Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

Nashauri turudi kwenye hoja ambayo iko wazi tafadhali

Hoja ipi tena? Hoja ya kadhi na OIC tayari ina thread yake, wewe ukaleta koja ya NYALANDU...imekuwa moto nini?

Asante kwa kutuletea hoja ya huyu adui mkubwa wa UTANZANIA...kama ulidhani unamsaidia basi ujue umemuingiza pabaya

omarilyas
 
Hoja ipi tena? Hoja ya kadhi na OIC tayari ina thread yake, wewe ukaleta koja ya NYALANDU...imekuwa moto nini?

Asante kwa kutuletea hoja ya huyu adui mkubwa wa UTANZANIA...kama ulidhani unamsaidia basi ujue umemuingiza pabaya

omarilyas


You are kidding, Huyu hawezi kuwa adui wa Utanzania, huyu ni mwokozi wa utanzania, kwa maana nia yake ni kunyoosha mambo, ni kurudisha dira halisi ambayo inavamiwa na kutaka kupelekwa ndivyo sivyo!

Katiba ya nchi iko wazi, serikali haina dini, kwa maana hiyo ni kiuka katiba kwa kutaka serikali ismimamie ama itekeleze mambo ya dini.

Ebu achia kidogo ubongo wako ufanye kazi na uwe mkweli kutoka rohoni, utagundua anacho kisema huyu Nyalandu ni sahihi, tusitawaliwe na jazba, tuache ukweli uwe ukweli.

Aweza kuwa na mapungufu yake binafsi, lakini haya mzuii kulisema lililo kweli

Bravo Nyalandu kwa kulikemea hili.
 
Unajua hapa watu watasingizia -au hata kuamini kwa dhati kabisa- kwamba wanataka kuzima mjadala huu bungeni kwa sababu za "national interest".

Lakini deep down -either consciously au subconsciously- wanajua it is all about ubabe, it is all about totalitarianism, all about suppression of opinions and discussion, kuto tolerate different views etc.

Huyu Nyalandu historia yake suspect, ni mmoja wa watu waliopata ubunge kwa kujikomba kwa kina Sumaye na Mkapa. Kwa hiyo watu tunaojua kuusoma mchezo tunona hawa ni wabunge vibaraka wa the executive wanakuja kwenye bunge kuleta totalitarianism ya executive.Executive wajanja wanajua kuliingilia bunge kwa sana kutavunja checks and balances na probably kuleta backlash, sasa wanawatumia wabunge vibaraka kuvunja hii kanuni ya kati kabisa ya trinity ya state.

Nyalandu anataka kuleta muswada utakaotoa/zidisha precedent ya Zitto Kabwe kuzuiwa kuongelea ufisadi.Wanaanza pole pole hawa, hawana mpaka hawa.Nyerere alisema sumu ya ubaguzi haina mwisho, ukibagua kwa rangi, utakuja kubagua kwa kabila then ukoo then familia katika ukoo utabagua mpaka katika familia yako -tumeona haya yalivyotokea Somalia-. Mimi nasema hii sumu ya totalitarianism ya kukataza bunge kuongelea vitu nayo ina tabia kama hii, haitaishia kwenye maswala ya dini, wataileta katika mambo mengine mpaka hili bunge letu butu litkuwa kimya kabisa.

Tusiruhusu hili litokee.


Kaka Nyalandu anasimamia Katiba mkuu wangu sasa unalia lia nini ? Hajaleta hoja ya kutoka kanisani hata mara moja kasema ila kitu toka kwenye Katiba .
 
