Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

chuma kubadili jina la mke na kutumia jina la mumewe si kupeza haki. Hii ni mojawapo tu ya kuonyesha strong bond kati ya wanandoa hawa. Kwa maana katika ukristo ukioa umeoa hakuna kurudi nyuma. Waislamu kutobadili majina ya wake zenu usione kuwa mnawapa haki bali ni kwa sababu talaka ziko nje nje, sasa mdada/mama wa watu atabadili majina mara ngapi kama anaolewa na kuachwa kila mwaka?

Unaposema kuwa quran imejaa haki za mwanamke si kweli kwani hata mahakama ya kadhi kazi yake ni kumgandamiza mwanamke katika mambo ya mirathi no maana wanaume mmeishupalia sana. Sharia inampendelea mwanaume tu kwani tumeona huko nigeria wanawake wanaopata mimba nje ya ndoa wanahukumiwa kifo wakati mwanaume aliyempa mimba yuko mitaani anakula kuku kwa mirija. Iko wapi haki hapa?

heri wewe umesema kuliko wanaokaa kimya! Umshukuru mungu hukuzaliwa kwenye familia ya kiislam vinginevyo hata shule ukisoma vipi uwezo wa kufikiri hutapata. Tumeona wahadhili wengi tu wa kiislam wanatoa hoja kama mtu wa manzese!
In short kizazi cha kiislam kilishalaaniwa na hapa kazi ipo kwa sasababu wao wenyewe hawaelewi kuwa wamelaaniwa na ukiwaambia ukweli jazba kibao!
 
Kadri watu wanavyo zidi kuyapinga masuala ya mahakama ya kadhi na waraka wa kikatolik ndivyo yanazidi kupata nguvu toka upande unaotetea.

Mahakama ya kadhi
Wakristo wamejikita kwenye katiba ya nchi na pesa za walipakodi kuhakikisha mahakama ya kadhi inakwama.
waislam wamejikita kwenye imani kulipigania suala la mahakama ya kadhi. kwa hiyo kadri linavyo pamba moto ndivyo watu wengi watajitoa mhanga kulipigania hata ikiwa kufanya hivyo Tanzania kusambaratika kidini...after all, ukifa ukiwa unapigania dini yako, kwa uislam ni heshima...malumbano ya sasa yanawapa nguvu zaidi vijana wa Osama, huenda wanaomba watu waendelee kubishana ili watengane, then unamwaga zana....suala la kadhi kama wangeli handle vizuri from the very beginning tusingefika hapa tulipo.

Waraka wa wakatiliki
Kadri unavyozidi kupingwa sana hasa na viongozi wa juu wa serikali au dini nyingine, ndio kana kwamba wanautangaza zaidi na utawapa akina Kilaini cha kusema.. Pamoja na kwamba walioutunga au wakatoliki watakuwa ndio wanajua vizuri sababu za waraka wao, kuna njia nyingi tu za kuufanya ukajizima wenyewe kimya kimya, afterall, siasa za siku hizi ni pesa yako au jina, ukiwanazo ubunge utaupata tu. bandika mawaraka yako kila kona lakini wabongo wanaangalia mshiko ama jina au kujuana.

Magazeti
Magazeti yamefanya kazi nzuri sana ya kuwaamsha wa TZ na kupigania haki za wananchi kuliko chama chochote cha siasa. lakini pia kama damu itakuja mwagiza Tanzania, most likely magazeti yatakuwa yameplay big role...magazeti is second to government lazima nao wawe makini katika uandishi wao hasa kwenye mambo sensitive kama udini, otherwise, it will cost very body.
 
Chuma kwanza kuzunguka kwangu Dunia sijawahi kupanda ndege ya mwarabu ama inayo pita uarabuni nikashuka hata kubadili ndege .Sina hakika kwamba nataka kufanya hilo pia .I f can fly direct I will always do that ikitokea nina connection basi iwe within Ulaya .

