo, waislam nao waandae MOU ya kusamehewa kodi na kupewa ruzuku kwa ajili ya shule na hospitali. Serikali ikikubali kulipia mahakama ya kadhi, wakatoliki, warutheri, wasabato, walokole na wapagani nao watataka serikali ilipie mahakama zao ambazo zingine kwa sasa zipo na zinaendesha na madhebu hayo ya kikiristo kwa gharama zao. Ninafahamu kwamba mambo ya imani ni magumu na wakati mwingine ushabiki unakuwa mkubwa sana kwenye mambo hayo kuliko busara, ila kwa hili suala la mahakama ya Kadhi ninatoa rai kwa waanajamii kulitazama kwa kina na usara kubwa na JK alikuwa sahihi kwa hili
 
JK alikuwa sahihi kwasababu aliwafurahisha maaskofu ambao mahakama haiwahusu...???

Mahakama ya kadhi kuhudumia na serikali ni sawa...MoU ingefanywa kwa private campnies si wangetoa huduma kwa wote..what is so special with christians schemes??
 
ifikie tu wakati tukubali, kufanisha kanisa katoliki na uislam si sahihi hiyo canon law si iko vatican hata mahakama hizi za kadhi ziko sehemu nyingine duniani basi tuwape nafasi, cha msingi wajipange vizuri katika kuiendesha na kuitekeleza hisivuluge katiba ya nchi....
 
Wasi wasi wa nini Mbona Kenya wame accomodate katika katiba yao. Vp Tanganyika kunani?

Fahamu kuwa kama ruling zake zisipokuwa binded kwenye sheria zenu kutakuwa hakuna maana kabisa ya kuwa na mahakama za kadhi. Angalie katiba ya Znz walivyoweza kuziaccomodate au hata Kenya na nchi nyingi nyingine bila kuathiri mfumo wa sheria zao.

Lakini kikubwa kinachoonekana na CHOYO na HUSDA kwa watanganyika katika kupinga jambo pasi na kuwa na sababu muhimu.

Poleni sana.
Poleni kwenu ninyi ambao hamtafikia malengo mliyoyadhamiria hata kwa kuandamana mpaka mwisho wa dunia
 
Sasa mkuu hebu oanisha kwa uzuri kabisa, unawezaje kudai mahakama ya kadhi kwa kigezo cha Vatican kuwa na ubalozi hapa nchini? maana naona umeshupalia kweli kweli Vatican sio nchi.
Naomba uonanisha kitaalamu naamini wewe si kama shekh Ponda mropokaji without fact

Kwani nchi inafanya na kuamua mambo yake kwakuwa nchi zingine wamefanya au kila mmoja anajiamulia kwa utaratibu na mazingira yake? hatuwezi kuwa jamuhuri ya kikristo kwasababu nchi fulani wameweza
Nahiyo dini yenu hamuendi kwa imani na hiari hadi ibada hii muhimu iwe binding na sheria na kuanzishwa na kugharamikiwa na kodi za dini zote ikiwemo kodi za bia na kitimoto?
Naanza kuamini mnamatatizo na shule

Mie nakujibu hivi hoja yenu kubwa ni kuwa serikali haina dini sasa mie nawauliza swali alilouliza Aboud Jumbe (hadi nyerere akamchukia Jumbe) je kama serikali ya Tanzania haina dini ni kwa vp iende kuanzisha mahusiano ya kibalozi na Vatican (ambayo haina status ya kuwa nchi bali ni Taasisi). Jibuni hilo tu mie nitaachana na Vatican City.

Umesema sina facts Facts gani unataka zaidi ya vitabu kasome Vitabu alivyoainisha Professor Geoffrey Peterson (Judge, and Legal Historian) hapo juu kuhusu the legal status of Vatican City. Au Professor Gillian Triggs (Professor of International Laws) kuhusu Vatican City. Pia kasome kitabu alichokiandika Sheikh Aboud Jumbe (Former President of Zanzibar and University Graduate). Ni nyie ndugu zanguni ndio waropokaji msio na hoja ya msingi na facts zaidi ya udini tu thread hadi inafika ya 200 mnashindwa kujibu maswali ya msingi kwanini Mahakama ya kadhi isije na isihudumiwe na serikali na kama kigezo ni serikali haina dini basi tuwaulize Nyerere alivunja katiba kuruhusu mahusiano na Vatican City maana sio nchi ile.

