Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

Kama chama mbadala na chenye nguvu msimamo wao ni lazima ujulikane. Hatuwezi kuwa na chama kinachotarajiwa kishike nchi siku moja halafu kwenye mambo ya msingi wanakaa kimya.

Hata kama ni msimamo ambao hautawafurahisha wote ila lazima ujulikane. Nafikiri hii ni ishu nzuri ya kuonyesha maamuzi yao ya aina nyingine
 
Kama chama mbadala na chenye nguvu msimamo wao ni lazima ujulikane. Hatuwezi kuwa na chama kinachotarajiwa kishike nchi siku moja halafu kwenye mambo ya msingi wanakaa kimya.

Hata kama ni msimamo ambao hautawafurahisha wote ila lazima ujulikane. Nafikiri hii ni ishu nzuri ya kuonyesha maamuzi yao ya aina nyingine

Mnataka kujua msimamo wa CHADEMA (chama mbadala)...fuatilieni michango ya Padre Dr Mh Slaa alipokuwa akichangia hoja hizi tangu zilipoibuka na jinsi alivyokuwa mkali kwenye isue za misamaha ya kodi na alipogeika bubu kwenye issue hizi..........

oh! some time silence speaks alot baba
Kingwele.
 
Chadema wana sera zao kama Chama .Nimesoma katiba ya Chadema hata katika ahadi zake kama wakichukua Nchi hawakusema wanaungana na kuanzishwa mambo ya kidini wakati Tanzania ni ya wote .So naunga mkono ukimya wa Chadema kwenye sera ya CCM , CUF ,a chama cha Mrema .

Slaa kuwa mbogo ina maana hujaona makanisa yanavyo saidia wananchi kwa maswala ya afya nk ?
 
Mdhihiri haogopi mahakama ya kadhi wala kukatwa mkono. kwa sababu yeye hana mkono. anataka watu wa kuwa nae sare sare..WAONGEZEKE!

Silent what a comment hahahaha . natoka hapa maana naona unawasha moto .Kanda 2 mbona una think so low like this vipi ?
 
Hapa hatuzungumzii ushoga. Kama unataka tuzungumzie hilo wewe anzisha thread hiyo tuwape ukweli chanzo cha ushoga na dini ipi inaruhusu hata kwenye vitabu vyao.
Usitake kupotosha mjadala hapa.

Mwaka juzi kanisa lilifanya mkutano mkubwa Dar Es -Salaam na Zanzibar ulikuwa mkutano wa kimataifa wa kujadili haki za mashoga kanisani.

mwaka jana mkutano umefanyika Lambeth Uingereza ulishirikisha maaskofu wa dunia yote kuingiza ushoga kanisani.

Nchi nyingi za kikristu zimeruhusu LESBIAN & GAY kuoana.kama Marekani na Uingereza.
kuna mmoja nchi ya kikristu una mashoga laki tatu.
lete lingine?
 
kama sheria zilizopo za kitaifa haziwatosherezi waislamu katika
ina maana dini yao haifai na ina matatizo inawabidi wabadili
dini wawe wakristo au wasiwe na dini kabisa lakini hatutaki
ubabaishaji nchi hii sio lazima kuiga kila jambo hata kama ni la
kipumbavu.

waislam hawaigi kitu au jambo la kipumbavu,umewahi kusikia masheikh wanalilia haki za mashoga msikitini?unakumbuka mkutano wa kanisa kujadili ushoga mwaka juzi?
 
Ulipojiita kanda mbili ulikuwa sahihi maana upeo wako ni mdogo kweli.
Hivi kweli hapa unaweza kujua kila mwanachama ni nani just depending on his/ her posts?
Umenoa mimi si Lwakatare, ila Lwakatare namfahamu sana. Kama ni kujaribu, jaribu tena🙂
si kila mwanachama ila wewe nakujua.
namjua MPAKA KIELEWEKE nae namjua kijana kada wa Chadema ni PM nikutajie.
 