heri wewe umesema kuliko wanaokaa kimya! Umshukuru mungu hukuzaliwa kwenye familia ya kiislam vinginevyo hata shule ukisoma vipi uwezo wa kufikiri hutapata. Tumeona wahadhili wengi tu wa kiislam wanatoa hoja kama mtu wa manzese!
In short kizazi cha kiislam kilishalaaniwa na hapa kazi ipo kwa sasababu wao wenyewe hawaelewi kuwa wamelaaniwa na ukiwaambia ukweli jazba kibao!
Waislamu wanakuwa hivyo kwa sababu ya malezi yao. Malezi yao ya kidini hayawasaidii kukua kifikra na kujikomboa. They are indoctrinated. Hata wakisoma namna gani wanabaki walewale. Tena wote wako mtindo mmoja utadhani mapacha wa mama mmoja na baba mmoja. Ajabu na kweli! Wanahitaji kupiga hatua kwa kweli, kutoka nje ya wao wenyewe na kujifunza kupokea wengine walio tofauti na wao
 
heri wewe umesema kuliko wanaokaa kimya! Umshukuru mungu hukuzaliwa kwenye familia ya kiislam vinginevyo hata shule ukisoma vipi uwezo wa kufikiri hutapata. Tumeona wahadhili wengi tu wa kiislam wanatoa hoja kama mtu wa manzese!
In short kizazi cha kiislam kilishalaaniwa na hapa kazi ipo kwa sasababu wao wenyewe hawaelewi kuwa wamelaaniwa na ukiwaambia ukweli jazba kibao!

Umesema ukweli mtupu
 
Kaka Nyalandu anasimamia Katiba mkuu wangu sasa unalia lia nini ? Hajaleta hoja ya kutoka kanisani hata mara moja kasema ila kitu toka kwenye Katiba .

Katiba kifungu gani kinasema mambo yasiongelewe bungeni? If anything katiba ndiyo inayosema bunge ndiyo forum muafaka ya wawakilishi wa wananchi kuongelea mambo ya taifa, nionyeshe kifungu gani kinasema mambo yasiongelewe bungeni.

Nani kasema kaleta hoja ya kutoka kanisani? Mbona unachanganya madawa?

Mimi issue yangu si kwamba kaleta au hajaleta hoja ya kutoka kanisani, issue yangu ni hii bckdoor communist totalitarianism inayotaka kuingia bungeni mwetu.

Wanaonijua msimamo wangu siku nyingi mimi sifagilii dini, si waislam wala wakristo.Kwanza siamini mungu, lakini naamini katika freedom of speech, which includes freedom ya kuongea pumba, almuradi wenye point nao wawe na freedom ya kujibu hizo pumba.

Kuzuia majadiliano bungeni- chombo chenye uzito wa juu kabisa katika kutunga sheria nchini mwetu- kunaweka precedent mbaya huku kwingine kote, wakizuia kuongelea haya mambo bungeni who is to say kwamba kesho hawatazuia kwenye magazeti?

Bunge lazima liwe sio tu na uhuru alio nao mwananchi wa kawaida wa kuzungumzia mambo, bali ikibidi wabunge wakiwa katika floor yao ya bunge wawe na protection ya kibunge na uwezo wa kwenda mbali zaidi.Kwa hiyo hii mijadala ya dini kama kuna mtu anataka kuileta bungeni wakati haina tija, kuishutdown kinguvu kutaiongezea steam tu, waacheni waje halafu hoja zipambane in the marketplace of ideas.Sio kuleta ubabe wa hiki kitazungumzwa na hiki hakizungumzwi.

Mkitaka kuwafunga mdomo kinguvu mtaonekana kama hamna hoja za msingi za kuwajibu, hoja hujibiwa kwa hoja, si kwa nguvu.Ni mtu aliyeishiwa na hoja tu ndiye anayejibu hoja kwa nguvu.

Mnaogopa hamuwezi kuwajibu kwa hoja?
 
Last edited:
Chadema, kinaonekana kushindwa kabisa ku-address issues zinazo wakera wananchi na taifa, wanakimbilia very basic na simple issues

Chama na viongozi imara, wanatakiwa ku-tackle issues simple na ngumu, ku-address mambo yanayokera jamii

CHADEMA, hawezi ku-deal na mult task, ufisadi pekee sio kero ya jamii, kunamengine mengi, inabidi waonyese msimamo wao, sio kufinika issues under carpet

Viongozi wa Chama hiki nimeshaanza kuwa na wasiwasi nao juu ya uwezo wao, Ukimwya sio solution. Keep your policy clear, acheni kujikanyaga, kure zipomitaani wananchi wanatafuta chama cha kuwapa sababu CCM hawatekelezi ahaadi walizotoa, CHADEMA lazima mtuambia policy yenu kuhusu Kadhi Court, kukaa kimwya nikuonyesha weakness za Chama na uongozi.
 
