"Itakuwaje tuanze kujadili masuala ya dini katika nchi ambayo haiongozwi kwa misingi ya dini?" alihoji Nyalandu na kuongeza:
"Serikali kimsingi hairuhusiwi kuwa na dini, lakini pia hairuhusiwi kusaidia uanzishwaji wa chombo chochote au mamlaka yoyote, yenye misingi ya dini ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania."
upande mwingine kikatiba ohhh..serikali haina dini na hivyo kusadia taasisi ya dini ni kiuka katiba, upande mwingine tena ohh serikali itoe misamaha ya kodi kwa taasisi za kidini. kigezo gani kinatumika kuzisamehe taasisi za dini wakati serikali haiana dini na kusadia ni kuvunja katiba? kwanini hizo taasisi za dini zisiwe treated kama NGO zingine? unasamehe kodi kwa kigezo cha dini au umuhimu wa kinacho ombewa msamaha?
Aliyekwenda mbali zaidi ni Nyalandu aliyetangaza nia ya kuwasilisha muswada binafsi kulitaka bunge kuzuia mjadala wa suala lolote la dini.
Nyalandu alimkumbuka Baba wa Taifa, hayati Mwalimu Julius Nyerere alipokataa lilipoibuka suala la Zanzibar kujiunga na OIC
Sasa na hawa wa Zenji hoja yao ya kujiunga na OIC wapeleke wapi kama siyo bungeni? au waachiwe waamue wenyewe kwenye baraza la wawakilishi? Hivi Nyerere amekuwa marking scheme ya kila kitu? cant we think beyond Nyerere? Kipindi cha utawala wa Nyerere, Tanzania ilikuwa kama North Korea na akili za waTZ wengi zilikuwa zimeganda kama zawanorth Korea vile, every thing is Mr. Kim. Tanzania imebadilika, utawazuia vipi watu kujadili masuala yao ya msingi?