I tried once mwaka 1996 nika drop Egypt sitafanya kosa tena .Nadhani usiumie sana juu ya mimi kusema maeneo na sitafanya utakavyo .Sihitaji sifa ya kwenye forum ila hapa hapa wako wanao jua ukweli huu .Mkuu nikisema niko Kigoma huwa naamanisha hata Masatu mpinzani wangu sana lakini analijua hili .When I met this guy kule Munich it was last year March akiwa kwenye boarding ya Utalii , hii haiwezi kunizuia kusema kitu cha ukweli na si kwamba nikiwa mfano Mtwara leo ama airport nikiwa na access ya internet nitashindwa kusema hili .Ukiona mtu anawaona wenzake waongo basi ujue ni muogo lakini si kila mmoja huongopa .Next nikisema niko mahala fulani omba simu unipigie nikupe yanayo jiri hapo kaka .

Maisha ya waarabu na wanawake ni aibu siwezi kusema hapa ila narudia namuunga mkono Nyalandu kwa hili kwa mara ya kwanza .Mimi huwa sikubaliani na wa CCM kirahisi lakini wakisimamia ukweli basi haki wapewe .Maandiko kitabuni ni jambo moja lakini kufuata yaliyo andikwa ni jambo jingine .Karibu uarabuni uone kama kuna haki ya mwanamke kutembea kichwa wazi ama kuvaa suti kawaida bila kufunika kichwa na hata kuendesha gari nk .

Kuvaa suti Mwanamke ndio maendeleo kwako?BENAZIR BHUTTO amesomeshwa chuo kikuu cha OXFORD na akapewa uwaziri mkuu wa PAKISTAN nchi ya kislaam.

Bangaladesh nayo ni nchi ya kiislam hivi sasa kiongozi wao ni sheikha Hasina mwanamke na nchi hiyo ina waislam zaidi ya milioni 130.
Hadi miaka ya 1800s wanawake wa Uingereza walikuwa hawaruhusiwi kupiga kura au kumiliki nyumba.

MASHIRIKA YA NDEGE KAMA EMIRATES LIMEKUWA SHIRIKA BORA KWA MIAKA MITANO MFULULIZO LIKIYAACHA MASHIRIKA KAMA BRITISH AIRWAYS, KABLA YA QATAR KUCHUKUA KWA MIAKA HII MIWILI NA KUYAACHA MASHIRIKA KAMA BRITISH AIRWAYS,SWISSAIR,KLM ETC KAMA HUJUI ULIZA.

TIMU ZA MPIRA KAMA CHELSEA NA ARSENAL ZIMEFADHILIWA SANA NA EMIRATES JEE NAZO HUZITIZAMI KWA VILE MFADHILI WAO NI MUARABU?EMIRATES WAMEWAJENGEA ARSENAL UWANJA WA MPIRA WA KISASA.KWANINI BRITISH AIRWAYS IZIDHAMINI UJENZI WA UWANJA WA TIMU YA UINGEREZA KAMA ARSENAL?

LEO MCHEZAJI ADEBAYOR WA ARSENAL AMENUNULIWA NA MACHESTER CITY KWA POUNDS MILIONI 25 NA SHEIKH MANSOUR AMBAYE AMEINUNUA TIMU YA MANCHESTER CITY,AMEMSAJILI ROBINHO KWA POUNDS MILIONI 32,TEVEZ KWA 25-30 MILIONI, LEO ADEBAYOR.

huyo Mbunge wako Lazaro hana hoja si ilikuwa kazi yake kuwahadaa wasichana wanaoshiri MISS TANZANIA hadi pale alipompa mimba FARAJA KOTTA( MISS TANZANIA 2005)na kulazimishwa kumuoa.
 