Jibuni hoja wakuu muache kuropoka.
 
So mnadai mahakama ya kazi kwakuwa Vatican wana ubalozi tanzania?
 
Soma post zangu za nyuma kwanini Mahakama ya kadhi inadaiwa na yafaa ihudumiwe na serikali ila waislamu waiendeshe. Mahakama ya kadhi haivunji katiba kwani itashughulika na masuala ya mirathi, ndoa na masuala ya waislamu. Kuwepo na parallel judicial system kama Kenya ili waislamu nao wapewe haki yao kikatiba ya sheria.

Mnapodai kuwa serikali haina dini basi ni nyie watu wa kwanza kuvunja misingi hiyo ya kuwa serikali haina dini mlipojiunga na Vatican City kiubalozi. Sasa kama hujanielewa mpaka hapa basi una lako wewe. Mengineyo rudia post zangu za nyuma hasa kuhusiana na gharama za mahakama hiyo na mfumo wake.
 
Iko siku kwa lazima au kwa hekima mtachagua wenyewe...subiri tuone
daah, weye ni muumini? Hivi aya gani mtume amewaagiza muwaombe serkali wawape utaratibu wa ibada? mbona mnapooana mnaenda kwa shehe? mnapogombana na mkeo anakuzuia nani kurudi kwa kwa shehe aliyekuoza? mbona ukifa unapelekwa msikitini! ukiwa hai kilabuni! daah. kwani serkali imeanzisha uislamu? sasa iweje kodi ya wauza nguruwe alipwe kadhi? wee vipi! Hata na huo mkwala si kajilipue ukafaidi siye tutaambulia uji na maharage! acha zako hizo, baya weye!
 
mwanakijiji
Wewe ni mtu unaeheshimika sana Tanzania MIMI ni mmoja wawanaokuheshimu lakini kwa MADA zako zinazowahusu waislamu Hapo hutendi haki kabisa unaonekana wazi kulalia upande mmoja wa dini uliopo ukristo. mi nadhani hao wanaotaka mahakama ya kadhi au oic wana sababu zao za msingi kwao japo wewe unaona ni pumba kila siku mimi naongea huko uganda, kenya, n.k wamewezaje?? sisi watanzania tushindwe!!! mi nakushauri mwanakijiji ufuatilie vizuri hili la KADHI na OIC halafu ufafanue kwa kina zaidi na sight mifano kutoka nchi mbalimbali zenye KADHI na kuna OIC then toa kwenye MWANAHALISI na humu utapata majibu then utaandika final vinginevyo utajidharaulisha tunaokuheshimu pia tumo waislamu!! UISLAMU NDIO DINI PEKEE INAYOWEZA KUDHIBITI MAADILI KTK JAMII KULIKO DINI NYINGINE YOYOTE DUNINANI DINI ZINGINE ZINATUMIA MAWAZO YA WAZUNGU YA KUMPIMA MUNGU KATIKA SHERIA ZAKE.
 
Unamlaumu Mwanakijiji and then unafanya the same "mistake"
 
Mie nakujibu hivi hoja yenu kubwa ni kuwa serikali haina dini sasa mie nawauliza swali alilouliza Aboud Jumbe (hadi nyerere akamchukia Jumbe) je kama serikali ya Tanzania haina dini ni kwa vp iende kuanzisha mahusiano ya kibalozi na Vatican (ambayo haina status ya kuwa nchi bali ni Taasisi). Jibuni hilo tu mie nitaachana na Vatican City.