Lunyungu,
Asante kwa kuleta habari hizi za Nyalandu hapa. Tumezisikia. Anachosema ni kweli kwamba kutaka kuanzisha taasisi za dini kiserikali wakati serikali aina dini kikatiba si sawa na tena kinachoshangaza hawa wabunge waliotoa viapo vya kuilinda katiba ndio wana pioneer uvunjaji wa katiba makusudi.

Nina hakika lengo la Nyalandu ni kuzuia mijadala ya namna hiyo bungeni. Maana sasa hivi mijadala hii ambayo haina faida imeshawagawa wabunge kidini. Na nina hakika hatukuwatuma wabunge kwenda kufanya hayo badala ya kufanya shughuli mbali mbali za maendeleo kwa hata wale wasio na dini.

Lakini mwisho nakusihi usiendelee kubishana na kundi la fanatics wa dini ya kiislamu ambao wanakuja na personal attacks. Hawataelewa hata kama ungewambia nini! Na kama alivyosema mmoja wa wachangiaji hapa, watu hawa hata kama kasoma utashangaa jinsi anavyokuwa si muelewa. Kwa sababu dini yao ina misingi hiyo. Wao wanalialia hata huko misikitini wao kwa wao, hawajawahi kuridhika hata siku moja. Hii ina orginate kwenye mafundisho ya vitabu vyao. Subiri uje usikie watakavyokuja na attack kwangu kwa ajili ya maneno haya na utajua nasema nini?🙁
 
Chadema, kinaonekana kushindwa kabisa ku-address issues zinazo wakera wananchi na taifa, wanakimbilia very basic na simple issues

Chama na viongozi imara, wanatakiwa ku-tackle issues simple na ngumu, ku-address mambo yanayokera jamii

CHADEMA, hawezi ku-deal na mult task, ufisadi pekee sio kero ya jamii, kunamengine mengi, inabidi waonyese msimamo wao, sio kufinika issues under carpet

Viongozi wa Chama hiki nimeshaanza kuwa na wasiwasi nao juu ya uwezo wao, Ukimwya sio solution. Keep your policy clear, acheni kujikanyaga, kure zipomitaani wananchi wanatafuta chama cha kuwapa sababu CCM hawatekelezi ahaadi walizotoa, CHADEMA lazima mtuambia policy yenu kuhusu Kadhi Court, kukaa kimwya nikuonyesha weakness za Chama na uongozi.


kumbuka Chadema ni chama cha siasa, si kikundi cha madrasa au kwaya ya injili so hakuna ulazima wowote kuzungumzia jambo hilo
 
[/COLOR][/B]

kumbuka Chadema ni chama cha siasa, si kikundi cha madrasa au kwaya ya injili so hakuna ulazima wowote kuzungumzia jambo hilo



Maneno haya ni jibu tosha na hawa wasio ona mbali .Kero ya jamii ama shida ambazo si za lazima kuanzishwa kwenye jamii ?
 
Hayo mawazo ya kadhi na OIC ni mawazo ya mashehe na baadhi ya viongozi wa waislamu lakini umma mkubwa wa waislamu hawapendi hayo mambo kwani waliona kilicho tokea somalia na ukizingatia kwamba akina salehe ni mashuhuli kwa wizi wa kuku, je wako tayari kukatwa unyayo?

Kwa muislamu aliye elimika asinge shabikia kadhi kwani ni mwanzo wa sharia law.

labda mkuu utudadavulie.