Last edited:
heri wewe umesema kuliko wanaokaa kimya! Umshukuru mungu hukuzaliwa kwenye familia ya kiislam vinginevyo hata shule ukisoma vipi uwezo wa kufikiri hutapata. Tumeona wahadhili wengi tu wa kiislam wanatoa hoja kama mtu wa manzese!
In short kizazi cha kiislam kilishalaaniwa na hapa kazi ipo kwa sasababu wao wenyewe hawaelewi kuwa wamelaaniwa na ukiwaambia ukweli jazba kibao!
wewe naona umekuja kutukaNA kama wahusika wanafanya kazi yao kwa umakini unatakiwa kufungiwa,kwani kukaa manzese ni kosa?
 
Last edited:
Chuma kubadili jina la mke na kutumia jina la mumewe si kupeza haki. Hii ni mojawapo tu ya kuonyesha strong bond kati ya wanandoa hawa. Kwa maana katika ukristo ukioa umeoa hakuna kurudi nyuma. Waislamu kutobadili majina ya wake zenu usione kuwa mnawapa haki bali ni kwa sababu talaka ziko nje nje, sasa mdada/mama wa watu atabadili majina mara ngapi kama anaolewa na kuachwa kila mwaka?

Unaposema kuwa quran imejaa haki za mwanamke si kweli kwani hata mahakama ya kadhi kazi yake ni kumgandamiza mwanamke katika mambo ya mirathi no maana wanaume mmeishupalia sana. Sharia inampendelea mwanaume tu kwani tumeona huko Nigeria wanawake wanaopata mimba nje ya ndoa wanahukumiwa kifo wakati mwanaume aliyempa mimba yuko mitaani anakula kuku kwa mirija. Iko wapi haki hapa?

Kaka mazingira...Wewe Hujui Jina ndio Haki ya Kwanza ya Mwanadamu?...Eti unaita Bond....kam ni Bond Mboni Huitwi kwa Jina la Mkeo? Kafute Matongongo bro!!!

Kwako wewe Talaka si Haki? Umefundishwa Mkichukiana basi muendelee tu...?

Sasa Mahakama ya Kadhi kama inamgandamiza mwanamke yupi? na wapi?
 
Kuvaa suti Mwanamke ndio maendeleo kwako?BENAZIR BHUTTO amesomeshwa chuo kikuu cha OXFORD na akapewa uwaziri mkuu wa PAKISTAN nchi ya kislaam.

Bangaladesh nayo ni nchi ya kiislam hivi sasa kiongozi wao ni sheikha Hasina mwanamke na nchi hiyo ina waislam zaidi ya milioni 130.
Hadi miaka ya 1800s wanawake wa Uingereza walikuwa hawaruhusiwi kupiga kura au kumiliki nyumba.

MASHIRIKA YA NDEGE KAMA EMIRATES LIMEKUWA SHIRIKA BORA KWA MIAKA MITANO MFULULIZO LIKIYAACHA MASHIRIKA KAMA BRITISH AIRWAYS, KABLA YA QATAR KUCHUKUA KWA MIAKA HII MIWILI NA KUYAACHA MASHIRIKA KAMA BRITISH AIRWAYS,SWISSAIR,KLM ETC KAMA HUJUI ULIZA.

TIMU ZA MPIRA KAMA CHELSEA NA ARSENAL ZIMEFADHILIWA SANA NA EMIRATES JEE NAZO HUZITIZAMI KWA VILE MFADHILI WAO NI MUARABU?EMIRATES WAMEWAJENGEA ARSENAL UWANJA WA MPIRA WA KISASA.KWANINI BRITISH AIRWAYS IZIDHAMINI UJENZI WA UWANJA WA TIMU YA UINGEREZA KAMA ARSENAL?