Hii yote ni janja ya Kikwete kutaka kuigawa nchi ili watu wajadili dini badala ya ufisadi. Usishangae kuwa GT na wapambe wake ndio wanaendeleza sana hiii mijadala ya kidini hapa JF
 
waislam hawaigi kitu au jambo la kipumbavu,umewahi kusikia masheikh wanalilia haki za mashoga msikitini?unakumbuka mkutano wa kanisa kujadili ushoga mwaka juzi?
Nyie waislamu weusi mbona mmeiga kila kitu kutoka kwa waarabu? Utamaduni wote wa mwarabu ni wenu. Mnatofautiana na mwarabu kwa rangi tu. Lakini ndani mwenu mu waarabu tupu. Kwanza kwa taarifa yako, duniani hakuna mashoga waliokubuhu kama waarabu. Wanawazidi kwa mbali wazungu. Ila waarabu wanajificha kwa kuogopa kupigwa mawe au kukatwa mikono. Wazungu wako wazi. Lakini mashoga wa uhakika wako nchi za kiarabu. Tembelea mashoga wa dar na Tanga waulize majina yao ya awali watakuambia wanaitwa kina nani!
 
Waarabu they do have primitive life na Uislam wao .Wanafiki wale hujazana kwenye hotels Ulaya wakikimbia kufunga ramadhani huko kwao.In the Arab world they have very shocking life .Research iliyo fanywa na red cross imebaini kwamba waarabu wana zalia ndugu kwa ndugu kwa kuwa sheria zao ni ngumu .Wanaume wengi ni vichaa na mashoka maana hadi miaka 30 someone is single hamjui mwanamke akimpata anambaka akishindwa anavaa mabomu anajilipua .Ndiyo maana wanauana kwa mabomu huko Iraq hadi sasa with no reason.

Rejeeni kitabu cha Satanic Verses utaona Muislam mwenzenu aliamka na kusema ukweli .
 
Hoja hii imechukua muda sasa tangu kwa mara ya kwanza ipelekwe bungeni kwa ajili ya kujadiliwa.Kitu gani kilikuwa kigumu hata kuifikisha wakati huu?
 
Hoja hii imechukua muda sasa tangu kwa mara ya kwanza ipelekwe bungeni kwa ajili ya kujadiliwa.Kitu gani kilikuwa kigumu hata kuifikisha wakati huu?

Ipelekwe bungeni au msikitini?
 
Ipelekwe bungeni au msikitini?

Sure man, ipelekwe Msikitini ijadiliwe na waumini wake, waiunde Mahakama ya Kadhi kwa gharama zao (siyo za Serikali, kwani hiyo ni kodi yetu sote, isipendelee dini moja), kwa utaratibu wao, na bila kuathiri Katiba ya Nchi.
 