Kenya, Uganda wanazo mahakama za kadhi na ziliachwa na wakoloni.

hata Tanganyika zilikuwepo wakati wa ukoloni. Je vipi kuna mapigano?
 
labda mkuu utudadavulie.

Kenya, Uganda wanazo mahakama za kadhi na ziliachwa na wakoloni.

hata Tanganyika zilikuwepo wakati wa ukoloni. Je vipi kuna mapigano?


Sisi ni Tanzania kwani lazima kufuata ya Kenya na Uganda ?Sisi ni Watanzania tunasema Serikali yetu na dini hapana .So Chadema stay out please na tunazidi kuwapongeza waacheni KAFU ,TLP na CCM wapambane na sera za dini .
 
Wabunge watoa tahadhari kuhusu mijadala ya OIC, Kadhi bungeni
NYALANDU,Lazaro.jpg
Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu (CCM) ni miongoni mwa waliotoa tahadhari ya udini.* Mmoja asema serikali kuanzisha taasisi za dini ni kuvunja katiba

Exuper Kachenje, Dar na Kizitto Noya, Dodoma

HOJA ya Tanzania kujiunga na Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kiislamu (OIC) na mijadala mingine ya dini imezidi kuwa moto baada ya wabunge watatu kuionya serikali kuwa masuala hayo yataigawa nchi katika vipande vipande.

Waliotoa onyo hilo ni pamoja na Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu (CCM), Mbunge wa Maswa (CCM), John Shibuda na yule wa Bukene (CCM) Teddy Kasela-Bantu walipokuwa wakichangia hotuba ya makadirio, mapato na matumizi ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa iliyowasilishwa na Waziri Bernard Membe.

Aliyekwenda mbali zaidi ni Nyalandu aliyetangaza nia ya kuwasilisha muswada binafsi kulitaka bunge kuzuia mjadala wa suala lolote la dini.

Kauli hizo zimekuja katika kipindi ambacho taifa limeshuhudia mijadala mikali inayochukua sura ya kidini, kuhusiana na uanzishwaji wa Mahakama ya Kadhi Tanzania Bara, nchi kujiunga na OIC na waraka wa Wakatoliki unaoelekeza Watanzania namna ya kupata viongozi bora katika Uchaguzi Mkuu ujao.

Nyalandu aliitahadharisha serikali kuwa hatua yoyote ya kushiriki katika uanzishwaji wa mamlaka au taasisi yoyote ya dini nchini ni uvunjaji wa katiba ya nchi na inaweza kuligawa taifa.

Huku akipinga kuendelea kwa mjadala wa Tanzania kujiunga na Jumuiya ya Nchi za Kiislamu (OIC); na kutoa mifano mbalimbali ya mataifa yaliyofuata misingi ya dini na athari zake na kunukuu vifungu vya Katiba ya Tanzania, Nyalandu alisema serikali ya Tanzania haina dini na hivyo haina mamlaka ya kusimamia uanzishwaji wa taasisi au mamlaka yoyote ya kidini.

“Itakuwaje tuanze kujadili masuala ya dini katika nchi ambayo haiongozwi kwa misingi ya dini?” alihoji Nyalandu na kuongeza:

“Serikali kimsingi hairuhusiwi kuwa na dini, lakini pia hairuhusiwi kusaidia uanzishwaji wa chombo chochote au mamlaka yoyote, yenye misingi ya dini ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.”

Aliongeza kuwa, “haitakuwa jambo la busara na itakuwa ni kukiuka misingi ya katiba ya nchi, kuruhusu aina yoyote ya michakato inayohusu masuala ya dini moja dhidi ya dini nyingine.”

Nyalandu alimkumbuka Baba wa Taifa, hayati Mwalimu Julius Nyerere alipokataa lilipoibuka suala la Zanzibar kujiunga na OIC.

Alisema suala jingine linalofanana na hilo ni la uanzishwaji wa Mahakama ya Kadhi au nyingine yoyote inayofanana na hiyo na kueleza kuwa, pia litakuwa ni uvunjaji wa katiba iwapo litajadiliwa bungeni.