LEO MCHEZAJI ADEBAYOR WA ARSENAL AMENUNULIWA NA MACHESTER CITY KWA POUNDS MILIONI 25 NA SHEIKH MANSOUR AMBAYE AMEINUNUA TIMU YA MANCHESTER CITY,AMEMSAJILI ROBINHO KWA POUNDS MILIONI 32,TEVEZ KWA 25-30 MILIONI, LEO ADEBAYOR.

huyo Mbunge wako Lazaro hana hoja si ilikuwa kazi yake kuwahadaa wasichana wanaoshiri MISS TANZANIA hadi pale alipompa mimba FARAJA KOTTA( MISS TANZANIA 2005)na kulazimishwa kumuoa.
....Duh Hii ya Faraja Kota nilikuwa siijui...Lazaro anahofia Mahakama ya Kadhi as if itakuja kumuibua...?
Mh.Lazaro hii Mahakama na OIC havikuhusu...

Endelea kuwa mshabiki wa Mashindano ya Mamiss!!!
 
Hiyo mahakama ikiwepo au isiwepo Waislamu watahamisha kura zao na kuzipeleka wanapopajua wao ,wameshaaamka na harakati za upande wa pili na shughuli zinzofanywa nyuma ya pazia.
 
Hakuna cha mapanzuko 2010,kiti ni cha CCM mpaka mwisho wa dunia, hivi watanzania hamuoni kwamba hatuna mtu wa kuchagua?Mbona mna kuwa na matumaini haba kabisa.Ebu angalia vyama pinzani wameshindwa kujipanga hata tukawa na kiongozi wa kuchagua, inabidi tuchague CCM kabisa hatuna jinsi hata siku moja, "tulie tu mpaka Yesu arudi".
Siasa ni mchezo mchafu, hata hawa jamaa wako upinzani wote ni sisiemu tu, wanachezea wananchi, kwamba wako upinzani kumbe hakuna lolote, upinzani gani ambao watu wenyewe hawaelewani, ukiwambia kuungana wanakimbia kama hawana akili nzuri.
Ni hayo tu
 
Kuna issues zitasemwa lakini si hii ya upande mmoja kila mara Uislam , Waislam, OIC , Kadhi , kuonewa waislam nk now way .Ndiyo maana Makinda alikanyaga mafuta leo na kumwacha Mdhihiri analia lia .Hii ni ishara kwamba watu wamechoka kupindishiwa hoja .Kesho kadhi watasema mtoto wa Mdhihiri kaiba akatwe mkono yeye atakubali ?Wakubaliane pembeni huko na si kutuhusisha sisi .

Sikutegemea mtu kama wewe mpaka sasa bado hujaijua hiyo mahamaha ya kadhi inayotakiwa hapa nchini siyo ya kukata wa watu mikono!shame!!
 
Hiyo mahakama ikiwepo au isiwepo Waislamu watahamisha kura zao na kuzipeleka wanapopajua wao ,wameshaaamka na harakati za upande wa pili na shughuli zinzofanywa nyuma ya pazia.

Hayo mawazo ya kadhi na OIC ni mawazo ya mashehe na baadhi ya viongozi wa waislamu lakini umma mkubwa wa waislamu hawapendi hayo mambo kwani waliona kilicho tokea somalia na ukizingatia kwamba akina salehe ni mashuhuli kwa wizi wa kuku, je wako tayari kukatwa unyayo?

Kwa muislamu aliye elimika asinge shabikia kadhi kwani ni mwanzo wa sharia law.
 
Bro Lunyungu Yapasa Ukue...Wewe ni mzoefu hapa JF...Unaandika kama Bata?...Weka basi paragraph uwe proffessional...hata kama waandika "makanjanja"....Fuata kanuni muhimu za kiu-andishi..Haraka ya Nini Mkuu?...Pia Hatuna chama cha KAFU...tunacho CUF....sasa sijui umefanya makusudi au haraka zako au...?

Chadema hawana haja kuwa neutral...either wakae ktk Kundi la wenye kufanya dhulma au wawe upande wa anaedhulumiwa wamtetee...!!!

Rejea kauli ya Desmond Tutu...nainukuu...
""If you are neutral in situations of injustice, you have chosen the side of the oppressor. If an elephant has its foot on the tail of a mouse and you say that you are neutral, the mouse will not appreciate your neutrality". Desmond Tutu...