Umesema sina facts Facts gani unataka zaidi ya vitabu kasome Vitabu alivyoainisha Professor Geoffrey Peterson (Judge, and Legal Historian) hapo juu kuhusu the legal status of Vatican City. Au Professor Gillian Triggs (Professor of International Laws) kuhusu Vatican City. Pia kasome kitabu alichokiandika Sheikh Aboud Jumbe (Former President of Zanzibar and University Graduate). Ni nyie ndugu zanguni ndio waropokaji msio na hoja ya msingi na facts zaidi ya udini tu thread hadi inafika ya 200 mnashindwa kujibu maswali ya msingi kwanini Mahakama ya kadhi isije na isihudumiwe na serikali na kama kigezo ni serikali haina dini basi tuwaulize Nyerere alivunja katiba kuruhusu mahusiano na Vatican City maana sio nchi ile.

Jibuni hoja wakuu muache kuropoka.

Yaani na wewe hivyo vitabu vitatu ndio vinakufanya useme kuwa Vatican sio nchi?? What about all the material that says Vatican is a country? No wonder...
 
mwanakijiji<br />
Wewe ni mtu unaeheshimika sana Tanzania MIMI ni mmoja wawanaokuheshimu lakini kwa MADA zako zinazowahusu waislamu Hapo hutendi haki kabisa unaonekana wazi kulalia upande mmoja wa dini uliopo ukristo. mi nadhani hao wanaotaka mahakama ya kadhi au oic wana sababu zao za msingi kwao japo wewe unaona ni pumba kila siku mimi naongea huko uganda, kenya, n.k wamewezaje?? sisi watanzania tushindwe!!! mi nakushauri mwanakijiji ufuatilie vizuri hili la KADHI na OIC halafu ufafanue kwa kina zaidi na sight mifano kutoka nchi mbalimbali zenye KADHI na kuna OIC then toa kwenye MWANAHALISI na humu utapata majibu then utaandika final vinginevyo utajidharaulisha tunaokuheshimu pia tumo waislamu!! UISLAMU NDIO DINI PEKEE INAYOWEZA KUDHIBITI MAADILI KTK JAMII KULIKO DINI NYINGINE YOYOTE DUNINANI DINI ZINGINE ZINATUMIA MAWAZO YA WAZUNGU YA KUMPIMA MUNGU KATIKA SHERIA ZAKE.
<br />
<br />
Kwanini Uganda na Kenya wasiige Tanzani? jibu unalo! Kwa taarifa yako hakuna anaekataa mahakama hiyo wala! Nyinyi mmeshindwa kujipanga na kuianzisha? kama ndivyo basi deen yenu haijakamilika hadi mmefikia kuwaombe makaafiri wawapangie ibada zenu! Kwani kazi ya serkali ni kuchonga misalaba na kujenga miskiti?
 
sasa ngoja niwaambie wewe na wenzako wenye mawazo mgando km yako kuwa mbumbumbu sio tatizo, tatizo ni kuutumia umbumbumbu wako km wewe hapo usiojua kinachoendelea ila kukoment utumbo, km kitu huna ufaham nacho jiegeshe pemben
 
Kwanza natoa shukurani zangu kwa wana Jambo kwa maoni yao . Kuhusu swala la kadhi maoni yangu ni kua katika haki za raia moja wapo ni haki ya Imani yake, sasa Serikali ina wajibu wa kuheshimu haki hiyo kwa raia zake na huku ikihakikisha kua haki hiyo haitumiwi vibaya, sasa mimi naona sio haki wala jambo la busara kuhukumu jambo kabla hata hilo jambo halijafanya kazi zake , la muhimu ni kua Serikali itafakari na kulitazama kwa kina na kuweka sheria ambazo zitakua na manufaa kwa wenye Imani hiyo BILA kuhatarisha au kuharibu haki za wenye Imani tofauti, maana haki ya kuabudu ni ya kila raia bila kuhatarisha haki za wengine, na katika kila Imani kuna sheria zake sasa kuamini bila kufuata sheria zake inakua Imani haijakamilika .