“Suala la dini ni nyeti sana, nchi hii ilikaa na watu wa dini zote. Dini au kabila vitaligawa nchi vipande. Tumeona ukabila ukiitafuna Kenya na sasa udini umeanza kuingia Tanzania,” alisema Nyalandu na kuendelea:

“Katika hilo, nakusudia kuleta muswada binafsi kupiga marufuku Bunge kujadili mambo ya dini na matumizi ya fedha za walipakodi katika kusaidia uanzishwaji wa taasisi yoyote ya dini hapa nchini,” alisema.

Aliendelea, “Ninaonya wanasiasa kunyemelea masuala ya dini na kuyajadili bungeni, wakuu wa dini kutaka mambo yao yaje kwenye siasa. Tufute kabisa kujadili OIC, hili ni shirika lao huko. Hakuna mchakato hapa, Tanzania sio nchi ya dini.”

Msimamo wa Nyalandu kupinga OIC, uliungwa mkono kwa nyakati tofauti na mbunge wa Maswa (CCM), John Shibuda na Mbunge wa Bukene (CCM) Teddy Kasela-Bantu waliosema kuwa, kufanya hivyo, ni kukiuka Katiba na misingi iliyowekwa na waasisi wa Tanzania akiwamo Mwalimu Julius Nyerere.

“Wabunge turejee na kufuata matakwa ya katiba tuliyoapa kuilinda, hifadhi ya amani ya Tanzania inategemea maneno yetu sisi wabunge, tuzungumze kwa masilahi ya Taifa,” alisema Shibuda na kuonya:

“Tusitumie lugha za tafrani, tusiwe wanaharakati wa dini hapa bungeni. Tusiwe ndondondo za tafrani kwa nchi yetu, tusiwe misumari ya jeneza la amani ya Tanzania, tukumbuke hakuna atakayetawala kwa kutegemea dini moja.”

Naye Mbunge wa Bukene, Teddy Kasela- Bantu aliwataka wabunge kuendelea kuitetea Katiba ya nchi akionya kuwa endapo viongozi wakianza kuivunja kwa makusudi, nchi itasambaratika.

“Kama viongozi tunaivunja Katiba tuliyoapa kuitetea, wananchi wafanya nini?” alihoji Kasela- Bantu na kuendelea, “Katiba inasema serikali haina dini, sasa kama humo ndani tunaanza kuzungumzia mambo ya dini ni wazi tunavunja katiba.”

“Mimi naomba hata kama mchakato wao huo utachukua miaka mingapi, Tanzania tuache kufikiria jambo hilo la kujiunga na OIC. Kila mtu anatakiwa kuamini anachoamini, cha Kaisari tumpe Kaisari ambaye ni serikali na cha roho kibaki rohoni, nchi hii haina dini,” alisisitiza.

Awali, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe aliwataka Watanzania wasitishe kwa muda mjadala wa Tanzania kujiunga na Jumuiya hiyo kwa kuwa OIC sasa ipo kwenye mchakato wa kubadilisha sheria na kanuni zake za namna ya kupata wanachama wapya.

“OIC ipo kwenye reform ya kuundwa upya, inafanyiwa mabadiliko ya muundo, taratibu, kanuni za kuwapata wanachama wapya. Naomba Bunge na Watanzania kuelewa mabadiliko hayo ili mjadala huu usitishwe hadi mwaka 2012 utakapokamilika mchakato huo,” alisema Membe na kuendelea.

“Hatuwezi kuendelea na mjadala wakati chombo chenyewe kinapitia mfumo na mabadiliko katika kipindi cha miaka miwili ijayo. Tukiendelea kujadili, tutakuwa tunajadili mambo yatakayopitwa na wakati. Haya sio maneno ya Membe, ni maelekezo ya kikao cha OIC kilichoketi mjini Damascus, Syria mwezi Mei mwaka huu.”

Membe alibainisha kuwa mchakato huo unafanywa na nchi nne ambazo zitatakiwa kumaliza kazi mwaka 2010 na kutoa taarifa yake kwenye baraza la wataalamu wa OIC mwaka 2011 kabla ya kufikisha taarifa kwa nchi wanachama.