Sasa kazi kwako na uliowapa Ushauri!!!

sasa wakipata nchi Vertican wataiondoa kwani ni ubalozi wa vertican ni udini mtupu
 
Hapa hakuna ukweli ispokuwa Wabunge hao wapo hapo kuhakikisha mikakati ya Wakiristo kupinga na kuzizuia hoja za Waislamu inafanikiwa.

Nasema hivyo kwa sababu kama Wabunge hawa si waongo basi watakuwa ni wanafiki wa kutupwa ndani ya siasa za Tanzania ,hii inatokana na wao kuitetea na kuona KATIBA ya NCHI HII inavunjwa ,ilihali KATIBA hii sio imevunjwa tu bali imevurugwa na haifuatwi kabisa ,ipo tu na kuwepo kwake kunafaidisha baadhi ya mambo kama walivyofanya na kuinukuu juu ya kupinga mambo yahusuyo dini ya Kiislamu ,Katiba kwao wao itatumika kusitisha na kusimamisha mambo ya Kiislamu ,kwa wakati huo wataiona KATIBA ndio ya kufuatwa na kuabudiwa kwa hali na mali.

Sasa wabunge hawa vichwa maji kama kweli wanailinda KATIBA na ni wafuasi wa Baba yao Nyerere ,waende kaburini kwa Nyerere wakamlilie ,kuwa KATIBA ya Nchi inavunjwa.

Sasa mimi sitataka kuingilia hayo mambo ya kidini ,najua kabisa kuwa Tz haina dini ila wananchi wake ndio wamo ndani ya dini ,mimi ninatatizo na hawa wabunge wanaokuja na kujiweka kimbelembele kuwa ukifanya hivi au vile unavunja KATIBA.

Uchaguzi wa Tanzania unasemwa unaendeshwa kwa kufuata KATIBA ,malalamiko mengi yametolewa na vyama vya upinzani kuwa KATIBA inavunjwa katika kuendesha uchaguzi huu ,hivi Wabunge hawa wanakuwa wapo wapi ? Kama huu wanaouonyesha sasa si unafiki ni kitu gani ? Ukiangalia sana utaona kuwa wao ndio wanaotaka kuigawa jamii ,hiyo ya Kadhi na OIC ni mikakati katika sera zao na wao ndio wenye kuongoza nchi hivyo wapo katika kutimiza sera zao ,waachwe kama walivyo.

Kama wanavunja KATIBA ni CCM ndio wanaovunja katiba kwa kuruhusu mambo ya kidini ,aidha wangenifurahisha sana kama wangedai zile jumuia zote za kidini zilizojifunga na serikali zivunjwe mara moja na serikali isijihushe nje wala ndani ya nchi.Na yeyote anaeleta harakati za kidini na kutaka kuihusisha Serikali ni adui wa Nchi hii.

Katika Nchi hii KATIBA iimevurugwa na haifuatwi kikamilifu ,maandamano ni haki ,kuandikisha uraia ni haki ,leo hii wananchi kwa maelfu wameshindwa kupata vitambulisho vya uraia kule Zanzibar ,hilo hawalioni maana KATIBA inavunjwa lakini wao wamenyamaza kimya (Iwe KATIBA ya Zanzibar lakini ni ndani ya Jamhuri ya Muungano)

Hawa wanaweka ngumu kutokana na mikakati ya kanisa ambayo imo ndani ya waraka uliokamatwa Zanzibar ,kuzima mambo ya Waislamu kwa kutumia vyombo vya serikali na si kulinda KATIBA wala kulinda amani iliyopo ,na huyo aliesema kuhusu madereva kuwa haikutanjwa dini ya kiislamu inaonyesha akili yake ni finyu,sijui amepataje cheo hicho cha Unaibu.
 