Mkuu na mimi naona nina kila sababu ya kulijadili hili sakata mahakama ya kadhi na OIC kwa kusema ukweli bila unafiki ni kwamba kwa mwenye akili na anyeitakia mema nchi hii ya TZ na ambaye ni mtafiti na mfuatiliaji wa mambo hawezi kuamini kuwa tz haina dini kama wengi wetu wanavyoamini na kuhubiri kwa manufaa ya kuhalalisha hali halisi iliyopo kwa manufaa yao.Ukweli ni kwamba waislamu nchi hii ni wengi sana na wanaendelea kuwa wengi na wataendelea kuwa wengi kwa sababu kwanza wao katika imani yao hawatumii uzazi wa mpango kama huu unaotumika wa vidonge na n.k.
Lakini kwa wingi wao huo ukienda katika mashule ya msingi ni wengi lakini wanapungua kadiri unavoenda elimu ya juu tena wanapungua kwa kiasi kikubwa sana kiasi kwamba huko vyuoni ni kama 7% ya wanafunzi vyuoni huu ni ukweli na sisi wengine tumesoma sekondari na vyuoni tumeyaona haya kwa macho yetu na wewe jaribu kulichunguza hili unikosoe kama nasema uongo.Maswali ninayojiuliza hali hii inasababishwa na nini je ni kweli kwamba hawasomi wanapokuwa mashuleni au hawaendi shule au hawaelewi wanaposoma na kama ni hivyo kwanini itokee kwao tu na wakati dini yao inawasisitiza ilimu hadi mtume wao aya ya kwanza aloshushiwa na m/mungu ni kusoma.Haya mia yananipa majibu yanayofanana na malalamiko yao ya muda mrefu kuhusu upendeleo mkubwa uliopo katika baraza la mitihani ndiyo maana katika fomu mbalimbali za kumaliza shule kuna kipengele cha dini au wewe unahisi ni cha ni i kama serkali haina dini inahitaji kuja wewe ni dini gani wakati wa selection kwa ajili ya nini?
Kwa upande wa mahakama ya kadhi na OIC kuna dhehebu moja limesainishana mkataba na serikali unaoitwa MEMORANDUM OF UNDESTANDING siandiki tu mambo hewani huo mkataba nimeusoma vizuri nikuelewa unaonyesha serikali inavyoegemea dhehebu moja kubwa katika huduma za jamii kwa kuwalipa wataalamu madaktari lecturers wa vyuo vya mashirika ya kidini yanayomilikiwa na madhehebu hayo makubwa ya dini mfano hospitali ya bugando na mengine mengi Je huu si uvunjivu wa katiba mnayoitetea.ili kuwe na uwazi serikali itoe ufafanuzi wa MKATABA WA MEMORANDUM OF UNDERSTANDING ULIOSAINIWA KATI YA SERIKALI NA MADHEHEBU MAWILI MAKUBWA YA DINI KWA AJILI YA KUTOA UPENDELEO KATIKA HUDUMA ZA JAMII KAMA ELIMU AFYA NA matokeo yake ndiyo haya tunayoyaona kwamba waislamu wanalalamikia usiri huu vinginevyo ni vigumu kuwaambia waislamu wanaoelewa na kufuatilia mambo kuwa serikali haina dini
BASI NA WAO WAPEWE MAHAKAMA YA KADHI NA IGHARAMIWE NA SERIKALI
huo ndiyo ukweli halisi mkuu
 
Sikiliza muheshimiwa... mi nafikiri Dira na lengo hasa la JF ni kuelimishana na kujadili yale ambayo yatajenga... sasa ili hilo lifanikiwe basi tusiwe WANAFIKI unajua ni bora kuwa una roho mbaya kuliko MANAFIKI....no offence wala hard feeling... lakini ningependa kama unataka kitu kijadiliwe kwa mapana na uelewa kwa ajiliya kutafuta ufumbuzi ni bora uweke wazi.. wee andika kila kitu pia njoo hata na reference flani flani ili hata tutakao toa maoni tuweze kujua hoja yako imelalia wapi... feeel freee kaka.. sio unaongea vitu nusu nusus kwa kuficha.. if u r not that type of man the u dnt belong here..


sasa weka kila kitu wazi.. huo mkataba sio siri na hayo madhehebu sio siri kama ni kwamanufaa ya umaa kwanini tuongelee vitu vilivyo nusunusu.. huwezi jua kuweka kwako wazi kutasaidia kupata ufafanuzi kutoka kwa watu wengine wanaojua vingine

kumbuka NO ONE CAN MAKE YOU A VICTIM WITHOUT U R OWN CONSENT

So SHUT IT OUUUUT!!!
 
Naomba kuuliza: Hiyo Mahakama ya Somalia iliyomhukumu mwanamme kupigwa mawe hadi kufa ni ya Kadhi? Kama mtakavyokuwa mmeona kwenye BBC, hukumu imeshatekelezwa. Ila nyumba ndogo ya mhusika ameachwa mpaka azae kwanza.
 
hoja zenu zimejaa udini, kila tu avutia kwake kaazi kwelikweli
 
hoja zenu zimejaa udini, kila tu avutia kwake kaazi kwelikweli

CCM safari hii wamekuwa wajanja kidogo kwani jana kamati kuu wamekubaliana suala la Mahakama ya kadhi lisiwemo kwenye manifesto yao kwa ajili ya uchaguzi wa mwaka huu
 
Back
Top Bottom