Akieleza hasara za nchi kujiingiza katika masuala ya dini, Nyalandu alisema, machafuko yaliyotokea Zambia katika siku za hivi karibuni na mapigano ya Kitaleban nchini Pakistan ni matokeo ya uamuzi huo ambao Tanzania inataka kuufanya.

Hoja ya Nyalandu kwamba wanawake wa Saud Arabia wanakatazwa kuendesha magari kutokana na tamaduni za dini zao iligusa hisia za mbunge wa Mchinga (CCM) Mudhihir Mudhihir ambaye alisimama na kuomba mwongozo wa Naibu Spika akisema:

“Mheshimiwa Naibu Spika, naomba mheshimiwa mbunge afute kauli yake kwamba dini ya Uislamu inakataza wanawake kuendesha magari ili asiamshe jazba zetu.”

Hata hivyo, Naibu Spika Anne Makinda alipuuza mwongozo huo akisema, “Mimi naamini mheshimiwa hakutaja dini, alisema Uingereza ukioa mke wa pili unafungwa; na Saud Arabia wanawake wanakatazwa kuendesha magari kwa mujibu wa tamaduni na dini zao,” alifafanua Makinda na kuomba Hansard kuthibitisha kauli yake.

Akihitimisha mjadala wa hotuba ya bajeti yake, Waziri Membe alisema serikali itaendelea kutokuwa na dini (secular state) huku akifafanua kuwa, “Si kwamba serikali inataka kuondoka katika “secular state” bali OIC inataka serikali za nchi kuwa wanachama na si taasisi, lazima serikali itoe kibali ndipo nchi iwe mwanachama, lazima tuwe na `tolerance` (tuvumilie).

Wakati hayo yakijadiliwa ndani ya Bunge, nje ya Bunge huko huko Dodoma, Habel Chidawali anaripoti kuwa, Waislamu mkoani humo wamesema kuwa wamechoka na kitendo cha serikali kuwadanganya kama watoto wadogo na sasa wanataka Mahakama ya Kadhi kwa nguvu zote.

Kauli hiyo waliitoa jana wakati wa kongamano la Waislamu wa mkoa huu lililofanyika katika Ukumbi wa Maktaba mjini chini ya udhamini wa shirika lisilo la kiserikali la Al-Mallid la mjini humo. Waislamu hao walisema kuwa umefika wakati ambao wanaamini kuwa serikali inatoa haki kwa upendeleo kwa kuwajali zaidi
 
....Duh Hii ya Faraja Kota nilikuwa siijui...Lazaro anahofia Mahakama ya Kadhi as if itakuja kumuibua...?
Mh.Lazaro hii Mahakama na OIC havikuhusu...

Endelea kuwa mshabiki wa Mashindano ya Mamiss!!!

Lazaro katuharibia sana madada zetu wanaoshiriki MISS TANZANIA.
Nimetaja wanawake wawili wa kiislam waliopewa madaraka makubwa ya uongozi wa nchi.

Marekani kwa mara ya kwanza ni mwaka jana kuchagua mgombea mwanamke mama Hilary Clinton na akaonekana kihoja kwa vile tu ni Mwanamke.

Lazaro alitegemea atapata uwaziri kwenye baraza la JK anaona siku zimekwisha na yeye katoka mkoa ambao uko nyuma alijua ni tiketi ya uwaziri,sasa ameamua kumwaga mboga, ana bifu binafsi na JK.

huyu hana tofauti na LUCAS SELELII ambaye amekuja kuwa na bifu na LOWASSA baada ya Lowassa kupeleka recomendation kwa JK kuwa Selelii hafai kupewa uwaziri kwa vile hana elimu,toka siku hiyo SELELI akaapa kufa na LOWASSA.