Hayo mawazo ya kadhi na OIC ni mawazo ya mashehe na baadhi ya viongozi wa waislamu lakini umma mkubwa wa waislamu hawapendi hayo mambo kwani waliona kilicho tokea somalia na ukizingatia kwamba akina salehe ni mashuhuli kwa wizi wa kuku, je wako tayari kukatwa unyayo?

Kwa muislamu aliye elimika asinge shabikia kadhi kwani ni mwanzo wa sharia law.

muisla alielimika yupi huyo? acha ujinga sio kama mkiristo wanaopigania ushoga. waislam wote wenye kujua wapi watafika siku ya malipo wanataka mahakama ya kadhi. lkn akina Nyie wanafiki, wapenda starehe, waongo, wajinga na wapumbavu ndio msiotaka mahakama ya kadhi
 
Unajua hapa watu watasingizia -au hata kuamini kwa dhati kabisa- kwamba wanataka kuzima mjadala huu bungeni kwa sababu za "national interest".

Lakini deep down -either consciously au subconsciously- wanajua it is all about ubabe, it is all about totalitarianism, all about suppression of opinions and discussion, kuto tolerate different views etc.

Huyu Nyalandu historia yake suspect, ni mmoja wa watu waliopata ubunge kwa kujikomba kwa kina Sumaye na Mkapa. Kwa hiyo watu tunaojua kuusoma mchezo tunona hawa ni wabunge vibaraka wa the executive wanakuja kwenye bunge kuleta totalitarianism ya executive.Executive wajanja wanajua kuliingilia bunge kwa sana kutavunja checks and balances na probably kuleta backlash, sasa wanawatumia wabunge vibaraka kuvunja hii kanuni ya kati kabisa ya trinity ya state.

Nyalandu anataka kuleta muswada utakaotoa/zidisha precedent ya Zitto Kabwe kuzuiwa kuongelea ufisadi.Wanaanza pole pole hawa, hawana mpaka hawa.Nyerere alisema sumu ya ubaguzi haina mwisho, ukibagua kwa rangi, utakuja kubagua kwa kabila then ukoo then familia katika ukoo utabagua mpaka katika familia yako -tumeona haya yalivyotokea Somalia-. Mimi nasema hii sumu ya totalitarianism ya kukataza bunge kuongelea vitu nayo ina tabia kama hii, haitaishia kwenye maswala ya dini, wataileta katika mambo mengine mpaka hili bunge letu butu litkuwa kimya kabisa.

Tusiruhusu hili litokee.
 
Nyalandu anajulikana ni mdini sana na fanatic wa kilokole.

Asichokijua yeye ni kuwa sheria ni msumeno,...haya ya waislam yatapita, ila yatapokuja ya upande mwingine asije kugeuka. Kama anajua kulinda sheria na katiba ilkuaje aliwatetea wapentekosti wa DECI wakati walikua wanavunja sheria na upatu wao na mpaka leo wapo ndani. Au sheria na katiba kwake havina maana vinapogusa maslahi ya walokole wenzake?

Cheap shot as anaongozwa na chuki kwa waislamu na ndio maana akaipakazia dini kwa mambo asiyoyajua, eti wanawake hawaruhusiwi kuendesha gari!... chuki tu! atawapata walokole wenzake na macrusader wenzake huko kwenye vigango vyao.

Kaka nakubaliana nawe kabisa kuwa unapoona kina NYALANDU wanalia udini ujue kumekuchwa. Huyu jamaa mwenye kupenda kujivika kilemba cha ulokole wakati ni mchafu wa kutupwa ni MDINI nambari wani nchini. Inaelekea kweli mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu.

Huyu jamaa anaendesha siasa zake kwa UKUWADI wa maadui wa maslahi ya Watanzania. Alikuwa KUWADI wa maslahi ya Mkapa kupitia kwa mkewe halafu akageuka kuwa KUWADI MKUU wa maslahi ya Waisraeli na pia maslahi ya WAKRISTU WENYE MSIMAMO mkali huko marekani (EVENGELICALS) kwa miaka kadhaa sasa. Huyu ndiye aliyekuwa KUWADI wa Ma-Neoconservatives wakati wakiwa madarakani US. Ilifika wakati hata system haikuwa mbali naye kila wakati.