No one is above the law😕

Ni ushauri mzuri sana Sindbad. Mimi nakumbuka katika hotuba ya Rais wetu Kikwete kule Dodoma, hakukataa kuwepo kwa mahakama ya Kadhi kwa ajili ya Waislamu, alichokisema ni kwamba inakuwa vigumu mahakama hiyo kusajiriwa na Serikali. Aliwashauri Waislam kuianzisha mahakama hiyo wao wenyewe kama Waislam na siyo kupitia Serikali ya Tanzania.

Tatizo kwa Waislamu ni kwamba, taratibu za mahakama hizo kisheria ya Kiislamu inatakiw kuwa ndani ya Serikari na isimamiwe pia na Serikari. Chanzo cha haya yote nadhani ni kwa sababu, nyakati za Mtume Mohamad dola karibu zote ulimwengu alizozishika zilikuwa chini ya utawala wa Kiislam. Kutokana na hali hiyo, ilikuwa ni rahisi Serikali kwa upande wake katika mahakama zake kuwepo pia na mahakama ya Kadhi. Kulikuwa hakuna mgogoro kwa sababu Taifa zima lilikuwa ni kama la Kiislam kama ilivyo kwa upande wa Unguja na nchi za Kiislam [Iran, Iraq, Yemen, Afghanistan, n.k.

Kenya, Afrika ya Kusini , na nchi kama hizo ambazo zina mahakama ya Kadhi, sidhani kama mahakama zake zinafanya kazi kama ambavyo Uislamu wenyewe unahitaji.

Nionavyo mimi ni kwamba, Waislamu wawe wavumilivu katika hili kwa sababu historia ya mahakama hii ya Kadhi haikuwa ivyo nyakati zake wkati ina-apply. Wakubali mabadiliko ya mazingira ya sas japo katika dini haikubaliki kuchakachua
ili kuondoa mingongano inayoweza kujitokeza ambayo ni hatari zaidi kuliko mahakama yenyewe.
Waislamu tukiwa na subira, hata hao tunaodhani kuwa ni makafiri wataweza kuupenda Uislam wetu
na pia hata mbele za Mungu tutakuwa tumefanya jambo jema.

Mazingira ya nyakati hizi za imani nyingi tofauti katika Taifa moja, yanalihukumu jambo hili la mahakama ya Kadhi.
 
Madai ya mahakama ya kadhi na OIC yamekuwa tatizo kubwa sana hapa Tanzania na mimi muda wote najitahidi kuelewa lakini sijafika hapo. Haiwezekani jambo linaloonekana rahisi liendelee muda wote huu bila ya kuwa na sababu kubwa ambayo qualification yake ni anaijua yule anayeilewa sababu hii. Waislamu wanasema mbona Kenya na Uganda wana mahakama ya kadhi na huko kuna madhara gani kama yapo ya kuogopwa? Mimi, nje ya kulifikiria kisheria, swali hili linanigusa. Pamoja na gharama, what else does the government loose, kwa maana kwamba ghaama zingeweza kuangaliwa na kuona kama ni negligible? Katika upelelezi wangu ni kweli huko Kenye na Uganda mahaka ya kdhi ipo ila ni practically non-functional bila shaka kwa sababu na pengine vile vipengele muhimambavyohavitekelelzwi ndivyo vyenye wasi wasi hapa TZ. kama watanzania ni kugharimikia utaratibu amabao ni ni zaidi pambo tu nafikiri na mimi bado niendelee kufanya utafiti, lazima kuna kitu waislamu wanakosa ila kwa wengine hakijaingia katika logic na understanding.
 
Jamani tunapo jadili jambo hili naomba tuelewe kuwa hakuna anaye kataa mahakama ya kadhi isiwepo hata mmoja,
Kinacho leta utata ni ile waislamu kutaka mahakama hii iendeshwe na serikali kwasababu tu eti Kenya na Uganda zipo na sijui kuna ubalozi wa Vatican nchini na hoja zingine zisizo na mashiko
 
Back
Top Bottom