KAMA KUVUNJA KATIBA BASI TANZANIA ijitoe jumuiya ya madola kwani katiba ya jumuiya ya madola inasema wazi mkuu wa jumuiya hiyo lazima awe mkristu muanglikana kinyume na katiba ya Tanzania isiyo na dini.
 
Lunyungu,
Asante kwa kuleta habari hizi za Nyalandu hapa. Tumezisikia. Anachosema ni kweli kwamba kutaka kuanzisha taasisi za dini kiserikali wakati serikali aina dini kikatiba si sawa na tena kinachoshangaza hawa wabunge waliotoa viapo vya kuilinda katiba ndio wana pioneer uvunjaji wa katiba makusudi.

Nina hakika lengo la Nyalandu ni kuzuia mijadala ya namna hiyo bungeni. Maana sasa hivi mijadala hii ambayo haina faida imeshawagawa wabunge kidini. Na nina hakika hatukuwatuma wabunge kwenda kufanya hayo badala ya kufanya shughuli mbali mbali za maendeleo kwa hata wale wasio na dini.

Lakini mwisho nakusihi usiendelee kubishana na kundi la fanatics wa dini ya kiislamu ambao wanakuja na personal attacks. Hawataelewa hata kama ungewambia nini! Na kama alivyosema mmoja wa wachangiaji hapa, watu hawa hata kama kasoma utashangaa jinsi anavyokuwa si muelewa. Kwa sababu dini yao ina misingi hiyo. Wao wanalialia hata huko misikitini wao kwa wao, hawajawahi kuridhika hata siku moja. Hii ina orginate kwenye mafundisho ya vitabu vyao. Subiri uje usikie watakavyokuja na attack kwangu kwa ajili ya maneno haya na utajua nasema nini?🙁
Lwakatare wenzio wote wa Chadema wanaingia kwa majina yao ni wewe tu unayetumia pen name.
hisia zako za kidini zimechangiwa na wewe kunyimwa ukatibu mkuu msaidizi wa CUF.ulitaka uwe naibu wa kudumu?
 
KAMA KUVUNJA KATIBA BASI TANZANIA ijitoe jumuiya ya madola kwani katiba ya jumuiya ya madola inasema wazi mkuu wa jumuiya hiyo lazima awe mkristu muanglikana kinyume na katiba ya Tanzania isiyo na dini.

Kwa Malkia ama Mfalme kuwa Muanglikana hiyo siyo tabu kwa waTZ. Hapo ingesemekana hiyo jumuiya mkuu wake lazima awe Muislam ungesikia kuvunjika kwa katiba. Lakini sasa na kuendelea watasikia nyimbo zile zile zilizosikika tukidai uhuru, na watawajua Waislam. Sio ule wakati mtu mmoja anaamua tu kuwafunga mashehe ama kuwafukuza nchini eti wanahatarisha usalama na tukae kimya. Tutagawana fito si muda mrefu.
 
Inaonyesha ni jinsi gani hawa wanyenyekevu wanavyo endeshwa na udini. lol
 
Inaonyesha ni jinsi gani hawa wanyenyekevu wanavyo endeshwa na udini. lol

Ukiweza kujua kuwa Wanyenyekevu ni wadini nawe una Udini. Ungekuwa hauna Udini usingeuona udini wa wanyenyekevu.

Hii Thread yaweza unganishwa na ile alioanzisha Lunyungu yenye Title "Naungana na Nyalandu...." manake ina habari ile ile.
 
Lwakatare wenzio wote wa Chadema wanaingia kwa majina yao ni wewe tu unayetumia pen name.
hisia zako za kidini zimechangiwa na wewe kunyimwa ukatibu mkuu msaidizi wa CUF.ulitaka uwe naibu wa kudumu?


Siamaini kuwa huyu ni LWAKATARE. Lakini kama ni yeye basi naamini nitapa uhakika soon. Na kama itakuwa ni kweli basi atukuzwe aliyeanzisha mijadala hii kwani sasa tunapata nafasi ya kujuana kwa undani wetu na hilo ni muhimu haswa kwetu sisi wenye kujishughulisha na siasa za nchi yetu.