JK aliposhinda kwa jinsi anavyojidanganya akafanya bonge la party akifurahia kuwa waziri wa mambo ya nje..yaani UDINI wake unamfanya aone kuwa JK ni mjinga wa kutupwa kumpa yeye nafasi hiyo ama nyingne yoyote zaidi ya ukuwadi wake ambako JK amekuwa akiendela kumtumia pia.

Ni wazi kuwa huu ujanja wa tabaka tawala kutumia siasa za kuwagawa watanzania kuua ajenda ya "UFISADI" ndio zinashika kasi huku zikipanda "MBEGU ZA MAANGAMIZI KWA TAIFA" ambazo daima hazitafutika. Kama Zanzibar wameshindwa kufuta mbegu za maangamizi ya kijamii tangia 1960's yapaswa tutambue kuwa hizi chuki tunazozipanda sasa kwa manufaa ya 2010 kamwe hazitaondoka zaidi zitaendelea kushamiri.

Ukitaka kujua unafiki wa huyu jamaa angalia anapojaribu kumtumia MWALIMU kuhalalisha hoja yake ilhali yeye ndiye adui mkuu wa misingi ya UTANZANIA ambayo iliwekwa na MWalimu. Huyu jamaa anapenda mali, huyu jamaa ni kuwadi wa wakandamizaji wa haki za wapalestina, huyu jamaa ni kuwadi MAFASHISTI wa marekani na mataifa ya magharibi, huyu jamaa ndiye kwa mara ya kwanza alianzisha sherehe za kuanzishwa kwa taifa la Israel lenye nia ya KUWA TAIFA LA KIDINI LA WAYAHUDI kitu ambacho kwa misingi ya Mwalimu kilikuwa ni mwiko hadi hapo Wapalestina watakapopata haki yao ya kujitawala wenyewe katika ardhi zao halali, huyu jamaa ndiye kiungo mkuu wa MASLAHI ya WAKRISTU WENYE MISIMAMO MIKALI ambayo sasa inaonekana wazi kuwa SIASA KALI, huyu jamaa ndiye alikuwa kuwadi wa mchakato wa WIZI wa mali za watanzania uliokuwa ukifanywa na MAMA MKAPA, na mengine mengi ambayo yanadhihaki kabisa misingi ya UTANZANIA kama ambavyo Mwalimu Nyerere alitumia maisha yake yote kuijenga na kuilinda hadi akielekea kaburini...

Kuingia kwa huyu jamaa kwenye mjadala huu ni dalili tosha kuwa tunapoelekea ni kubaya sana kuliko baadhi yetu tunavyojidanganya na kama huu ni mkakati rasmi wa CCM kuelekea uchaguzi wa 2010 kama ambavyo naelekea kuamini, basi ni wazi wahusika wakuu wote ni wahaini ambao wanajenga miundombinu ya chuki miongoni mwa watanzania kwa maslahi yao binafsi.....

omarilyas
 
Last edited:
Unajua CHADEMA ni chama hatari sana kwa WaTz ?
Ushahama kutoka Sultani CCM na sasa Chadema ni Chama hatari sana kwa WaTz? Before I didn't see your elements of bias; but now are very visble; what is wrong Mwiba? Big dissapontment!
 
muisla alielimika yupi huyo? acha ujinga sio kama mkiristo wanaopigania ushoga. waislam wote wenye kujua wapi watafika siku ya malipo wanataka mahakama ya kadhi. lkn akina Nyie wanafiki, wapenda starehe, waongo, wajinga na wapumbavu ndio msiotaka mahakama ya kadhi


Have we JF reached at this point ? What a comment ?
 
Back
Top Bottom