Kuhusu NYARANDU naomba yeyote anayesema kuwa haya niliyosema mimi ama wengineo hapa ni si ya kweli basi ajitokeze amtetee.

Lakini pia ni muhimu kutambua kuwa yawezekana kuwa kama ilivyo katika suala la WARAKA wa KANISA la Katoliki kuhusu uchaguzi ambapo ukiusoma kwa undani ni wazi hakuna kibaya kilichosemwa ukiondoa maneno machache ambayo yanaleta shaka kuhusu NIA na MANTIKI nzima ya waraka huo, ni lazima tukubaliane kanisa lilipaswa kutambua hatari za kutoa maelekezo kama hayo kwa WAUMINI wake kwa sasa ambapo hali ya mazingira ya kisiasa tuliyonayo na pia historia ya nchi hasa suala la kuwa mara zote kanisa linakuwa vocal zaidi kusema machafu ya serikali zetu pale ambapo rais anakuwa muislamu (MWINYI na sasa JAKAYA).

Kama kanisa lingekuwa linajali zaidi maslahi ya taifa letu kwa maana ya kuwa maslahi ya walio wakristo na wasio wakristo ni wazi wangekuwa makini zaidi kufanya walilolifanya.

Linapokuja suala la KUREJESHWA kwa mfumo wa mahakama ya kadhi nchini hapo napo naamini kama kweli msimamo wa wanaopinga miongoni mwa wakristo unatokana na UTASHI WA KULINDA TAIFA na KATIBA YETU na sio vinginevyo basi wangetumia hoja makini na sio hizi hovyohovyo kama ambazo wengi wenu humu mnazitumia. Hoja za wengi humu zimejaa kejeli, ujinga, chuki na dharau dhidi ya uislamu na waislamu wote kwa ujumla. Hoja ambazo zinajengwa kwa misingi ya PREJUDICES na KUKOSA TAARIFA kuhusu uislamu na mahakama ya kadhi kama ambavyo wanaotaka miongoni mwa waislamu hapa mchini mwetu.

Inasikitisha hawa ni watu ambao tumekuwa tukijigamba kifua mbele kama tumekuwa tunaishi kwa umoja na upendo miongoni mwetu. Inasikitisha kuona kuwa hizi ni hoja zinazotoka vichwani, moyoni na vinywani mwa watanzania tuliokuwa tunajidanganya kuwa tunapenda na kuaminiana.

Inasikitisha kuona kuwa hata wale ambao wamekuwa wakionekana wana uchungu wa kweli na Tanzania yetu kumbe kwao kuna Tanzania ya waislamu wabaya na wakristo wazuri na wangependa kuendelea na Tanzania ambayo wao wanajiona wanashabihiana nayo.

Inasikitisha kuona kuwa hata wale waliokuwa wakionyesha umakini wa kung'amua ujanja wa MFUMO FISADI kujinasua katika makucha ya haki ya watanzania wametumbukia katika mtego huu wa kusambaza CHUKI ZA KIDINI katika jamii yetu. Mtego ambao hao tunaowakingia kifua kuwa ati wanatetea katiba ni wadau wakuu na ambao mwisho wa siku ndio watakaofaidika na Tanzania ya waliotengana na wanaochukiana kwa misingi ya kidini.

Kama ilivyo katika vita dhidi ya ufisadi, tupo tayari kuwakumbatia MASIHA FEKI pale wanaposema tunayokubaliana nayo bila hata ya kutambua ATHARI yake hapo mbeleni. Kama ilivyo katika suala la UFISADI tumejenga tabia ya kumshambuli kila anayehoji NIA ya kweli ya MASIHA FEKI hushutumiwa kuwa amenunuliwa na MAFISADI basi hata hapa wako wanaokimbilia kuwashambulia wanaohoji NIA haswa ya hawa wanaojivika kilemba cha UZALENDO na Utetezi wa katiba kuwa ni wadini/fanatics kama afanyavyo mchuki ufisadi...

omarilyas
 
Back
Top Bottom